Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Watu karibu 42,000 wapona corona Iran, milioni 1.7 waathiriwa kote duniani

    Watu karibu 42,000 wapona corona Iran, milioni 1.7 waathiriwa kote duniani

    Apr 11, 2020 10:36

    Huku idadi ya kesi mpya za ugonjwa wa Covid-19 (corona) ikiendelea kushuka kwa siku kadhaa sasa nchini iran, kufikia leo mchana watu karibu 42,000 walikuwa wamesharuhusiwa kurudi nyumbani kutoka mahospitalini baada ya kupata nafuu kikamilifu.

  • Mtihani wa Corona wa Mfuko wa Fedha wa Kimataifa; kwa maslahi au dhidi ya Iran

    Mtihani wa Corona wa Mfuko wa Fedha wa Kimataifa; kwa maslahi au dhidi ya Iran

    Apr 10, 2020 23:51

    Akijibu hatua za kibaguzi za Mfuko wa Fedha wa Kimataifa (IMF) wakati huu mgumu wa maambukizi ya corona, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa mfuko huo unapasa kutekeleza majukumu yake.

  • Iran kurutubisha urani hadi SWU milioni moja iwapo EU itafeli kutoa dhamana ya kutekeleza JCPOA

    Iran kurutubisha urani hadi SWU milioni moja iwapo EU itafeli kutoa dhamana ya kutekeleza JCPOA

    Apr 09, 2020 03:52

    Kamati ya Usalama wa Taifa na Sera za Kigeni ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) imesema Tehran itaendelea kurutubisha urani kwa kiwango inachotaka, lakini inaweza kuangalia upya urutubishaji huo iwapo tu Umoja wa Ulaya utatoa dhamana ya kivitendo ya kuheshimu na kufungamana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Iran yaungana na ulimwengu wa Kiislamu katika maadhimisho ya kukumbuka kuzaliwa Imam Mahdi (AF)

    Iran yaungana na ulimwengu wa Kiislamu katika maadhimisho ya kukumbuka kuzaliwa Imam Mahdi (AF)

    Apr 08, 2020 23:27

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeungana na ulimwengu wa Kiislamu hii leo kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa Imam Mahdi (AF).

  • Mgogoro wa corona umedhihirisha kuwa US haiwezi hata kujiongoza yenyewe

    Mgogoro wa corona umedhihirisha kuwa US haiwezi hata kujiongoza yenyewe

    Apr 07, 2020 03:04

    Msaidizi Maalumu wa Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) katika masuala ya kimataifa amesema mgogoro wa ugonjwa wa Covid-19 (corona) umeudhihirishia ulimwengu kuwa, utawala wa kibeberu wa Marekani ambao unajiona kuwa kiongozi na mtawala wa dunia umeshindwa hata kujiongoza wenyewe.

  • Kukabiliana na corona; kubadilisha tishio kuwa fursa

    Kukabiliana na corona; kubadilisha tishio kuwa fursa

    Apr 06, 2020 07:31

    'Nina matumaini kuhusu mafanikio ya Iran katika kukabiliana na virusi vya corona." Hiyo ni kauli ya Daktari Richard Brennan, mkuu wa ujumbe wa Shirika la Afya Duniani (WHO) uliotembelea Iran mwezi uliopita. Akizungumza na waandishi habari mjini Tehran aliongeza kuwa: "Tunawapongeza na tunajivunia wafanyakazi wa sekta ya tiba Iran kutokana na uchapakazi wao."

  • Rais Rouhani: Kazi zenye hatari ndogo ya maambukizi zinaweza kuanza Iran sambamba na kulinda sheria za afya

    Rais Rouhani: Kazi zenye hatari ndogo ya maambukizi zinaweza kuanza Iran sambamba na kulinda sheria za afya

    Apr 05, 2020 07:18

    Rais Hassan Rouhani was Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kazi za kiuchumi na za kati zisizo na hatari ya maambukizi ya virusi vya corona zinaweza kuanza tena hapa nchini tarehe 11 mwezi huu wa Aprili sambamba na kuchunga na kuheshumu protokali zote za afya.

  • Madai ya uongo ya Trump kuwa eti Iran haijaomba kupunguziwa vikwazo

    Madai ya uongo ya Trump kuwa eti Iran haijaomba kupunguziwa vikwazo

    Apr 03, 2020 23:43

    Baada ya kujitoa bila ya sababu katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA mwezi Mei 2018 serikali ya Donald Trump huko Marekani iliirejeshea Iran vikwazo vyote vilivyokuwa vimeondolewa baada ya kufikiwa makubaliano hayo, bali iiiwekea Tehran vikwazo vya kiwango cha juu kabisa kama anavyojitapa mara kwa mara Donald Trump.

  • Uafriti wa Trump wa kuanzisha chokochoko na mivutano katika eneo kwa kuzusha tuhuma dhidi ya Iran

    Uafriti wa Trump wa kuanzisha chokochoko na mivutano katika eneo kwa kuzusha tuhuma dhidi ya Iran

    Apr 03, 2020 02:27

    Licha ya hali ya dharura na isiyo ya kawaida iliyopo kimataifa kutokana na mripuko wa janga la corona lililoikumba dunia nzima, Marekani ingali inaendelea kufuata muelekeo wa utumizi wa nguvu za kijeshi na kushikilia kuchukua hatua za kijeshi katika siasa zake za nje.

  • Trump akariri tena ombi lake la kufanya mazungumzo na Iran

    Trump akariri tena ombi lake la kufanya mazungumzo na Iran

    Apr 02, 2020 10:23

    Rais Donald Trump wa Marekani amedai kwamba, 'Marekani haitaki uadui na Iran na kwamba italazimika kufanya nayo mazungumzo.'

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS