-
Iran: Ni kinaya Marekani kuitisha kikao cha IAEA kujadili JCPOA
Jul 06, 2019 08:12Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema ni 'kinaya chungu' kuona Marekani imeitisha mkutano wa dharura wa Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kwa lengo la kujadili makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Ukosoaji wa Russia kuhusu mkinzano uliopo kati ya shaari na hatua za Ulaya katika kulinda makubaliano ya JCPOA
Jul 06, 2019 07:19Umoja wa Ulaya na Troika ya Ulaya inayoundwa na Ujerumani, Ufaransa na Uingereza ambazo ni nchi wanachama wa Ulaya katika kundi la 4+1 mara kwa mara zimekuwa zikisisitiza juu ya ulazima wa kulindwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA; na hata kudai kuwa zimeanzisha mfumo maalumu kwa lengo hilo. Pamoja na hayo, shaari na nara zinaotolewa na pande hizo za Ulaya zinakinzana na matendo yao.
-
Kuisimamisha meli ya mafuta ya Iran, chokochoko za Uingereza katika uwanja wa Marekani
Jul 05, 2019 08:00Askari wa Jeshi la Wanamaji la Uingereza jana Alkhamisi waliisimamisha meli ya mafuta ya Iran katika Lango Bahari la Jabal al Tariq kwa madai kwamba ilikuwa inaelekea Syria.
-
Zarif: Hatua ya Iran kupunguza ahadi ilizojifunga nazo itazuia JCPOA kuvunjika kikamilifu
Jul 05, 2019 02:54Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria ukiukaji ahadi wa madola ya Ulaya katika kutekeleza makubaliano ya nyuklia ya Iran na kueleza bayana kwamba, hatua ya kupunguza ahadi ilizojifunga nazo Iran kwa mujibu wa mapatano hayo inachukuliwa kwa shabaha ya kuzuia JCPOA isivunjike kikamilifu.
-
Mkuu wa IRGC: Iran imefanikiwa kuzima njama za maadui
Jul 04, 2019 09:23Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema taifa hili mara zote limefanikiwa kuzima njama na mipango ya hali ya juu ya maadui dhidi yake.
-
Russia yaunga mkono mazungumzo baina ya Iran na nchi za Kiarabu
Jul 04, 2019 02:58Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, anaunga mkono na kushajiisha mazungumzo baina ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na nchi za Kiarabu.
-
Radiamali ya Uingereza kwa hatua ya Iran ya kuzidisha akiba ya urani iliyorutubishwa
Jul 02, 2019 03:47Jeremy Hunt Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza amedai kuwa nchi hiyo imedhamiria kusaidia utekelezaji mzuri wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Jeshi la Iran liko tayari kumfanya mvamizi alipe gharama kubwa
Jul 01, 2019 08:19Kamanda mwandamizi wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema vikosi vya jeshi la Iran havitaki vita lakini daima viko imara kulihami na kulilinda taifa lao kwa gharama yoyote ile.
-
Uungaji mkono wa moja kwa moja wa nchi saba za Ulaya kwa JCPOA na kupigwa hatua ya kivitendo
Jun 30, 2019 15:29Umoja wa Ulaya na troika ya Ulaya inayozijumuisha nchi za Ufaransa, Ujerumani na Uingereza kama wanachama wa kundi la 4+1, mara kwa mara zimekuwa zikitangaza uungaji mkono wao kwa mapatano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Uungaji mkono wa moja kwa moja wa nchi saba za Ulaya kwa JCPOA na kupigwa hatua ya kivitendo
Jun 30, 2019 06:03Umoja wa Ulaya na troika ya Ulaya inayozijumuisha nchi za Ufaransa, Ujerumani na Uingereza kama wanachama wa kundi la 4+1, mara kwa mara zimekuwa zikitangaza uungaji mkono wao kwa mapatano ya nyuklia ya JCPOA.