Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Rais Rouhani: Mapatano ya JCPOA hayalindiki kwa kaulimbiu na maneno, yanahitaji vitendo

    Rais Rouhani: Mapatano ya JCPOA hayalindiki kwa kaulimbiu na maneno, yanahitaji vitendo

    Mar 03, 2021 10:20

    Rais Hassan Rouhani amesema, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inasubiri kuona hatua za kivitendo kuhusiana na makubaliano ya nyuklia na akasisitiza kuwa makubaliano hayo ya JCPOA hayalindiki kwa kaulimbiu na maneno matupu.

  • Rouhani:  Marekani haina budi ila kuipigia Iran magoti

    Rouhani: Marekani haina budi ila kuipigia Iran magoti

    Mar 01, 2021 23:17

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kukiri serikali ya Marekani kuhusu kufeli mashinikizo na vikwazo vyake dhidi ya Iran ni mafanikio makubwa kwa taifa la Iran.

  • Khatibzadeh: Huu si wakati mwafaka wa kuitishwa kikao cha JCPOA

    Khatibzadeh: Huu si wakati mwafaka wa kuitishwa kikao cha JCPOA

    Feb 28, 2021 23:44

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje wa Iran amesema kuwa, kwa kutilia maanani misimamo na hatua za karibuni za nchi tatu za Ulaya na Marekani, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaona kuwa huu si wakati mwafaka wa kufanyika kikao kisicho rasmi kilichopendekezwa na Mkuu wa Siasa za Nje za Umoja wa Ulaya baina ya nchi hizo na Tehran kuhusu kadhia ya mapatano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Iran yapokea dozi robo milioni za chanjo ya Corona kutoka China

    Iran yapokea dozi robo milioni za chanjo ya Corona kutoka China

    Feb 28, 2021 09:51

    Shehena ya kwanza ya dozi za chanjo ya kubaliana na ugonjwa wa Covid-19 kutoka China imewasili hapa nchini Iran leo Jumapili.

  • Iran: Njia nyepesi kwa Marekani kurejea katika JCPOA ni kuheshimu ahadi zake

    Iran: Njia nyepesi kwa Marekani kurejea katika JCPOA ni kuheshimu ahadi zake

    Feb 28, 2021 09:48

    Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, njia sahali kabisa kwa Marekani kurejea katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ni kuheshimu na kufungamana na ahadi ilizotoa juu ya mapatano hayo ya kimataifa.

  • Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na Iraq wajadili njia za kupanua ushirikiano

    Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na Iraq wajadili njia za kupanua ushirikiano

    Feb 27, 2021 23:52

    Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Iraq wamejadili masuala mbalimbali katika mazungumzo yao hapa mjini Tehran likiwemo suala la njia za kupanua uhusiano na ushirikiano baina ya pande mbili.

  • Shamkhani: Iran haitaruhusu kuhuishwa ugaidi wa kitakfiri katika eneo

    Shamkhani: Iran haitaruhusu kuhuishwa ugaidi wa kitakfiri katika eneo

    Feb 27, 2021 08:58

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu na mataifa mengine yanayopambana na ugaidi katu hayataruhusu kuhuishwa magenge ya kigaidi na kitakfiri katika eneo la Asia Magharibi.

  • Kuongezeka harakati baina ya mhimili wa mapatano wa Kiarabu na utawala haramu wa Israel

    Kuongezeka harakati baina ya mhimili wa mapatano wa Kiarabu na utawala haramu wa Israel

    Feb 26, 2021 23:15

    Utata na kutokuwa wazi serikali mpya ya Marekani katika siasa zake za kigeni kuhusiana na eneo la Asia Magharibi ni jambo ambalo limepelea kuongezeka kwa mara nyingine harakati za mhimili wa mapatano wa Kiarabu na utawala haramu wa Israel.

  • Ulaya na JCPOA; sharti la Iran la kurudi kwenye Protokali ya Ziada

    Ulaya na JCPOA; sharti la Iran la kurudi kwenye Protokali ya Ziada

    Feb 25, 2021 13:34

    Jibu na radiamali ya pande za Ulaya na Marekani kwa hatua ya Iran ya kusimamisha utekelezaji wa hiari wa Protokali ya Ziada ya Mkataba unaopiga marufuku uundaji na uenezaji silaha za nyuklia y NPT ni ya kutafakariwa na inaonesha muelekeo na mtazamo usio wa kimantiki wa pande hizo.

  • Rouhani: Kuzinduliwa Barabara Kuu ya Ghadir ni ishara ya kufeli mashinikizo ya adui

    Rouhani: Kuzinduliwa Barabara Kuu ya Ghadir ni ishara ya kufeli mashinikizo ya adui

    Feb 25, 2021 08:33

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, kuzinduliwa Barabara Kuu ya Ghadir ni ishara ya wazi ya kufeli 'mashinikizo ya juu kabisa' ya adui dhidi ya Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS