• Russia: Marekani haina haki ya kuikosoa Iran kuhusiana na JCPOA

    Russia: Marekani haina haki ya kuikosoa Iran kuhusiana na JCPOA

    Jul 11, 2019 03:48

    Mwakilishi wa Russia katika Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia IAEA amesema kuwa Marekani haina haki yoyote ya kisheria ya kuikosoa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutokana na hatua yake ya kupunguza ahadi zake kuhusiana na mapatano ya kimataifa ya nyuklia mashuhuri kama JCPOA.

  • Iran yamuita balozi wa Nigeria nchini kuhusu hali ya Sheikh Zakzaky

    Iran yamuita balozi wa Nigeria nchini kuhusu hali ya Sheikh Zakzaky

    Jul 09, 2019 03:53

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imemuita balozi mdogo wa Nigeria hapa mjini Tehran na kumkabidhi malalamiko rasmi pamoja na kumueleza wasiwasi wa taifa hili kuhusu ripoti zinazoashiria kuwa mbaya zaidi hali ya kiafya ya Sheikh Ibrahim Zakzaky, kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria.

  • Hatua ya pili; kiwango cha urutubishaji urani ni cha kudhamini mahitaji ya Iran na sio ya JCPOA

    Hatua ya pili; kiwango cha urutubishaji urani ni cha kudhamini mahitaji ya Iran na sio ya JCPOA

    Jul 08, 2019 07:14

    Baada ya kumalizika muhula wa kwanza wa siku 60 zilizotolewa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa anchi za Ulaya ili zitekeleze ahadi zao za mapatano ya kimataifa ya nyuklia mashuhuri kama JCPOA, Tehran imetangaza kuanza hatua ya pili ya kupunguza ahadi zake kwa mujibu wa vipengee vya 26 na 36 vya mapatano hayo, kwa kuongeza kiwango cha urutubishaji wake wa madini ya urani.

  • Iran: Tutachukua hatua kubwa zaidi kama nchi za Ulaya zitaendelea kukwepa majukumu yao + Video

    Iran: Tutachukua hatua kubwa zaidi kama nchi za Ulaya zitaendelea kukwepa majukumu yao + Video

    Jul 08, 2019 07:03

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, kama nchi zilizobakia katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA hasa za Ulaya zitaendelea kukwepa kutekeleza majukumu yao, basi Tehran itaingia kwa nguvu kubwa zaidi katika awamu ya tatu ya kupunguza utekelezaji wa ahadi zake ndani ya mapatano hayo.

  • Trump na Netanyahu wabwabwaja baada ya Iran kuongeza urutubishaji wa urani

    Trump na Netanyahu wabwabwaja baada ya Iran kuongeza urutubishaji wa urani

    Jul 08, 2019 02:22

    Hatua ya Iran ya kuingia kwenye awamu ya pili ya kupunguza kiwango cha ahadi zake ndani ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kwa mujibu wa kifungu nambari 36 cha mapatano hayo, imewatia kiwewe Rais Donald Trump wa Marekani, Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo, Mike Pompeo na Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Mike Pompeo.

  • Waziri wa Ulinzi wa Iran: Hatutaruhusu uharamia wa Uingereza

    Waziri wa Ulinzi wa Iran: Hatutaruhusu uharamia wa Uingereza

    Jul 08, 2019 02:15

    Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria hatua ya askari wa Jeshi la Wanamaji la Uingereza ya kuisimamisha meli ya mafuta ya Iran katika Lango Bahari la Jabal al Tariq (Gibraltar) na kueleza bayana kuwa, Tehran kamwe haitaruhusu uharamia huo wa London.

  • "Siasa za Marekani dhidi ya Iran zimefeli"

    Jul 07, 2019 22:12

    Naibu wa Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, siasa za serikali ya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zimefeli.

  • Iran na Uganda kuimarisha uhusiano wao wa kiutamaduni

    Iran na Uganda kuimarisha uhusiano wao wa kiutamaduni

    Jul 06, 2019 21:50

    Waziri wa Jinsia na Utamaduni wa Uganda amesema nchi hiyo ya Afrika Mashariki ina hamu ya kuimarisha uhusiano wake wa kiutamaduni na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Iran: Ni kinaya Marekani kuitisha kikao cha IAEA kujadili JCPOA

    Iran: Ni kinaya Marekani kuitisha kikao cha IAEA kujadili JCPOA

    Jul 06, 2019 08:12

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema ni 'kinaya chungu' kuona Marekani imeitisha mkutano wa dharura wa Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kwa lengo la kujadili makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Ukosoaji wa Russia kuhusu mkinzano uliopo kati ya shaari na hatua za Ulaya katika kulinda makubaliano ya JCPOA

    Ukosoaji wa Russia kuhusu mkinzano uliopo kati ya shaari na hatua za Ulaya katika kulinda makubaliano ya JCPOA

    Jul 06, 2019 07:19

    Umoja wa Ulaya na Troika ya Ulaya inayoundwa na Ujerumani, Ufaransa na Uingereza ambazo ni nchi wanachama wa Ulaya katika kundi la 4+1 mara kwa mara zimekuwa zikisisitiza juu ya ulazima wa kulindwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA; na hata kudai kuwa zimeanzisha mfumo maalumu kwa lengo hilo. Pamoja na hayo, shaari na nara zinaotolewa na pande hizo za Ulaya zinakinzana na matendo yao.