Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Iran yakosoa azimio la kisiasa la UN juu ya haki za binadamu nchini

    Iran yakosoa azimio la kisiasa la UN juu ya haki za binadamu nchini

    Dec 19, 2019 09:10

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran inakosoa vikali azimio lililopasishwa na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu eti ukiukaji wa haki za binadamu hapa nchini.

  • Rouhani: Marekani ndio mzizi wa matatizo ya Waislamu duniani

    Rouhani: Marekani ndio mzizi wa matatizo ya Waislamu duniani

    Dec 19, 2019 00:38

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uingiliaji mambo wa Marekani ndilo chimbuko la matatizo na migogoro inayoukabili uliwemwengu wa Kiislamu hii leo.

  • Iran na Russia zaonya kuhusu kuhamishiwa magaidi wa Daesh Afghanistan

    Iran na Russia zaonya kuhusu kuhamishiwa magaidi wa Daesh Afghanistan

    Dec 18, 2019 23:02

    Maafisa wa ngazi za juu wa usalama wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia wameonya kuhusu njama za makusudi za kuwahamishia wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh nchini Afghanistan.

  • Qatar: Iran ni jirani muhimu kwa nchi za eneo la Ghuba ya Uajemi

    Qatar: Iran ni jirani muhimu kwa nchi za eneo la Ghuba ya Uajemi

    Dec 17, 2019 09:32

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar Muhammad bin Abdulrahman bin Jassim Al Thani amesema, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni jirani muhimu kwa nchi za eneo la Ghuba ya Uajemi.

  • Sisistizo la  Mkuu wa Sera za Kigeni wa EU kuhusu kulindwa JCPOA, akiri Iran imefungamana na mapatano hayo

    Sisistizo la Mkuu wa Sera za Kigeni wa EU kuhusu kulindwa JCPOA, akiri Iran imefungamana na mapatano hayo

    Dec 17, 2019 04:38

    Umoja wa Ulaya, na nchi tatu muhimu za umoja huo yaani Uingereza, Ufaransa na Ujerumani maarufu kama Troika ya Ulaya, zilikuwa na nafasi muhimu katika kufikiwa mpatano ya nyuklia ya Iran maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) ambayo yalifikiwa mwaka 2015.

  • Oman na Qatar zataka kuimarisha uhusiano na Iran

    Oman na Qatar zataka kuimarisha uhusiano na Iran

    Dec 15, 2019 04:31

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema taifa hili linajivunia kuwa na uhusiano mzuri na wa udugu na Oman huku akisisitizia umuhimu wa kuimarishwa uhusiano huo.

  • Waziri Mkuu wa Malaysia: Vikwazo vya US dhidi ya Iran ni haramu

    Waziri Mkuu wa Malaysia: Vikwazo vya US dhidi ya Iran ni haramu

    Dec 15, 2019 04:19

    Waziri Mkuu wa Malaysia amesema vikwazo vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni batili na vya kidhalimu, na ambavyo vinakiuka Mkataba wa Umoja wa Mataifa na sheria za kimataifa.

  • Ripoti: Saudia inafanya jitihada za kuboresha uhusiano na Iran

    Ripoti: Saudia inafanya jitihada za kuboresha uhusiano na Iran

    Dec 14, 2019 04:07

    Gazeti la The Wall Street Journal la Marekani limeripoti kuwa, watawala wa Saudi Arabia wanafanya jitihada za chini kwa chini za kuwa na uhusiano mzuri na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na nchi nyingine za eneo la Asia Magharibi.

  • Kuwait: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haipasi kuwa chini ya vikwazo

    Kuwait: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haipasi kuwa chini ya vikwazo

    Dec 13, 2019 23:36

    Mwakilishi wa Kuwait katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa amesisitiza kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haipasi kuwa chini ya vikwazo.

  • Nchi za Magharibi zinatumia vibaya suala la haki za binadamu kwa kisingizio cha kutetea watu

    Nchi za Magharibi zinatumia vibaya suala la haki za binadamu kwa kisingizio cha kutetea watu

    Dec 13, 2019 23:32

    Abbas Musawi, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amelaani msimamo wa hivi karibuni wa Heiko Maas, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani wa kutumia kisiasa matukio na ghasia za hivi karibuni nchini Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS