Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Sisitizo la Russia la haki ya kurutubisha urani ziliyonayo nchi zote zilizosaini mkataba wa NPT

    Sisitizo la Russia la haki ya kurutubisha urani ziliyonayo nchi zote zilizosaini mkataba wa NPT

    Jul 22, 2019 07:38

    Viongozi wa serikali ya Marekani wanapiga upatu wa kutaka Iran izuiwe kunufaika na haki yake ya kurutubisha urani sambamba na kushadidisha mbinyo na mashinikizo dhidi ya Tehran ili isimamishe shughuli zake za nyuklia, ilhali mkataba wa Kuzuia Uundaji na Uenezaji Silaha za Nyuklia (NPT), unazidhaminia nchi zote zilizosaini mkataba huo haki ya kurutubisha madini hayo.

  • Shutuma kali za chama cha Leba cha Uingereza kwa chokochoko za Marekani Ghuba ya Uajemi

    Shutuma kali za chama cha Leba cha Uingereza kwa chokochoko za Marekani Ghuba ya Uajemi

    Jul 21, 2019 21:57

    Matukio ya hivi karibuni katika eneo la Ghuba ya Uajemi kama vile kusimamishwa meli ya mafuta ya Uingereza na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH baada ya meli hiyo kuvunja sheria za kimataifa za safari za baharini na madai ya uongo ya Marekani ya kwamba eti imetungua droni ya Iran, yamewafanya viongozi mbalimbali wa Uingereza kuonesha hisia zao kuhusu matukio hayo.

  • Magaidi wawaua shahidi askari 2 wa Iran katika mpaka wa Pakistan

    Magaidi wawaua shahidi askari 2 wa Iran katika mpaka wa Pakistan

    Jul 21, 2019 08:01

    Wanachama wawili wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) wameuawa shahidi katika makabiliiano na magaidi kusini mashariki mwa nchi, karibu na mpaka wa Pakistan.

  • Bunge la Iran laipongeza IRGC kwa kusimamisha meli ya mafuta ya Uingereza

    Bunge la Iran laipongeza IRGC kwa kusimamisha meli ya mafuta ya Uingereza

    Jul 21, 2019 07:48

    Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) imelishukuru na kulipongeza Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kwa kusimamisha meli ya mafuta ya Uingereza ya "Stena Impero" baada ya meli hiyo kujaribu kupita kwenye Lango Bahari la Hormuz bila ya kuheshimu sheria za kimataifa.

  • Zarif aionya Marekani 'isiichezee Iran'

    Zarif aionya Marekani 'isiichezee Iran'

    Jul 20, 2019 08:41

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali uwepo kijeshi wa Marekani katika kila pembe ya dunia na kusema kuwa, kuwepo huko kwa Washington ndio sababu ya "kukosekana amani na uthabiti".

  • Zarif: Marekani haitafika popote kwa kupenda makuu

    Zarif: Marekani haitafika popote kwa kupenda makuu

    Jul 20, 2019 03:05

    Muhammad Javad Zarif, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Marekani haitafika popote kwa kupenda makuu na pia kutokana na tabia yake ya kuendelea kuiwekea mashinikizo Tehran.

  • Iran: Tumesimamisha meli moja tu ya mafuta ya Uingereza kwa kuvunja sheria za kimataifa

    Iran: Tumesimamisha meli moja tu ya mafuta ya Uingereza kwa kuvunja sheria za kimataifa

    Jul 19, 2019 22:45

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran IRGC limetangaza kuwa limesimamisha meli moja ya mafuta ya Uingereza baada ya kukiuka sheria za kimataifa za ubaharia katika Lango Bahari la Hormuz.

  • Kusimamishwa meli ya kigeni katika Ghuba ya Uajemi; mapambano ya Iran dhidi ya magendo ya mafuta

    Kusimamishwa meli ya kigeni katika Ghuba ya Uajemi; mapambano ya Iran dhidi ya magendo ya mafuta

    Jul 19, 2019 03:49

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran IRGC au SEPAH limetangaza kwamba limetumia kibali cha mahakama kusimamisha meli moja iliyokuwa imebeba mafuta ya magendo katika maji ya Ghuba ya Uajemi.

  • Rais Rouhani: Iran ina nia ya kweli ya kuacha wazi njia zote za kulinda mapatano ya JCPOA

    Rais Rouhani: Iran ina nia ya kweli ya kuacha wazi njia zote za kulinda mapatano ya JCPOA

    Jul 19, 2019 01:58

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mazungumzo yake ya simu na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kwamba, juhudi za Paris za kuyalinda mapatano ya nyuklia ya JCPOA ni muhimu na kusisitiza kuwa, Tehran ina nia ya kweli ya kuweka wazi njia zote za kuhakikisha makubaliano hayo yanalindwa.

  • Hamas yataka kususiwa sarafu dola ya Marekani

    Hamas yataka kususiwa sarafu dola ya Marekani

    Jul 18, 2019 22:03

    Musa Abu Marzouq mjumbe wa ngazi ya juu wa Idara ya Siasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ametoa wito wa kususiwa sarafu ya dola ya Marekani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS