Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Russia yachukua uwenyekiti wa mzunguko wa Baraza la Usalama la UN, yasema Iran haitawekewa vikwazo

    Russia yachukua uwenyekiti wa mzunguko wa Baraza la Usalama la UN, yasema Iran haitawekewa vikwazo

    Oct 02, 2020 08:01

    Baada ya Marekani kushindwa kurefusha zaidi vikwazo vya silaha dhidi ya Iran katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, utawala wa Trump umedai ni mwanachama wa mapatano ya nyuklia ya JCPOA na kwamba eti Iran imekiuka madai hayo na hivyo vikwazo vya kimataifa dhidi ya Iran vinarejea kiotomatiki. Msimamo huo wa Marekani umepingwa kikamilifu na madola yote makubwa duniani hasa Russia.

  • Muelekeo chanya wa Grossi kuhusu maelewano ya Iran na Wakala wa Kimataifa ya Nishati ya Atomiki

    Muelekeo chanya wa Grossi kuhusu maelewano ya Iran na Wakala wa Kimataifa ya Nishati ya Atomiki

    Oct 01, 2020 07:21

    Baada ya kutangazwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA iliyofikia na kundi la 5+1 Juni 2015, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa muda wote ikitoa mashirikiano makubwa kwa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA ili kuthibitisha kuwa shughuli zake za nyuklia zinaendeshwa kwa malengo ya amani sambamba na kutekeleza ahadi na majukumu yake katika JCPOA.

  • Iran: Kuanzisha uhusiano na Israel kunaupa hisia ya kinga utawala huo

    Iran: Kuanzisha uhusiano na Israel kunaupa hisia ya kinga utawala huo

    Oct 01, 2020 04:16

    Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa mjini Geneva amelaani hatua ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel na kusisitiza kuwa, mienendo hiyo haitakuwa na matokeo mengine ghairi ya kuufanya utawala huo wa Kizayuni ujihisi umepata kinga zaidi ya kutowajibishwa.

  • Imarati na Israel; upotoshaji mambo katika kivuli cha kuanzisha migogoro Asia Magharibi

    Imarati na Israel; upotoshaji mambo katika kivuli cha kuanzisha migogoro Asia Magharibi

    Oct 01, 2020 03:56

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) na Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel wamelitumia jukwaa la kila mwaka la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kutoa tuhuma za kukakariwa na zisizo na jipya dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Iran yaadhimisha Siku ya Kufungamana na Watoto wa Palestina

    Iran yaadhimisha Siku ya Kufungamana na Watoto wa Palestina

    Sep 30, 2020 09:19

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo Jumatano ya Septemba 30 (tarehe 9 Mehr kwa mujibu wa kalenda ya Kiirani ya Hijria Shamsia), imeadhimisha Siku ya Kufungamana na Watoto wa Kipalestina.

  • Iran yatuma salamu za rambi rambi baada ya kuaga dunia Amir wa Kuwait

    Iran yatuma salamu za rambi rambi baada ya kuaga dunia Amir wa Kuwait

    Sep 30, 2020 04:34

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za rambi rambi kufuatia kuaga dunia Sheikh Swabah al-Ahmad Jabir as-Swabah, Amir wa Kuwait.

  • Uwezo wa jeshi la majini la Iran, udharura wa kijilinda na kukabiliana na adui

    Uwezo wa jeshi la majini la Iran, udharura wa kijilinda na kukabiliana na adui

    Sep 28, 2020 21:58

    Uwezo wa jeshi la majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika pwani ndefu ya kaskazini na kusini mwa nchi una umuhimu mkubwa katika ngazi ya kikanda na kimataifa.

  • Iran yakadhibisha madai ya kufanya mazungumzo na Marekani nchini Oman

    Iran yakadhibisha madai ya kufanya mazungumzo na Marekani nchini Oman

    Sep 28, 2020 08:47

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekanusha vikali taarifa zinazodai kuwa Jamhuri ya Kiislamu imefanya mazungumzo na Marekani huko nchini Oman.

  • Iran yaitaka Armenia na Azerbaijan zisitishe mapigano, makumi wauawa

    Iran yaitaka Armenia na Azerbaijan zisitishe mapigano, makumi wauawa

    Sep 28, 2020 08:21

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezitaka nchi za Armenia na Azerbaijan zijizuie na zisitishe mapigano yanayoshuhudiwa katika mpaka wa nchi mbili hizo tokea jana Jumapili.

  • "Shambulizi la Marekani dhidi ya mashujaa wa kukabiliana na ugaidi ni tusi kwa Iraq"

    Sep 27, 2020 04:33

    Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema shambulizi la jeshi la Marekani lililoua shahidi mashujaa wa kupambana na ugaidi katika eneo la Asia Magharibi mapema mwaka huu ni tusi kwa mamlaka ya kujitawala Iraq.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS