-
Rabei: Mahudhurio ya Wairani katika uchaguzi yametoa jibu la "hapana" kwa propaganda za kususiwa zoezi hilo
Jun 22, 2021 06:27Msemaji wa Serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa mahudhurio ya wananchi katika zoezi la kupiga kura kwenye uchaguzi wa Rais na Mabaraza ya Miji na Vijiji wa Ijumaa iliyopita yametoa jibu la "hapana" kwa waliotoa wito wa kususiwa zoezi hilo ambao kwa hakika wanashirikiana na maadui walioliwekea vikwazo taifa la Iran.
-
Viongozi wa dunia wampongeza Raeisi kwa ushindi katika uchaguzi rais Iran
Jun 20, 2021 07:19Viongozi mbali mbali duniani wanaendelea kumtumia salamu za pongezi Sayyid Ebrahim Raeisi kufuatia ushindi wake katika uchaguzi wa rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran uliofanyika Ijumaa.
-
Kiongozi Muadhamu: Taifa la Iran ndiye mshindi mkuu wa uchaguzi, mliochaguliwa chapeni kazi
Jun 19, 2021 09:46Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amepongeza hatua ya kujitokeza kwa wingi wananchi wa Iran katika uchaguzi mkuu wa jana Ijumaa na kusisitiza kuwa, 'washindi wakuu wa uchaguzi ni wananchi wenyewe, ambao azma yao thabiti haikuvunjwa moyo na ama janga (la Corona) au njama za kuwakatisha tamaa.
-
Iran yalaani kushambuliwa wapigakura katika nchi za nje
Jun 19, 2021 08:05Baraza Kuu la Haki za Binadamu la Iran limelaani vikali vitendo vya kushambuliwa na kuhujumiwa raia kadhaa wa Jamhuri ya Kiislamu waliojitokeza kupiga kura jana Ijumaa katika nchi kadhaa za Magharibi.
-
Matokeo ya awali yaonyesha Raeisi ameshinda urais wa Iran, wagombea wote wampongeza
Jun 19, 2021 03:48Matokeo ya awali ya uchaguzi wa Rais na Mabaraza ya Miji na Vijiji nchni Iran yanaonyesha kuwa Seyyed Ebrahim Raeisi amepata ushindi wa kishindo katika kinyang'anyiro cha kuwania kiti cha Rais wa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Muda wa upigaji kura nchini Iran waongezwa, matokeo ya awali kutangazwa usiku huu
Jun 18, 2021 12:27Mkuu wa Makao Makuu ya Uchaguzi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Iran amesema matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais unaofanyika kote nchini hii leo yatatolewa usiku huu.
-
Mamilioni ya Wairani washiriki katika uchaguzi wa Rais na Mabaraza ya Miji na Vijiji
Jun 17, 2021 23:04Mamilioni ya Wairani wakiongozwa na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei tangu mapema leo wameelekea kwenye masanduku ya kupigia kura kuchagua Rais wa 13 wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na wawakilishi wao katika Mabaraza ya Miji na Vijiji.
-
Uchunguzi wa maoni: Raeis anaongoza kwa kuwa na zaidi ya asilimia 68 ya kura
Jun 17, 2021 22:54Uchunguzi wa maoni wa hivi karibuni unaonyesha kuwa mgombea urais Ebrahim Raeisi utashinda kwa kupata asilimi 68.9 ya kura.
-
Usalama umeimarishwa nchini Iran kuelekea uchaguzi mkuu wa kesho
Jun 16, 2021 22:34Vyombo vya dola nchini Iran vimesema kuwa usalama umeimarishwa kote nchini kuelekea Uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu unaofanyika kesho Ijumaa.
-
Wagombea 2 wajiondoa katika kinya'nganyiro cha urais nchini Iran
Jun 16, 2021 07:57Wagombea wawili kati ya saba wa Uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran unaotazamiwa kufanyika katika kipindi cha siku mbili zijazo wametangaza kujiondoa kwenye kinyang'anyiro hicho.