Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Iran kati ya nchi 15 zinazovutia idadi kubwa ya wanafunzi wa kigeni

    Iran kati ya nchi 15 zinazovutia idadi kubwa ya wanafunzi wa kigeni

    Jul 11, 2022 06:31

    Iran imetajwa kuwa miongoni mwa nchi 15 duniani, zenye kuvutia idadi kubwa ya wanafunzi wa kigeni.

  • Rais Raisi: Kuna udharura wa kudumishwa sifa maalumu za kihistoria za India

    Rais Raisi: Kuna udharura wa kudumishwa sifa maalumu za kihistoria za India

    Jul 10, 2022 22:06

    Rais Ebrahim Raisi amesema, kuna udharura wa kulindwa na kudumishwa sifa maalumu za kihistoria za India, ambayo ni ardhi inayosifika kwa kuheshimu dini mbalimbali.

  • Raisi: Iran inapinga uingiliaji wowote wa ajinabi nchini Syria

    Raisi: Iran inapinga uingiliaji wowote wa ajinabi nchini Syria

    Jul 10, 2022 04:39

    Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Iran inaunga mkono amani na uthabiti na inapinga uingiliaji wowote wa madola ajinabi katika mambo ya ndani ya Syria.

  • Raisi: Maadui wanatumia magenge ya kitakfiri kuwagawa Waislamu

    Raisi: Maadui wanatumia magenge ya kitakfiri kuwagawa Waislamu

    Jul 09, 2022 03:11

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mwenendo wa magenge ya kigaidi na kitakfiri wa kupanda mbegu za chuki na mifarakano ni sehemu ya mbinu zinazotumiwa na maadui kuibua migawanyiko katika umma wa Kiislamu.

  • Iran na Uganda kuimarisha uhusiano wa kiuchumi

    Iran na Uganda kuimarisha uhusiano wa kiuchumi

    Jul 07, 2022 03:39

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Anayehusika na Diplomasia ya Uchumi amekutana na kuzungumza kwa nyakati tofauti na Rais na Waziri Mkuu wa Uganda kwa lengo la kuimarisha uhusiano wa kiuchumi kati ya nchi mbili.

  • Marekani yatangaza vikwazo vipya dhidi ya sekta ya mafuta ya Iran

    Marekani yatangaza vikwazo vipya dhidi ya sekta ya mafuta ya Iran

    Jul 06, 2022 23:03

    Wizara ya Fedha ya Marekani imeendeleza uraibu wa nchi hiyo wa kuziwekea vikwazo nchi mbalimbali kwa kutangaza vikwazo vipya dhidi ya sekta ya mafuta na petrokemikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Iran iko tayari kuipa Mali uzoefu katika sayansi, teknolojia na utafiti

    Iran iko tayari kuipa Mali uzoefu katika sayansi, teknolojia na utafiti

    Jul 06, 2022 01:44

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema iko tayari kuipa Mali tajriba na uzoefu wake katika nyuga za sayansi, teknolojia na utafiti.

  • Jenerali Baqeri: Iran inafuatilia nyendo zote za maadui mipakani

    Jenerali Baqeri: Iran inafuatilia nyendo zote za maadui mipakani

    Jul 03, 2022 03:29

    Kamanda Mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepongeza usalama imara na thabiti katika mipaka ya magharibi ya nchi hii na kusisitiza kuwa, Iran inafuatilia kwa jicho la karibu nyendo na harakati za kutilia shaka za maadui muda wote.

  • Abdollahian: Palestina ndio kadhia muhimu zaidi kwa umma wa Kiislamu

    Abdollahian: Palestina ndio kadhia muhimu zaidi kwa umma wa Kiislamu

    Jul 03, 2022 00:04

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema ukombozi wa taifa la Palestina ndio kadhia muhimu zaidi kwa umma wa Kiislamu hivi sasa.

  • Iran: Tunapinga hatua yoyote ya kijeshi inayochukuliwa kwa kisingizio chochote kile

    Iran: Tunapinga hatua yoyote ya kijeshi inayochukuliwa kwa kisingizio chochote kile

    Jul 02, 2022 07:57

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: "sisi tunauelewa wasiwasi ilionao nchi jirani yetu Uturuki na tunapinga vikali hatua yoyote ya kijeshi inayochukuliwa kwa kisingizio chochote kile".

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS