-
Rouhani: Bodi ya IAEA imepuuza njama za Marekani dhidi ya Iran
Jul 14, 2019 03:05Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria hatua ya kuendelea kutengwa Marekani katika uga wa kimataifa na kusema kuwa, mbali na nchi moja au mbili, nchi zote wanachama wa Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) katika kikao chao cha hivi karibuni zilipuuza njama za Marekani dhidi ya Iran.
-
Zarif: Liwe liwalo, Iran itaendelea kuuza mafuta yake nje
Jul 14, 2019 02:07Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria vikwazo haramu vya Marekani dhidi ya taifa hili na kusisitiza kuwa, Tehran itaendelea kuyauza mafuta yake nje ya nchi bila kubabaishwa na chochote.
-
El Baradei akosoa siasa za Donald Trump dhidi ya Iran
Jul 13, 2019 06:41Mkurugenzi mkuu wa zamani wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) amekosoa vikali hatua ya serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na vilevile sera za nchi hiyo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Mwanasiasa nchini Misri: Nchi za Kiarabu zifanye mazungumzo na Iran na Uturuki
Jul 13, 2019 02:43Mwanadiplomasia na mgombea wa zamani wa uchaguzi wa rais nchini Misri, Abdullah al-Ashaal amezitaka nchi za Kiarabu zifanye mazungumzo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uturuki.
-
Iran: Israel isitutishe na F-35, jibu letu kwa chokochoko zake litakuwa kali
Jul 12, 2019 11:10Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu matamshi ya vitisho ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel na kusisitiza kuwa, jibu la taifa hili dhidi ya chokochoko za maadui litakuwa kali na la kuumiza.
-
Kusimamishwa meli ya mafuta ya Iran na utegemezi wa Uingereza kwa Marekani
Jul 12, 2019 09:33Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kusimamishwa meli ya mafuta ya Iran katika lango bahari la Jabal Tariq (Gibraltar) ni kielelezo cha utegemezi wa Uingereza kwa Marekani.
-
Marekani yalegeza msimamo kuhusiana na vikwazo dhidi ya Zarif
Jul 12, 2019 03:03Vyombo vya kuaminika vinasema kuwa serikali ya Marekani imeamua kulegeza msimamo na kutomuwekea vikwazo kwa sasa, Muhammad Jawad Zarif, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Kamanda wa IRGC: Uingereza na Marekani zitajuta kwa kuizuilia meli ya mafuta ya Iran
Jul 11, 2019 21:56Naibu Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (IRGC) ameonya kuwa, Uingereza na Marekani zitajuta kutokana na hatua ya London ya kusimamisha na kuzuilia meli ya mafuta ya Iran katika Lango Bahari la Jabal Tariq (Gibraltar).
-
Duru mpya ya mazungumzo ya Astana kuhusu Syria kuanza tena
Jul 11, 2019 21:55Duru mpya ya mazungumzo ya Astana kuhusu mgogoro wa Syria inatazamiwa kuanza mapema mwezi ujao wa Agosti huko Nur-Sultan mji mkuu wa Kazakhstan.
-
JCPOA na Baraza la Magavana; juhudi za Ulaya katika kivuli cha undumakuwili wa Marekani
Jul 11, 2019 06:25Sambamba na kufanyika safari ya mshauri wa masuala ya kidiplomasia wa Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa mjini Tehran, kikao cha Baraza la Magavana la Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia kimefanyika mjini Vienna Austria kwa ombi la Marekani.