Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Guterres asisitiza kuwa vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran vinakiuka azimio 2231

    Guterres asisitiza kuwa vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran vinakiuka azimio 2231

    Dec 13, 2019 05:33

    Rais Donald Trump wa Marekani ni mpinazni mkali wa mapatano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) akiyataja kuwa ni mapatano mabaya zaidi kuwahi kufikiwa katika historia ya Marekani.

  • Aghalabu ya waliouawa katika ghasia za Iran, hawakuwapo kwenye maandamano

    Aghalabu ya waliouawa katika ghasia za Iran, hawakuwapo kwenye maandamano

    Dec 12, 2019 21:14

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema asilimia 85 ya watu waliouawa katika ghasia za hivi karibuni hapa jijini Tehran hawakuwepo kwenye maandamano au mikusanyiko yoyote, bali walilengwa na watu fulani kwa niaba ya maadui.

  • Nia njema na kuaminiana; mambo ya lazima ya kupatikana usalama wa Ghuba ya Uajemi

    Nia njema na kuaminiana; mambo ya lazima ya kupatikana usalama wa Ghuba ya Uajemi

    Dec 12, 2019 10:04

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiiislamu ya Iran amelaani vikali taarifa ya mwisho ya kikao cha 40 cha wakuu wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi kilichofanyika huko Riyadh mji mkuu wa Saudi Arabia na kusema kuwa, waungaji mkono wa siasa zisizo na hekima katika eneo hili la Mashariki ya Kati wanapaswa kutoa majibu na kuwajibika mbele ya fikra za waliowengi.

  • Iran: Maadui hawawezi kufunga njia ya Sheikh Ibrahim Zakzaky magharibi mwa Afrika

    Iran: Maadui hawawezi kufunga njia ya Sheikh Ibrahim Zakzaky magharibi mwa Afrika

    Dec 12, 2019 04:51

    Hujjatul-Islam Wal Muslimina, Ahmad Marvi ambaye anasimamia haramu ya Imam Ridha (as) katika mji wa Mash'had, kaskazini mashariki mwa Iran amesema kuwa maadui hawawezi kufuta fikra na njia ya Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria, barani Afrika kwa kuwa fikra zake zinazidi kuchanua siku hadi siku.

  • UN yapinga madai ya Marekani na Saudi Arabia kuhusu kuhusika Iran katika shambulio la Aramco

    UN yapinga madai ya Marekani na Saudi Arabia kuhusu kuhusika Iran katika shambulio la Aramco

    Dec 12, 2019 04:12

    Shambulio lililofanywa na vikosi vya muqawama vya Yemen katika taasisi za Shirika la Mafuta la Aramco mashariki mwa Saudi Arabia ni pigo kubwa kwa uwezo wa mafuta wa Saudia; kiasi kwamba lilipelekea utawala wa Saudia na mutifaki wake mkuu Marekani kuituhumu Iran kuwa ilihusika na shambulio hilo ili kuhalalisha kushindwa utawala huo huko Yemen.

  • Watu 16,000 wajisajili kugombea ubunge Iran, ongezeko la 29%

    Watu 16,000 wajisajili kugombea ubunge Iran, ongezeko la 29%

    Dec 08, 2019 09:26

    Mwenyekiti wa Makao Makuu ya Uchaguzi nchini Iran amesema watu 16,000 wamejiandikisha kwa ajili ya kugombea ubunge katika uchaguzi ujao hapa nchini.

  • Iran: Tunatumai mazungumzo na Nigeria yatapelekea kuachiwa Zakzaky

    Iran: Tunatumai mazungumzo na Nigeria yatapelekea kuachiwa Zakzaky

    Dec 08, 2019 08:37

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema ina wingi wa matumaini kuwa mazungumzo kati ya Tehran na Abuja yatakuwa chachu ya kuanza safari ya kuachiwa huru kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky.

  • Nukta tano kuhusu jaribio la kombora la utawala wa Kizayuni wa Israel

    Nukta tano kuhusu jaribio la kombora la utawala wa Kizayuni wa Israel

    Dec 08, 2019 03:56

    Msemaji wa Jeshi la Utawala wa Kizayuni wa Israel tarehe 6 Disemba alitangaza kuwa jeshi la utawala huo lilifanyia jaribio kombora moja katika eneo la Ashdod.

  • Zarif: Mafanikio ya kisayansi ya wasomi Wairani ni mwiba katika macho ya maadui

    Zarif: Mafanikio ya kisayansi ya wasomi Wairani ni mwiba katika macho ya maadui

    Dec 08, 2019 01:25

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammad Javad Zarif amesema katika kipindi cha miaka 40 iliyopita, Marekani imekuwa ikijaribu kuzuia ustawi wa Iran lakini haijaweza kufanikiwa.

  • AFRICOM: Russia ilitungua drone ya Marekani nchini Libya

    AFRICOM: Russia ilitungua drone ya Marekani nchini Libya

    Dec 07, 2019 08:44

    Jeshi la Marekani limedai kuwa Jeshi la Ulinzi wa Anga la Russia lilitungua drone yake katika mji mkuu wa Libya, Tripoli mwezi uliopita.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS