• Rais Rouhani: Jopo la uchunguzi wa ajali ya ndege ya Ukraine libuniwe

    Rais Rouhani: Jopo la uchunguzi wa ajali ya ndege ya Ukraine libuniwe

    Jan 14, 2020 08:34

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mwito wa kuundwa jopo maalumu la mahakama la kuchunguza ajali ya ndege ya Ukraine iliyoua watu 176 siku chache zilizopita hapa jijini Tehran, sanjari na kuwafikisha mbele ya sheria wahusika wa ajali hiyo.

  • Misimamo ya kugongana ya Washington kuhusu sababu za kumuua kigaidi Luteni Soleimani

    Misimamo ya kugongana ya Washington kuhusu sababu za kumuua kigaidi Luteni Soleimani

    Jan 14, 2020 00:58

    Tarehe 3 Januari 2020, Marekani ilifanya jinai na ugaidi mkubwa wa kumuua kidhulma Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu tena akiwa mgeni rasmi wa serikali ya Iraq.

  • Iran na Qatar kuimarisha uhusiano wa pande mbili katika nyuga tofauti

    Iran na Qatar kuimarisha uhusiano wa pande mbili katika nyuga tofauti

    Jan 12, 2020 21:14

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uhusiano wa kisiasa baina ya Iran na Qatar ni mzuri lakini nchi mbili hizo zina fursa ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili wa Doha na Tehran na katika nyuga mbalimbali zikiwemo za uchumi, biashara, utalii na sayansi.

  • Akthari ya Wamarekani hawaungi mkono namna Trump anavyoamiliana na Iran

    Akthari ya Wamarekani hawaungi mkono namna Trump anavyoamiliana na Iran

    Jan 12, 2020 21:07

    Utafiti mpya wa maoni uliofanywa na shirika la Ipsos likishirikiana na kanali ya televisheni ya ABC News ya Marekani unaonyesha kuwa, aghalabu ya wananchi wa Marekani hawaungi mkono sera ghalati za Rais Donald Trump dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Madai ya Umoja wa Ulaya kwamba eti umefungamana na mapatano ya JCPOA

    Madai ya Umoja wa Ulaya kwamba eti umefungamana na mapatano ya JCPOA

    Jan 12, 2020 08:21

    Umoja wa Ulaya, ambao Mkuu wake wa Siasa zake za Nje wakati yalipofikiwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA alikuwa ni Federica Mogherini, aliyeongoza timu ya umoja huo katika mazungumzo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hadi kufikiwa mwafaka kati ya Tehran na kundi la 5+1, unajulikana kama moja ya waungaji mkono wa JCPOA.

  • Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Iran; muendelezo wa sera za mashinikizo ya juu kabisa

    Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Iran; muendelezo wa sera za mashinikizo ya juu kabisa

    Jan 11, 2020 04:43

    Katika zama za utawala wa Rais Donald Trump, serikali ya Marekani imekuwa ikifuatilia sera za mashinikizo ya juu kabisa dhidi ya Iran na katika fremu hiyo mnamo Mei 8 2018, Washington ilitangaza kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA na baada ya hapo ikaweka vikwazo shadidi zaidi dhidi ya Iran. Pamoja na kuwa vikwazo hivyo havijafikia malengo yaliyokusudiwa, Marekani inasisitiza kuendeleza sera yake ya kushadidisha vikwazo.

  • Ulaya yapinga ombi la Trump la kujiondoa JCPOA

    Ulaya yapinga ombi la Trump la kujiondoa JCPOA

    Jan 11, 2020 01:21

    Umoja wa Ulaya sambamba na nchi tatu za Ulaya za Ufaransa, Ujerumani na Uingereza zinazojulikana kama Troika ya Ulaya, ni waungaji mkono wa mapatano ya kimataifa ya nyuklia maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA.

  • Ndege ya abiria ya Ukraine yawaka moto Tel Aviv, Israel

    Ndege ya abiria ya Ukraine yawaka moto Tel Aviv, Israel

    Jan 10, 2020 08:39

    Ndege ya abiria aina ya Boing 737-800 ya Shirika la Ndege la Ukraine, imewaka moto katika uwanja wa ndege wa Tel Aviv, Israel.

  • Rais Rouhani wa Iran: Wamarekani wahitimishe hatua zao ghalati

    Rais Rouhani wa Iran: Wamarekani wahitimishe hatua zao ghalati

    Jan 10, 2020 08:33

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa anataraji kwamba Wamarekani watahitimisha hatua zao ghalati, lakini iwapo watatekeleza hatua nyingine iliyo dhidi ya maslahi ya Iran, basi watapata jibu kali mkabala.

  • Mashauriano ya kidiplomasia ya Iran kwa ajili ya kuarifisha jinai za Marekani

    Mashauriano ya kidiplomasia ya Iran kwa ajili ya kuarifisha jinai za Marekani

    Jan 10, 2020 07:30

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mazungumzo yake ya simu na viongozi wa nchi kadhaa jirani, nchi za Ulaya na Afrika kwamba Iran inaunga mkono amani na usalama lakini haitakaa kimya mbele ya vitimbi vya Marekani.