Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Mahojiano na mshindi wa mashindano ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu ya mjini Tehran + Sauti

    Mahojiano na mshindi wa mashindano ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu ya mjini Tehran + Sauti

    Apr 14, 2019 13:46

    Mashindano ya 36 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu yamemalizika leo Jumapili, Aprili 14, 2019 hapa mjini Tehran na kushindanisha washiriki kutoka nchi 83 za dunia.

  • Iran kushirikiana na Umoja wa Mataifa katika anga za mbali

    Iran kushirikiana na Umoja wa Mataifa katika anga za mbali

    Apr 13, 2019 22:03

    Waziri wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano nchini Iran Mohammad-Javad Azari Jahromi amekutana na Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Masuala ya Anga za Mbali UNOOSA Simonetta Di Pippo ambapo wamejadili masuala mbali mbali ikiw ani pamoja na njia za kukabiuliana na maafa ya kimaumbile na ushirikino katika suala la anga za mbali.

  • Ufaransa: EU itaendelea kushirikiana na Iran licha ya tangazo la Marekani dhidi ya IRGC

    Ufaransa: EU itaendelea kushirikiana na Iran licha ya tangazo la Marekani dhidi ya IRGC

    Apr 13, 2019 03:37

    Ufaransa imesema itaendelea kushirikiana na Iran licha ya hatua ya Marekani ya kuliweka Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran IRGC katika orodha yake ya makundi ya kigaidi.

  • Huduma ya Iran kwa wakimbizi; kigezo bora cha kuigwa duniani

    Huduma ya Iran kwa wakimbizi; kigezo bora cha kuigwa duniani

    Apr 12, 2019 20:47

    Mkuu wa Ofisi ya Shirika la Kuwahudumia Wakimbizi ya Umoja wa Mataifa UNHCR akiwa safarini katika mji wa Mashhad nchini Iran amesema: "Sera za Iran za kuwahudumia wakimbizi na kuhakikisha kuwa hawana matatizo ya kimaisha na wanapata huduma za afya na elimu ni mfano wa kuigwa duniani kote"

  • Ayatullah Kermani: Marekani ni mama wa ugaidi, Trump ni mpumbavu kwa kuinasibisha IRGC na ugaidi

    Ayatullah Kermani: Marekani ni mama wa ugaidi, Trump ni mpumbavu kwa kuinasibisha IRGC na ugaidi

    Apr 12, 2019 10:48

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, hatua ya Washington ya kuliweka Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran IRGC katika orodha yake ya makundi ya kigaidi ni ya kipumbavu na kwamba Marekani ndiye mama wa ugaidi duniani.

  • Iran yaziasa pande husika Sudan kujizuia, kutumia mazungumzo kupatia ufumbuzi mgogoro uliopo

    Iran yaziasa pande husika Sudan kujizuia, kutumia mazungumzo kupatia ufumbuzi mgogoro uliopo

    Apr 12, 2019 10:36

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa haiungi mkono upande wowote katika mgogoro wa hivi sasa wa Sudan, huku ikiziasa pande husika nchini humo kujizuia na kutumia njia ya mazungumzo, amani na diplomasia kuupatia ufumbuzi mgogoro uliopo.

  • Rais Barham Salih wa Iraq: Kamwe nchi yetu haitakuwa ngome kwa ajili ya kuwaudhi majirani zetu

    Rais Barham Salih wa Iraq: Kamwe nchi yetu haitakuwa ngome kwa ajili ya kuwaudhi majirani zetu

    Apr 12, 2019 03:20

    Rais Barham Salih wa Iraq amesema kuwa, kamwe nchi hiyo haiwezi kukubali kugeuka kwa aina yoyote kuwa ngome ya kieneo kwa ajili ya kuziudhi nchi majirani.

  • Iran yaziambia Marekani, Israel na Saudia: Mchezo wenu umekwisha, hamuwezi tena kuhuisha genge la Daesh (ISIS)

    Iran yaziambia Marekani, Israel na Saudia: Mchezo wenu umekwisha, hamuwezi tena kuhuisha genge la Daesh (ISIS)

    Apr 12, 2019 00:04

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammad Javad Zarif, sambamba na kuashiria uungaji mkono mkubwa wa Marekani, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel pamoja na Saudi Arabia kwa makundi ya kigaidi katika eneo la Mashariki ya Kati (Asia Magharibi), amesema kuwa njama za Washington kwa ajili ya kuhuisha upya makundi ya kigaidi katika eneo hili hazitafanikiwa.

  • Ayatollah Amoli Larijani: Wananchi wa Iran wanaunga mkono jeshi la SEPAH

    Ayatollah Amoli Larijani: Wananchi wa Iran wanaunga mkono jeshi la SEPAH

    Apr 12, 2019 00:02

    Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Iran amelaani vikali hatua ya Marekani dhidi ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kusema kuwa, wananchi wa Iran wanaliunga mkono jeshi hili.

  • Amir Hatami: Hatua za Marekani zinathibitisha chuki na uadui wake dhidi ya wananchi wa Iran

    Amir Hatami: Hatua za Marekani zinathibitisha chuki na uadui wake dhidi ya wananchi wa Iran

    Apr 11, 2019 10:14

    Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuliweka jina la Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH katika orodha ya makundi ya kigaidi ni ishara ya wazi ya chuki na uadui mkubwa wa Marekani dhidi ya wananchi wa Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS