Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Ugaidi wa kiuchumi wa Marekani; Iran haitasalimu amri

    Ugaidi wa kiuchumi wa Marekani; Iran haitasalimu amri

    Jul 18, 2019 03:01

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, sera za vikwazo za serikali ya Marekani dhidi ya wananchi wa Iran ni ugaidi; na akasisitiza kwamba: Iran haitafanya mazungumzo na magaidi.

  • Dakta Javad Zarif: Iran haitafanya mazungumzo na magaidi

    Dakta Javad Zarif: Iran haitafanya mazungumzo na magaidi

    Jul 18, 2019 02:48

    Dakta Muhammad Javad Zarif, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, sera za Marekani za kuliwekea vikwazo taifa la Iran ni ugaidi na kwamba, Iran haitafanya mazungumzo na magaidi.

  • Iran: Hatutojadiliana na yeyote kuhusu uwezo wetu wa makombora

    Iran: Hatutojadiliana na yeyote kuhusu uwezo wetu wa makombora

    Jul 17, 2019 02:56

    Msemaji wa Ofisi ya Uwakilishi ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitafanya mazungumzo na yeyote kuhusu makombora yake ya kujihami.

  • Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa lalaani vikwazo vya Marekani dhidi ya nchi mbalimbali

    Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa lalaani vikwazo vya Marekani dhidi ya nchi mbalimbali

    Jul 16, 2019 03:37

    Marekani imekuwa ikitumia fimbo vya vikwazo dhidi ya nchi mbalimbali duniani kwa ajili ya kufikia malengo yake ya kijuba na kimabavu.

  • EU: Iran kupunguza uwajibikaji wake hakujakiuka JCPOA

    EU: Iran kupunguza uwajibikaji wake hakujakiuka JCPOA

    Jul 16, 2019 03:26

    Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema hatua ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ya kupunguza uwajibikaji wake katika makubaliano ya nyuklia haijakiuka pakubwa mapatano hayo ya JCPOA.

  • Maulamaa wa Iran waitaka Nigeria imuachie huru Sheikh Zakzaky

    Maulamaa wa Iran waitaka Nigeria imuachie huru Sheikh Zakzaky

    Jul 16, 2019 02:44

    Jumuiya ya Wanazuoni wa Hauza ya Kidini ya Qom hapa nchini Iran sambamba na kulaani kuendelea kushikiliwa korokoroni katika mazingira mabaya Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi Nigeria, wameitaka serikali ya Abuja imuachie huru kiongozi huyo wa Waislamu ya madhehebu ya Shia.

  • Zarif: Iran haitasita katika kujilinda na kulihami taifa

    Zarif: Iran haitasita katika kujilinda na kulihami taifa

    Jul 16, 2019 00:21

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Iran haitaki mivutano lakini kama itashambuliwa, basi haitasita hata kidogo kujibu mapigo na kujihami.

  • Rais Rouhani: Njama zote za Marekani dhidi ya Iran zimegonga mwamba

    Rais Rouhani: Njama zote za Marekani dhidi ya Iran zimegonga mwamba

    Jul 14, 2019 22:37

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, katika kipindi cha miezi 14 iliyopita, Marekani imetekeleza vikwazo vikali kabisa dhidi ya taifa la Iran, hata hivyo imeshindwa katika nyanja zote iwe ni katika uga wa kijamii, kisiasa na kadhalika.

  • Sheikh Naim Qassim: Mataifa ya Mashariki ya Kati ni wadaiwa wa uungaji mkono wa Iran

    Sheikh Naim Qassim: Mataifa ya Mashariki ya Kati ni wadaiwa wa uungaji mkono wa Iran

    Jul 14, 2019 21:58

    Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, mataifa ya eneo la Mashariki ya Kati ni wadaiwa wa himaya na uungaji mkono wa kila upande wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.

  • Iran: Hakuna mazungumzo yoyote baina yetu na Marekani

    Iran: Hakuna mazungumzo yoyote baina yetu na Marekani

    Jul 14, 2019 06:04

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran haifanyi mazungumzo ya kiwango chochote kile na viongozi wa Marekani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS