-
Balozi wa Iran UN: INSTEX bila mtaji ni sawa na gari zuri bila mafuta
Jun 30, 2019 03:09Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema mfumo maalumu wa mabadilishano ya fedha kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Umoja wa Ulaya (INSTEX) ni sawa na gari zuri ambalo halina mafuta.
-
Kikao cha Vienna na 'JCPOA'; udharura wa kuwa huru Ulaya kivitendo
Jun 29, 2019 02:17Sambamba na kukaribia kumalizika kwa muhula wa siku 60 uliotolewa na Iran kwa nchi za Ulaya ili zichukue hatua za kivitendo zenye lengo la kulinda mapatano ya nyuklia ya JCPOA, udiplomasia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran unafuatilia maslahi yake ya kitaifa bila kujali mashinikizo ya kisiasa na kiuchumi.
-
Mfumo maalumu wa kifedha wa INSTEX waanza kufanya kazi
Jun 28, 2019 23:50Helga Schmid, Msaidizi wa Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, amesema kuwa mfumo maalumu wa mabadilishano ya fedha kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Umoja wa Ulaya, tayari umeanza kufanya kazi na hatua ya kwanza ya mabadilishano hayo inaendelea kufanya kazi.
-
Umoja wa Ulaya: Mfumo wa mabadilishano ya fedha na Iran umeanza kutekelezwa
Jun 28, 2019 23:27Naibu wa Mkuu wa Siasa za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa, mfumo maalumu wa mabadilishano ya fedha baina ya Ulaya na Iran maarufu kwa jina la INSTEX umeshaanza kufanya kazi.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Umma wa Kiislamu umeshuhudia ushindi mtawalia
Jun 28, 2019 11:03Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo Tehran amesema umma wa Kiislamu umeshuhudia mfufulizo wa ushindi na mafanikio licha ya vikwazo visivyo vya kiadilifu vya Marekani.
-
Iran yaitaka Marekani iangamize silaha zake za kemikali
Jun 28, 2019 10:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaitakidi kuwa, dunia itakuwa pahala salama iwapo Marekani itaangamiza silaha zake hatari za kemikali.
-
Amir Abdollahian: Njia pekee ya kuokoka Trump ni kubadilika mbele ya mantiki madhubuti ya Kiongozi Muadhamu wa Iran
Jun 27, 2019 08:15Mkurugenzi Mkuu wa Masuala ya Kimataifa wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, njia pekee ya kuweza kuokoka rais wa Marekani, Donald Trump ni kubadilisha mienendo yake mbele ya mantiki madhubuti ya Kiongozi Muadhamu na taifa kubwa la Iran.
-
Misimamo ya kimasharti ya troika ya Ulaya kuhusu JCPOA
Jun 26, 2019 02:17Huku muda uliowekwa na Iran wa kuongeza kiwango cha kutochunga ahadi zake ndani ya mapatano ya nyuklia ya JCPOA kutokana na upande wa pili wa mapatano hayo kutotekeleza kabisa ahadi zao ukikaribia, troika ya Ulaya yaani nchi tatu za Ujerumani, Ufaransa na Uingereza zimeanzisha harakati za kidiplomasia na kipropaganda za kujaribu kuizuia Iran isichukue hatua zaidi za kupunguza utekelezaji wa ahadi zake.
-
Rais wa Iraq: Hatutairuhusu Marekani itumie ardhi yetu kuishambulia Iran
Jun 26, 2019 02:11Rais Barham Salih wa Iraq amesema katu nchi hiyo ya Kiarabu haitairuhusu Marekani itumie ardhi yake kuanzisha shambulizi lolote la kijeshi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Rouhani: Iran itatoa jibu mwafaka iwapo anga yake itahujumiwa tena
Jun 25, 2019 22:54Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran haifuatilii kuingia vitani na Marekani lakini itatoa jibu mwafaka iwapo anga yake itahujumiwa tena na Marekani.