Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Trump akariri tena ombi lake la kufanya mazungumzo na Iran

    Trump akariri tena ombi lake la kufanya mazungumzo na Iran

    Apr 02, 2020 10:23

    Rais Donald Trump wa Marekani amedai kwamba, 'Marekani haitaki uadui na Iran na kwamba italazimika kufanya nayo mazungumzo.'

  • Marekani yakiri kuiwekea Iran vikwazo vya dawa

    Marekani yakiri kuiwekea Iran vikwazo vya dawa

    Mar 31, 2020 03:49

    Kuendelea vikwazo vya kidhalimu vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu hata katika mazingira haya magumu ya kuenea virusi vya corona na kuwekwa vizingiti vya kila aina katika njia ya kudhaminiwa vifaa vya afya na matibabu kwa ajili ya kukabiliana na virusi hivyo, kumewafanya wengi wakiri kuwa 'mashinikizo ya juu zaidi' ya Marekani dhidi ya Iran yanajumuisha hata mfumo wa afya na tiba wa nchi hii.

  • Sisitizo la Marekani kuendeleza operesheni za kijeshi nje ya nchi licha ya maambukizi ya Corona

    Sisitizo la Marekani kuendeleza operesheni za kijeshi nje ya nchi licha ya maambukizi ya Corona

    Mar 29, 2020 21:59

    Kuenea kusiko kwa kawaida kwa virusi angamizi vya Corona duniani, kumezifanya nchi nyingi za dunia kukumbwa na hali ngumu na matatizo.

  • Iran yatoa yuro bilioni 21 kusaidia familia na biashara zilizoathirika na Corona nchini

    Iran yatoa yuro bilioni 21 kusaidia familia na biashara zilizoathirika na Corona nchini

    Mar 29, 2020 03:41

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetenga yuro bilioni 21.3 zitakazotumika kuzisaidia familia na biashara zilizoathirika na mlipuko wa ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya Corona hapa nchini.

  • Marekani yakataa kuachia fedha za Iran za kuiwezesha kukabiliana na corona

    Marekani yakataa kuachia fedha za Iran za kuiwezesha kukabiliana na corona

    Mar 28, 2020 03:43

    Marekani imekataa katika mazingira haya tete ya janga la corona kuachia mali na fedha za Iran zitakazoiwezesha Jamhuri ya Kiislamu kukabiliana na kirusi hicho angamizi.

  • Vikwazo vipya vya Marekani; sisitizo la Washington la kuendeleza sera ya mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran

    Vikwazo vipya vya Marekani; sisitizo la Washington la kuendeleza sera ya mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran

    Mar 28, 2020 01:47

    Licha ya matakwa na mashinikizo ya kimtaifa ya kuondolewa vikwazo vya upande mmoja vya Marekani dhidi ya Iran hasa kwa kuzingatia mlipuko wa virusi vya corona na kuweko ulazima wa kukabiliana navyo, lakini serikali ya Washington inasisitiza kuendeleza utendaji wake usio wa kiutu na kibinadamu.

  • Zaidi ya watu 11 elfu wapata nafuu baada ya kuugua COVID-19 nchini Iran

    Zaidi ya watu 11 elfu wapata nafuu baada ya kuugua COVID-19 nchini Iran

    Mar 27, 2020 09:05

    Wizara ya Afya ya Iran imetangaza kuwa, hadi leo Ijumaa mchana, watu 11 elfu na 133 walikuwa wameshapata nafuu na kuruhusiwa kurejea nyumbani kutoka hospitalini hapa nchini baada ya kuugua ugonjwa wa COVID-19.

  • Ombi la nchi 8 kwa Umoja wa Mataifa kuhusu kuondolewa vikwazo dhidi ya Iran

    Ombi la nchi 8 kwa Umoja wa Mataifa kuhusu kuondolewa vikwazo dhidi ya Iran

    Mar 27, 2020 05:25

    Kuendelea vikwazo vya kidhalimu na vilivyo dhidi ya ubinadamu vya Marekani dhidi ya Iran katika fremu ya mashinikizo ya juu kabisa ya utawala wa Trump katika kipindi hiki cha kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona nchini Iran sambamba na udharura wa kukabiliana na ugonjwa huo angamizi kumepelekea jamii ya kimataifa iwasilishe maombi ya kutaka vikwazo hivyo viondolewa mara moja.

  • IRGC: Iran inaweza kuisaidia Marekani kupambana na corona, lakini haihitaji msaada wao

    IRGC: Iran inaweza kuisaidia Marekani kupambana na corona, lakini haihitaji msaada wao

    Mar 27, 2020 03:45

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema mfumo wa afya hapa nchini ni madhubuti na kwamba Iran inaweza kuisaidia Marekani kukabiliana na mripuko wa virusi vya corona, lakini taifa hili halihitaji msaada wowote kutoka kwa watawala wa Washington.

  • Kuendelea vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran katika kivuli cha Corona

    Kuendelea vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran katika kivuli cha Corona

    Mar 27, 2020 03:28

    Katika radiamali yake dhidi ya msimamo wa hivi karibuni wa Mike Pompeo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani juu ya kuendelea mashinikizo ya juu zaidi ya Washington dhidi ya Tehran, Muhammad Jawad Zarif, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtaja waziri huyo wa Marekani kuwa 'waziri wa chuki'.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS