Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Iran yajibu uvumi unaoenezwa kuhusu chanzo cha ajali ya ndege ya Ukraine

    Iran yajibu uvumi unaoenezwa kuhusu chanzo cha ajali ya ndege ya Ukraine

    Jan 10, 2020 00:20

    Mkuu wa shirika la ndege la Iran amesema: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndio yenye wajibu wa kuchunguza ajali ya ndege ya abiria aina ya Boing 737 ya Ukraine iliyoanguka katika anga ya mji wa Tehran.

  • Majibu ya kutapatapa ya Trump baada ya Iran kupiga kwa makombora kambi za Marekani + Video

    Majibu ya kutapatapa ya Trump baada ya Iran kupiga kwa makombora kambi za Marekani + Video

    Jan 09, 2020 07:20

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetekeleza kivitendo ahadi yake ya kutoa jibu kali kwa jinai ya Marekani ya kumuua kigaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH.

  • Uingereza yakataa ombi la Trump la kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Uingereza yakataa ombi la Trump la kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Jan 09, 2020 04:32

    Serikali ya Uingereza imekataa ombi la Rais Donald Trump wa Marekani la kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kusema makubaliano hayo yana umuhimu kwa London katika upande wa masuala ya kiusalama.

  • Kiongozi Muadhamu: Iran imejizatiti mkabala wa madola ya kibeberu

    Kiongozi Muadhamu: Iran imejizatiti mkabala wa madola ya kibeberu

    Jan 08, 2020 04:49

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema taifa la Iran limejiandaa na kujizatiti barabara mkabala wa madola ya kibeberu duniani.

  • Meja Jenerali Baqeri: Tutatoa jibu kali zaidi kwa hatua yoyote ovu ya US

    Meja Jenerali Baqeri: Tutatoa jibu kali zaidi kwa hatua yoyote ovu ya US

    Jan 08, 2020 04:34

    Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Iran amesema kuwa, majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yatatoa jibu kali zaidi na kwa nguvu zote dhidi ya hatua yoyote ghalati na ovu ya Marekani.

  • Watu 176 waaga dunia katika ajali ya ndege ya Ukraine mjini Tehran

    Watu 176 waaga dunia katika ajali ya ndege ya Ukraine mjini Tehran

    Jan 08, 2020 04:12

    Watu 176 wamepoteza maisha baada ya ndege ya abiria ya Ukraine kuanguka na kuteketea moto viungani mwa mji mkuu wa Iran, Tehran.

  • Iran yavurumisha makombora ya balestiki na kupiga kambi za jeshi za Marekani

    Iran yavurumisha makombora ya balestiki na kupiga kambi za jeshi za Marekani

    Jan 08, 2020 00:18

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limevurumisha makombora ya balestiki na kupiga kambi za kijeshi za Marekani nchini Iraq, kama jibu la kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha SEPAH.

  • Muungano wa Marekani wahamisha makao yake makuu kutoka Iraq hadi Kuwait

    Muungano wa Marekani wahamisha makao yake makuu kutoka Iraq hadi Kuwait

    Jan 07, 2020 23:21

    Muungano eti wa kupambana na kundi la Daesh unaoongozwa na Marekani umehamisha makao yake makuu kutoka Iraq na kuyapeleka Kuwait kufuatia mauaji ya Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Luteni Jenerali Qassem Soleimani na Naibu Kamanda wa kikosi cha kujitolea cha wananchi wa Iraq, al Hashdul Shaabi Abu Mahdi al Muhandes, na sisitizo la Iran la kulipiza kisasi mauaji hayo ya kigaidi yaliyofanywa na Marekani.

  • Putin atembelea Syria na kukutana Assad, atembelea mitaa ya Damascus

    Putin atembelea Syria na kukutana Assad, atembelea mitaa ya Damascus

    Jan 07, 2020 23:19

    Rais Vladimir Putin wa Russia jana aliwasili Damascus mji mkuu wa Syria na kukutana na Rais wa nchi hiyo, Bashar Assad.

  • Kupinga Russia na China taarifa ya upande mmoja ya Marekani kuhusiana na matukio ya Iraq

    Kupinga Russia na China taarifa ya upande mmoja ya Marekani kuhusiana na matukio ya Iraq

    Jan 07, 2020 23:17

    Jinai za Marekani huko Iraq hususan shambulio lake la kijeshi dhidi ya ngome za Harakati ya Wananchi ya al-Hashd al-Shaabi katika mpaka wa pamoja wa Iraq na Syria, zimekabiliwa na malalamiko makubwa ya Wairaqi ambao walifanya maandamano na kukusanyika katika ubalozi wa Marekani mjini Baghdad.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS