Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Kamisheni ya JCPOA yasisitiza juu ya kulindwa makubaliano hayo

    Kamisheni ya JCPOA yasisitiza juu ya kulindwa makubaliano hayo

    Dec 07, 2019 03:54

    Kikao cha 14 cha Kamisheni ya Pamoja ya Makubaliano ya Nyuklia ya JCPOA kimesisitizia tena kuhusu umuhimu wa kulindwa mapatano hayo ya kimataifa na kwamba Iran imefungamana na makubaliano hayo.

  • Tahadhari ya Russia kuhusu uwezekano wa kusambaratika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Tahadhari ya Russia kuhusu uwezekano wa kusambaratika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Dec 06, 2019 07:00

    Baada ya Marekani kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA mwezi Mei mwaka 2018 wanachama wengine wa makubaliano hayo wamekuwa wakitilia mkazo udharura wa kulindwa mapatano hayo ya kimataifa kutokana na umuhimu wake katika kulinda amani na usalama wa kimataifa.

  • Troika ya Ulaya yafuata nyazo za Marekani katika njama dhidi ya mpango wa makombora ya kujihami ya Iran

    Troika ya Ulaya yafuata nyazo za Marekani katika njama dhidi ya mpango wa makombora ya kujihami ya Iran

    Dec 05, 2019 23:18

    Pamoja na kuwa nchi za Ulaya zinadai kuwa zinaunga mkono ulindwaji wa mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA), Troika ya Ulaya (Ujerumani, Ufaransa na Uingereza) inatekeleza sera za vitisho dhidi ya Iran na imeamua kufuata nyayo za Marekani katika kupinga uwezo wa makombora ya Iran ambayo lengo lake ni kujihami tu.

  • Tehran; kituo cha udiplomasia wa kisiasa-kiuchumi wa nchi zinazopakana na Iran

    Tehran; kituo cha udiplomasia wa kisiasa-kiuchumi wa nchi zinazopakana na Iran

    Dec 05, 2019 07:30

    Tehran, mji mkuu wa Iran, katika kipindi cha wiki moja iliyopita, umekuwa mwenyeji wa mawaziri wa nchi jirani za ukanda wa kusini na kaskazini. Aidha katika siku za hivi karibuni mji wa Tehran umekuwa mwenyeji wa mikutano kadhaa ya kieneo.

  • Mkurugenzi Mkuu mpya wa wakala wa IAEA na mustakabali wa JCPOA

    Mkurugenzi Mkuu mpya wa wakala wa IAEA na mustakabali wa JCPOA

    Dec 03, 2019 08:38

    Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) ukiwa asasi ya usimamizi ya Umoja wa Mataifa kwa taasisi na shughuli za nyuklia za nchi wanachama, una nafasi muhimu mno katika kudhamini shughuli za nyuklia za wanachama wake na vilevile kueneza matumizi ya nishati ya nyuklia kwa malengo ya amani.

  • Araqchi: Kubakia hai JCPOA kutategemea jitihada za EU

    Araqchi: Kubakia hai JCPOA kutategemea jitihada za EU

    Nov 30, 2019 00:59

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema kuyanusuru na kuyabakisha hai makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kutategemea na jitihada za Umoja wa Ulaya na kutekeleza kwao majukumu yao kwa mujibu wa mapatano hayo.

  • Sisitizo la Russia kuhusu haki ya Iran ya kupunguza uwajibikaji wake katika JCPOA

    Sisitizo la Russia kuhusu haki ya Iran ya kupunguza uwajibikaji wake katika JCPOA

    Nov 29, 2019 03:27

    Hatua ya Iran kupunguza utekelezaji wa ahadi zake katika mapatano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji (JCPOA) imekabiliwa na ukosoaji mkali wa nchi za Ulaya katika kundi la 4+1 ambalo linazileta pamoja China, Russia, Ufaransa, Uingereza na Ujerumani. Ifahamike kuwa, Iran imechukua hatua hiyo baada ya Marekani kujiondoa katika mapatano ya JCPOA na nchi za Ulaya kushindwa kuchukua hatua za kivitendo za kufidia Marekani kujiondoa katika mapatano hayo ya kimataifa ya nyuklia.

  • Mousavi: Matamshi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa kuhusu JCPOA si ya uwajibikaji

    Mousavi: Matamshi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa kuhusu JCPOA si ya uwajibikaji

    Nov 28, 2019 08:32

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amejibu matamshi yasiyo na maana na ya kutojali ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa kuhusu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kwa kusema: Matamshi hayo yanadhoofisha jitihada za hivi sasa za kutekeleza kikamilifu makubaliano ya JCPOA.

  • Shirika la FAO lasisitiza kuimarisha uhusiano na Iran

    Shirika la FAO lasisitiza kuimarisha uhusiano na Iran

    Nov 28, 2019 07:02

    Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limesisitizia azma yake ya kufungua ukurasa mpya wa ushirikiano kati yake na Iran.

  • Safari ya Waziri wa Ulinzi wa Ufaransa nchini Imarati; tangazo la kuundwa muungano wa baharini

    Safari ya Waziri wa Ulinzi wa Ufaransa nchini Imarati; tangazo la kuundwa muungano wa baharini

    Nov 26, 2019 22:11

    Ufaransa imekuwa na msimamo wa kindumakuwili kuhusiana na matukio ya hivi karibuni katika Ghuba ya Uajemi hususan masuala yanayohusiana na Iran; kwani sambamba na kuunga mkono makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, Paris inataka kuchukuliwa hatua dhidi ya kile kinachoelezwa kuwa, “hatua za Iran zinazohatarisha usalama wa eneo.”

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS