-
Rouhani: Taifa la Iran limeibuka na unshindi katika vita ya kiuchumi
May 23, 2021 06:24Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa taifa la Iran limeibuka na ushindi katika vita ya kiuchumi.
-
Maandamano yafanyika Tehran kulaani jinai za utawala wa Israel huko Ghaza
May 19, 2021 22:04Maandamano yamefanyika mjini Tehran kulaani jinai zinazoendelea kufanywa na utawala katili wa Israel dhidi ya Wapalestina wasio na hatia katika Ukanda wa Ghaza.
-
Waziri wa Saudi Arabia: Tuna matumaiani na mwenendo wa mazungumzo na Iran
May 19, 2021 06:54Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Saudi Arabia amesema kuwa, nchi yake ina matumaini na mwenendo wa mazungumzo kati ya nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Rais Rouhani: Usalama na Uthabiti nchini Iraq ni usalama Iran
May 17, 2021 08:34Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema usalama na uthabiti nchini Iraq ni sawa na usamala nchini Iran na amesisitiza kuhusu ushirikiano wa nchi mbili katika kukabiliana na taharui za makundi ya wakufurishaji na magaidi.
-
Zarif afuta safari yake Austria akipinga kuwekwa bendera za Israeli kwenye majengo ya serikal
May 16, 2021 00:02Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Iran amefuta safari yake rasmi nchini Austria akipinga hatua ya nchi hiyo ya kupeperusha bendera za utawala haramu wa Israel juu ya majengo ya serikali katika mji mkuu wa nchi hiyo Vienna, huku Israel ikiendelea kuwaua kinyama raia wa Palestina.
-
Safari ya Zarif mjini Damascus; uungaji mkono wa Iran kwa uchaguzi wa Syria
May 13, 2021 23:01Muhammad Jawad Zarif Waiziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameonana na kuzungumza mjini Damascus na Rais Bashar Asad wa Syria kuhusu uhusiano wa pande mbili, matukio ya Asia Magharibi na uchaguzi mkuu wa rais wa nchi hiyo.
-
Zarif: Tunakaribisha kufanya kazi pamoja na Saudi Arabia
May 12, 2021 21:46Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran inakaribisha ushirikiano na Saudi Arabia na ulimwengu mzima wa Kiarabu.
-
Iran yaanza kuwasajili wagombea wa uchaguzi wa rais leo
May 10, 2021 22:21Usajili wa wagombea wa awamu ya 13 ya uchaguzi wa rais katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran umeanza leo Jumanne.
-
Mustafa al-Kadhimi: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaiunga mkono serikali ya Iraq
May 10, 2021 03:19Mustafa al-Kadhimi, Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa, Wairani ni watu wa kutazama mambo kwa uhalisia wake na kwamba, juhudi zao zinalenga kuiunga mkono serikali ya Baghdad na wala hazina nia ya kuidhoofisha.
-
Mwaka wa tatu wa Marekani kujitoa katika mapatano ya JCPOA, juhudi nyingi zisizo na maana
May 09, 2021 21:04Miaka mitatu iliyopita, Mei 8 2018, Donald Trump rais wa zamani wa Marekani aliiondoa rasmi nchi hiyo katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia mashuhuri kama JCPOA, kwa madai kwamba yalikuwa mapatano mabaya zaidi kuwahi kufikiwa katika historia ya nchi hiyo.