-
Misimamo ya maafisa wa serikali ya Biden kuhusu Iran; kurudiwa misamiati ile ile ya zamani
Jan 20, 2021 23:40Sherehe za kutawazwa Joseph Robinette Biden Jr. kuwa rais wa 46 wa Marekani zimefanyika katika hali ambayo, Jumanne, tarehe 19 Januari 2021, maafisa wa ngazi za juu wa serikali yake walitumia kikao cha Baraza la Sanate la nchi hiyo kutangaza misimamo yao kuhusu Tehran na masuala yanayohusiana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Ishara za mabadiliko katika siasa za kieneo za Saudi Arabia
Jan 19, 2021 23:09Sambamba na kumalizika kipindi cha uongozi wa Donald Trump nchini Marekani, kumedhihirika bayana ishara za mabadiliko katika siasa na sera za kieneo za Saudi Arabia.
-
Qatar yazitaka nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi zifanye mazungumzo na Iran
Jan 19, 2021 04:32Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amezitaka nchi za Kiarabu za eneo la Ghuba ya Uajemi zifanye mazungumzo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Jenerali Baqeri: Marekani inaogopa uwezo wa kiulinzi wa Iran
Jan 18, 2021 10:58Kamanda wa Vikosi vya Ulinzi vya Iran amesema harakati na mienendo ya Marekani katika eneo la Asia Magharibi haina thamani yoyote ya kioperesheni, na badala yake inaonesha wazi namna dola hilo la kibeberu linatiwa kiwewe na uwezo mkubwa wa kujihami wa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Iran yaitahadharisha Marekani kuhusu ndege za kivita aina ya B-52
Jan 18, 2021 01:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif ameashiria uwepo wa ndege za kivita za Marekani aina ya B-52 katika eneo la Asia Magharibi na kuonya kuwa, Iran haitasita kutungua chombo chochote kinachokiuka anga yake.
-
Sheikh Isa Qassim aunga mkono wafungwa wa kisiasa Bahrain
Jan 16, 2021 04:03Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Bahrain ametangaza kuwaunga mkono wafungwa wote wa kisiasa na watetezi wa haki za binadamu huku akisema kuwa wako katika nyoyo za Wabahrain na katu hawatasahauliwa.
-
Iran: Saudia imegeuka wakala wa kutekeleza mipango ghalati ya Israel
Jan 15, 2021 11:19Msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema watawala wa Saudi Arabia wamegeuka na kuwa wakala wa kutekeleza sera na mipango ghalati ya utawala haramu wa Israel katika eneo la Asia Magharibi.
-
Israel yatishia kuishambulia Iran iwapo Biden atairejesha US katika JCPOA
Jan 15, 2021 10:34Mpambe wa karibu wa Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni ametishia kuwa huenda Israel ikaishambulia kijeshi Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iwapo serikali ijayo ya Marekani itarejea katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Iran yavurumisha makombora ya cruise katika mazoezi ya kijeshi baharini
Jan 15, 2021 01:07Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limevurumisha makombora kadhaa ya cruise katika siku ya pili ya mazoezi makubwa ya kijeshi kusini mwa nchi.
-
Ukwamishaji mpya wa Marekani dhidi ya juhudi za Iran za kupambana na virusi vya corona
Jan 14, 2021 23:05Baada ya kujitoa katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia mashuhuri kama JCPOA hapo mnamo Mei 2018, na katika fremu ya kile kinachotajwa kuwa 'mashinikizo ya juu kabisa', Marekani imekuwa ikitekeleza vikwazo vikali zaidi katika historia yake dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na wala haijawahi kulegeza vikwazo hivyo vya kinyama hata katika kipindi hiki kigumu cha kuenea duniani virusi hatari vya corona.