-
Safari ya Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iran nchini Pakistan; majirani wawili wenye maslahi na daghadagha ya pamoja
Feb 15, 2022 08:58Jumatatu ya jana tarehe 14 Februari, Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alifanya safari ya nchini Pakistan.
-
Mazungumzo ya Vienna; ajenda kuu ya maungumzo ya Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Uingereza
Feb 15, 2022 04:42Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Uingereza wamejadili misimamo ya nchi mbili katika mazungumzo yanayoendelea sasa huko Vienna nchini Austria kuhusu mapatano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Ujumbe wa Hania kwa Kiongozi Muadhamu: Tunajivunia misimamo yako adhimu
Feb 14, 2022 23:33Kiongozi wa Harakati wa Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amemtumia salamu na ujumbe maalumu Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mnasaba wa maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kumshukuru kwa misimamo yake ya kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Mazungumzo ya Vienna; anga nzuri ndani ya kivuli cha ubunifu wa Iran
Feb 13, 2022 23:41Awamu ya nane ya mazungumzo ya Vienna baina ya Iran na kundi la 4+1 inaendelea katika Hoteli ya Palais Coburg nchini Austria huku kukiwa na dalili nzuri za kufanyika mazungumzo katika mazingira yenye kuleta matumaini. Mazungumzo hayo yanaendelea baada ya kusimama kidogo kwa ajili ya kutoa fursa kwa timu za mazungumzo kurejea katika nchi zao kwa mashauriano.
-
Kikao cha pande mbili cha timu za mazungumzo za Iran na Russia chafanyika Vienna
Feb 13, 2022 08:40Kikao cha pande mbili cha timu za mazungumzo za Iran na Russia kimefanyika mjini Vienna Austria kwa kuhudhuriwa pia na wakuu wa timu za mazungumzo wa Iran na Russia.
-
Iran ina uwezo wa kukidhi mahitaji ya zana za kijeshi ya nchi za eneo
Feb 13, 2022 04:46Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina uwezo wa kukidhi mahitaji ya zana za kijeshi na kiulinzi ya nchi za eneo kutokana na uwezo wake mkubwa katika viwanda vya kijeshi.
-
Ebrahim Raisi: Iran bado imeshikamana na nara ya "Si Mashariki si Magharibi"
Feb 11, 2022 07:09Rais Ebrahim Raisi amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran bado imeshikamana na nara yake ya "Si Mashariki, si Magharibi" ya tangu mwaka 1979.
-
Iran: Kumalizika mazungumzo ya Vienna kunategemea kuondolewa vikwazo Tehran
Feb 10, 2022 23:02Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema muda wa kumalizika mazungumzo ya Vienna ya kujaribu kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA unategemea irada ya Wamagharibi ambao ni upande wa pili wa mazungumzo hayo, kuiondolewa vikwazo haramu Tehran.
-
Raisi: Kuendelezwa sera zilizofeli za Trump ndiyo sababu hasa ya kutopiga hatua mazungumzo ya Vienna
Feb 10, 2022 00:07Rais Ebrahim Raisi amesema, kuendelezwa sera zilizofeli za serikali iliyopita ya Marekani ndicho kizuizi kikuu kinachokwamisha kupiga hatua za kuridhisha mazungumzo ya Vienna.
-
Iran yazindua kombora jipya la masafa ya mbali, lenye shabaha kali la Khaibar Shekan
Feb 09, 2022 10:06Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) limezindua kombora jipya la masafa ya mbali na lenye shabaha kali la Khaibar Shekan.