-
Iran yatambua majeshi ya Ulaya kama mashirika ya kigaidi
Feb 01, 2026 06:51Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran), Mohamad Bagher Ghalibaf amelitaja Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kama taasisi ya kipekee zaidi ya kupambana na ugaidi duniani, akibainisha kuwa Ulaya 'imejipiga risasi mguuni' kwa kuiweka IRGC kwenye orodha yake nyeusi.
-
Majasusi wa Magharibi: Iran haiundi silaha za nyuklia
Feb 01, 2026 06:11Mashirika ya ujasusi ya nchi za Magharibi yamesema hakuna dalili yoyote inayoashiria kwamba Iran inarutubisha urani kwa ajili ya "kufikia kiwango cha mabomu," gazeti la New York Times limeripoti, likinukuu vyanzo mbali mbali.
-
Iran: IRGC inadumisha amani, utulivu; uingiliaji unachochea taharuki
Feb 01, 2026 03:31Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesema Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) lina jukumu muhimu katika kudumisha amani na utulivu katika eneo la Ghuba ya Uajemi na Lango Bahari la Hormuz, huku akionya kwamba uwepo na vikosi vya kigeni katika eneo la Asia Magharibi umepelekea kuongezeka taharuki badala ya kupunguza mvutano.
-
Sera za uadui za Umoja wa Ulaya dhidi ya Iran; Brussels inataka nini?
Jan 31, 2026 05:27Umoja wa Ulaya umeendeleza msimamo wake wa kuingilia masuala ya ndani ya Iran kwa kuweka vikwazo vipya dhidi ya Tehran kwa kisingizio cha masuala ya haki za binadamu.
-
Ushirikiano wa Starmer na Trump; madai mapya dhidi ya mpango wa nyuklia wa amani wa Iran
Jan 31, 2026 00:04Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer ametoa tuhuma zisizo na msingi dhidi ya mpango wa nyuklia wa amani wa Iran.
-
Pezeshkian amweleza Erdogan: Iran inapinga vitisho, inaunga mkono mazungumzo na diplomasia
Jan 30, 2026 23:27Iran inapinga vitisho na kushurutishwa na ina azma thabiti ya kufanya mazungumzo, kuheshimiana pande mbili na kutekelezwa diplomasia kwa manufaa ya pande zote. Haya yameelezwa na Rais Masoud Pezeshkian huku Washington ikiendelea kutoa vitisho vya kijeshi dhidi ya Tehran.
-
Araqchi: Iran iko tayari kwa vita na mazungumzo
Jan 30, 2026 23:16Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi, amesema kuwa Tehran iko tayari kwa vita na mazungumzo lakini haitakubali kuwekewa masharti. Araqchi ameeleza haya kufuatia vitisho vya kijeshi vya Washington dhidi ya Tehran.
-
Kucheza na moto kwa Trump kunaweza kusababisha mzozo kamili kanda ya Asia Magharibi
Jan 30, 2026 08:30Iran imetangaza kwamba kauli za "kuchochea vita" za Donald Trump zinazidisha mvutano wa kikanda.
-
'Hakuna vita vya masaa 2', yasema Iran ikiapa kutoa jibu la haraka kwa uchokozi wa US au Israel
Jan 30, 2026 04:17Jeshi la Iran limetoa onyo kali kwamba kitendo chochote kipya cha uchokozi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu kitakabiliwa na jibu kali na la haraka, likisisitiza kwamba uzoefu na tajiriba ya vita vya Juni vimebadilisha kimsingi muelekeo wa kijeshi wa Iran na kanuni zake za makabiliano.
-
Afisa mwandamizi wa jeshi la Israel: Iran ni dola moja kuu kwa makombora duniani
Jan 30, 2026 04:17Kamanda wa zamani wa mitambo ya ulinzi wa anga wa utawala wa kizayuni wa Israel ameielezea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa ni moja ya madola makuu duniani kwa upande wa masuala ya anga na ulimwengu wa makombora, na akasema, Tehran itailenga Tel Aviv iwapo kutakuwa na shambulio lolote litakalofanywa na Marekani dhidi yake.