Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Jeshi la Majini la Iran lapata meli mbili mpya za kivita zilizoundwa nchini

    Jeshi la Majini la Iran lapata meli mbili mpya za kivita zilizoundwa nchini

    Jun 14, 2021 08:29

    Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo limepokea meli mbili mpya za kivita ambazo zimeundwa kikamilifu hapa nchini.

  • Balozi: Kenya na Iran kuimarisha uhusiano wao katika uga wa TEHAMA

    Balozi: Kenya na Iran kuimarisha uhusiano wao katika uga wa TEHAMA

    Jun 13, 2021 21:55

    Balozi wa Iran nchini Kenya amesema Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kuzipa uzoefu wake kampuni za kitaalamu za Kenya, na kuunda jukwaa la kubadilishana mawazo juu ya masuala ya teknolojia.

  • Mdahalo wa tatu wa urais wa Iran, wagombea waeleza mipango yao na kukosoa mitazamo na utendajikazi

    Mdahalo wa tatu wa urais wa Iran, wagombea waeleza mipango yao na kukosoa mitazamo na utendajikazi

    Jun 13, 2021 10:39

    Mdahalo wa tatu na wa mwisho wa uchaguzi wa rais wa awamu ya 13 wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ulifanyika Jumamosi alasiri.

  • Iran: Marekani inalia machozi ya mamba, haijaachana na sera za Trump

    Iran: Marekani inalia machozi ya mamba, haijaachana na sera za Trump

    Jun 12, 2021 08:36

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Anayehusika na Masuala ya Kisiasa amesema ni kinaya kuiona Marekani inalia machozi ya mamba katika hali ambayo Washington inaendeleza jitihada zake za kuwataabisha na kuwahangaisha kwa njaa na umaskini Wairani milioni 82.

  • Hatua mpya za vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

    Hatua mpya za vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

    Jun 11, 2021 08:25

    Wizara ya Biashara ya Marekani Alkhamisi ya jana iliwaweka watu na mashirika kadhaa katika orodha yake ya vikwazo kwa kisingizio cha nafasi yao katika kudhamini fedha kwa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (Sepah) na harakati ya wapiganaji wa kujitolea ya Ansarullah nchini Yemen.

  • Uchaguzi wa Rais wa Iran kufanyika London, miji mingine 6 ya Uingereza

    Uchaguzi wa Rais wa Iran kufanyika London, miji mingine 6 ya Uingereza

    Jun 11, 2021 03:29

    Ubalozi wa Iran nchini Uingereza umesema wananchi wa Iran walioko katika nchi hiyo ya bara Ulaya watakuwa na fursa ya kupiga kura katika uchaguzi wa 13 wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu katika mji mkuu London, na miji mingine sita mikubwa ya nchi hiyo.

  • Pentagon yaingiwa na kiwewe baada ya manowari za Iran kuwasili Atlantic

    Pentagon yaingiwa na kiwewe baada ya manowari za Iran kuwasili Atlantic

    Jun 10, 2021 22:22

    Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) imeingiwa na kiwewe na wahaka mkubwa baada ya msafara wa meli za kijeshi za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwasili katika Bahari ya Atlantic pasi na kupitia katika bandari za nchi nyingine kwa mara ya kwanza katika historia.

  • Rouhani: Iran inaunda vituo 2 vya nishati ya nyuklia kwa ushirikiano na Russia

    Rouhani: Iran inaunda vituo 2 vya nishati ya nyuklia kwa ushirikiano na Russia

    Jun 10, 2021 08:21

    Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu imeanza ujenzi wa vinu viwili vipya vya nishati ya nyuklia kwa ushirikiano na Russia.

  • Mdahalo wa Pili wa Urais nchini Iran unafanyika leo

    Mdahalo wa Pili wa Urais nchini Iran unafanyika leo

    Jun 08, 2021 03:39

    Mdahalo wa pili wa wagombea wa urais nchini Iran unafanyika alasiri ya leo mwendo wa saa kumi na moja kwa saa za hapa nchini, kupitia televisheni na radio za taifa.

  • Iran yaonya dhidi ya misimamo hasi ya wakala wa IAEA

    Iran yaonya dhidi ya misimamo hasi ya wakala wa IAEA

    Jun 07, 2021 23:09

    Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika asasi za kimataifa zenye makao yao mjini Vienna Austria ametahadharisha kuhusu misimamo hasi na ya uhasama ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) dhidi ya Tehran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS