-
Siri ya kubakia hai Jamhuri ya Kiislamu katika mtazamo wa Kiongozi Muadhamuu
Jun 05, 2021 03:42Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amesema kuwa ubunifu mkubwa zaidi ya hayati Imam Ruhullah Khomeini ni Jamhuri ya Kiislamu, kwa maana ya demokrasia ya kidini ambayo imetambulika rasmi kwa anwani ya Jamhuri ya Kiislamu na kwa anwani ya mfumo wa utawala uliojengeka kwa fikra za taifa la Iran na uongozi wa Imam Khomeini.
-
Balozi wa Syria: Mapinduzi ya Kiislamu Iran yalikuwa tukio muhimu duniani
Jun 04, 2021 03:38Balozi wa Syria nchini mjini Tehran amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa nchi yenye nafasi muhimu zaidi katika eneo la Magharibi mwa Asia na pia katika sera za kimataifa na inahusika katika kuibua mfumo mpya ya kimataifa.
-
Ujumbe wa Mapinduzi ya Kiislamu ni kurejea katika umaanawi na maadili mema
Jun 04, 2021 03:35Ujumbe muhimu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni kutoa wito kwa dunia ya sasa irejee katika umaanawi na maadili mema.
-
Qatar: Mazungumzo na Iran kwa ajili ya kuleta maelewano katika eneo ni kitu cha udharura
Jun 01, 2021 06:16Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar amesema kuwa Doha iko tayari kuchukua nafasi ya upatanishi baina ya madola makubwa ya eneo hili na kwamba mazungumzo na Iran kwa ajili ya kuleta maelewano katika eneo hili ni kitu cha dharura.
-
Iran kuongeza uzalishaji wa mafuta hadi mapipa milioni 6.5 kwa siku
Jun 01, 2021 03:33Waziri wa Mafuta wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa hili limeazimia kuongeza kiwango cha uzalishaji wa mafuta yake.
-
Iran, China na Russia zashauriana kuhusu mazungumzo yajayo ya JCPOA
May 31, 2021 22:22Mwakilishi wa Russsia katika taasisi za kimataifa zenye makao mjini Vienna nchini Austria amesema kuwa jumbe za Iran, China na Russia zimejadiliana huko Vienna kuhusu hatua mazungumzo yajayo ya JCPOA.
-
Rais Rouhani: Tunatumai uhusiano wetu na Ethiopia utaimarika zaidi
May 28, 2021 08:17Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema anatumai kuwa uhusiano wa pande mbili wa nchi hii na Ethiopia utaboreka na kuimarika zaidi.
-
Maprofesa wa Iran wataka kuhitimishwa jinai za utawala wa Kizayuni
May 26, 2021 23:07Maprofesa wa Vyuo Vikuu vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wametoa mwito wa kuhitimishwa mara moja jinai zote zinazofanywa na wanajeshi wa utawala haramu wa Israel na walowezi wa Kizayuni dhidi wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Umoja wa Ulaya wakaribisha kurefushwa makubaliano ya kiufundi kati ya Iran na IAEA
May 26, 2021 03:59Enrique Mora Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Ulaya Kuhusu Hatua za Kigeni amekaribisha makubaliano ya kiufundi yaliyofikiwa hivi karibuni kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia IAEA na kuyataja kuwa 'makuabaliano mazuri.' Amesema makubaliano hayo yataandaa uwanja unaofaa kwa ajili ya kufikiwa mapatano ya kuridhisha mjini Vienna.
-
Rouhani: Taifa la Iran limeibuka na unshindi katika vita ya kiuchumi
May 23, 2021 06:24Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa taifa la Iran limeibuka na ushindi katika vita ya kiuchumi.