Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Taathira hasi za siasa za serikali ya Marekani dhidi ya Iran kwa uhusiano kati ya Washington na waitifaki wake wa Ulaya

    Taathira hasi za siasa za serikali ya Marekani dhidi ya Iran kwa uhusiano kati ya Washington na waitifaki wake wa Ulaya

    Aug 08, 2019 22:15

    Mkuu wa zamani wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) amesisitiza kuwa siasa zinazotekelezwa na serikali ya nchi hiyo dhidi ya Iran zimekuwa na taathira hasi kwa uhusiano kati ya Washington na waitifaki wake wa Ulaya.

  • Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la kutotosheka na mafanikio ya sasa ya kisayansi nchini Iran

    Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la kutotosheka na mafanikio ya sasa ya kisayansi nchini Iran

    Aug 08, 2019 03:17

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Khamenei Jumatano asubuhi alikutana na vijana kadhaa wasomi bingwa wenye vipaji ambao wamepata medali katika Olimpiadi za kimataifa za sayansi na pia vijana wa timu ya taifa ya voliboli (mpira wa wavu) ya Iran ambao wamefika katika kilele cha mchezo huo duniani. Katika kikao hicho, aliwapongeza vijana hao kutokana na uhodari, umahiri na busara yao na kusistiza kuwa, njia hiyo ya utaalamu bingwa haipaswi kuwa na kikomo.

  • Kamanda wa IRGC: Majeshi ya Iran yatatoa jibu kali kwa hujuma yoyote ya adui

    Kamanda wa IRGC: Majeshi ya Iran yatatoa jibu kali kwa hujuma yoyote ya adui

    Aug 07, 2019 23:01

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema: "Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yako tayari kulinda mipaka ya nchi na hujuma yoyote tarajiwa ya adui itakabiliwa na jibu kali."

  • Ndugu wa Mfalme wa Saudia aitahadharisha Riyadh isithubutu kukabiliana kijeshi na Iran

    Ndugu wa Mfalme wa Saudia aitahadharisha Riyadh isithubutu kukabiliana kijeshi na Iran

    Aug 05, 2019 22:17

    Ndugu wa Mfalme Salman bin Abdulaziz wa Saudi Arabia amepinga hatua yoyote ya serikali ya Riyadh ya kuingia katika makabiliano ya kijeshi na Iran na kusema kuwa, matokeo ya hatua kama hiyo yatakuwa maafa makubwa kwa Saudia.

  • Umoja wa Ulaya wapinga hatua za kijeshi za Marekani katika Ghuba ya Uajemi

    Umoja wa Ulaya wapinga hatua za kijeshi za Marekani katika Ghuba ya Uajemi

    Aug 04, 2019 02:25

    Kuongezema mivutano katika eneo la Ghuba ya Uajemi kulikosababishwa na hatua za kichokozi na vitisho za Marekani na vile vile hatua ya Iran ya kuisimamisha meli ya mafuta ya Uingereza kwa kukiuka wazi wazi sheria za baharini kumezipelekea Washington na London kufanya kila linalowezekana ili kuimarisha uwepo wao wa kijeshi sambamba na kuanzisha muungano wa baharini eti kwa ajili ya kudhamini usalama wa meli huru katika eneo hilo la kistratejia.

  • Vikwazo dhidi ya Zarif; upinzani wa kimataifa dhidi ya Marekani

    Vikwazo dhidi ya Zarif; upinzani wa kimataifa dhidi ya Marekani

    Aug 02, 2019 20:54

    Hatua ya Marekani kumuwekea vikwazo Muhammad Jawad Zarif, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekabiliwa na upinzani mkali wa jamii ya kimataifa, hatua ya kisiasa ambayo imekosolewa hata ndani ya Marekani kwenyewe.

  • Rais Rouhani: Taifa la Iran halitasalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani

    Rais Rouhani: Taifa la Iran halitasalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani

    Aug 02, 2019 03:38

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa hili katu halitasalimu amri mbele ya mashinikizo ya serikali ya Marekani.

  • Rais Rouhani: Marekani imeshindwa na kufeli mbele ya taifa la Iran

    Rais Rouhani: Marekani imeshindwa na kufeli mbele ya taifa la Iran

    Aug 01, 2019 08:02

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mwaka jana maadui wa taifa la Iran walidai kuwa wanaweza kuuondoa madarakana mfumo wa Kiislamu unaotawala Iran, kuvunja uhuru wake na kuweka hatamu za nchi hiyo katika mikono ya White House, lakini hawakujua kwamba taifa la Iran litashinda na kuzima mashinikizo ya adui.

  • Vikwazo dhidi ya Zarif; maigizo ya kukata tamaa Marekani mbele ya nguvu ya diplomasia ya Iran

    Vikwazo dhidi ya Zarif; maigizo ya kukata tamaa Marekani mbele ya nguvu ya diplomasia ya Iran

    Aug 01, 2019 07:11

    Tangu serikali ya Rais Donald Trump ilipoingia madarakani nchini Marekani, ikiwa na lengo la kutekeleza 'siasa za mashinikizo ya kiwango cha juu zaidi' ilitanguliza mbele siasa za kuiwekea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vikwazo vya upande mmoja na vyenye wigo mpana.

  • Russia yawasilisha mpango wa usalama wa Ghuba ya Uajemi kwa Umoja wa Mataifa

    Russia yawasilisha mpango wa usalama wa Ghuba ya Uajemi kwa Umoja wa Mataifa

    Jul 30, 2019 06:24

    Uwepo wa kijeshi wa nchi za kigeni katika eneo la Ghuba ya Uajemi na taathira zake mbaya ambazo zimepelekea kuongezeka mivutano ya kisiasa na kijeshi katika eneo, umeipelekea Russia kuwasilisha mpango wa usalama wa eneo hili la kistratijia kwa Umoja wa Mataifa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS