-
Heiko Maas asisitiza udharura wa kufanya mazungumzo na Iran
Jul 27, 2019 02:32Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amesisitiza kuwa kuna udharura wa kufanya mazungumzo na Iran. Maas ameyasema hayo katika mazungumzo kwa njia ya simu na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani Mike Pompeo.
-
Azma ya taifa la Iran; kutosalimu amri mbele ya maadui
Jul 26, 2019 05:38Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Sepah, amesema kuwa hakuna nguvu yoyote inayoweza kuichukulia uamuzi Iran na kwamba ulimwengu unapasa kuheshimu rasmi irada na azma ya taifa la Iran.
-
Uungaji mkono wa Lavrov kwa nafasi kuu ya Iran katika kutatua migogoro ya kieneo
Jul 26, 2019 02:57Russia imeonyesha msimamo wa kuiunga mkono Iran mkabala na tuhuma za Marekani dhidi ya Iran ambazo ni chanzo cha ukosefu wa amani katika eneo la Asia Magharibi.
-
Gazeti la Marekani: Jeshi la IRGC la Iran ni jinamizi kwa Trump
Jul 26, 2019 02:42Gazeti la National Interest linalochapishwa nchini Marekani limelielezea Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) kuwa ni jinamizi kubwa zaidi kwa rais wa Marekani Donald Trump.
-
Iran na Senegal zasisitiza kustawisha uhusiano baina yao
Jul 25, 2019 22:31Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Rais wa Senegal wamesisitiza kustawishwa uhusiano wa pande mbili katika nyanja zote.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza: Nipo tayari kufanya mazungumzo na Iran
Jul 25, 2019 06:29Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza amesema kuwa yupo tayari kufanya mazungumzo na Iran.
-
Iran yapinga matamshi ya kifidhuli na kibaguzi ya Trump kuhusu taifa la Afghanistan
Jul 24, 2019 02:48Msemaji wa Wizara ya Mambo ya nje ya Iran amelaani matamshi ya kibaguzi na kifudhuli yaliyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya taifa la Afghanistan.
-
Trump: Ni vigumu sana kufikia makubaliano na Iran
Jul 23, 2019 00:08Rais Donald Trump wa Marekani ambaye baada ya nchi yake kujiondoa kwenye mapatano ya nyuklia ya JCPOA alitaka kufanyika mazungumzo mapya na Iran, ingawa hakupata jibu chanya kutoka kwa Tehran, sasa amesema kuwa kufikiwa makubaliano na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni suala gumu sana.
-
Waziri wa Ulinzi wa Iran: Kusimamishwa meli ya mafuta ya Uingereza ni kielelezo cha azma ya Iran ya kujibu vitisho
Jul 22, 2019 23:51Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, jibu la Iran dhidi ya hatua isiyosahihi ya Uingereza na kusimamisha meli ya mafuta ya Iran katika maji ya eneo la Jabal Tariq (Gibraltar) ni kielelezo cha azma na uwezo wa Jamhuri ya Kiislamu wa kutoa jibu kwa vitisho vya aina yoyote.
-
Jack Straw akiri kuwa Uingereza imekuwa ikitekeleza hatua za uhasama dhidi ya Iran
Jul 22, 2019 08:50Sambamba na kushtadi mzozo kati ya Uingereza na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Uingereza sambamba na kuashiria historia ya hatua za uhasama za London dhidi ya Tehran, amekiri kwamba raia wa Iran wanayo haki ya kuichukia Uingereza.