Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Zanganeh: Kikao cha karibuni cha Opec; pigo jingine kwa Marekani

    Zanganeh: Kikao cha karibuni cha Opec; pigo jingine kwa Marekani

    Dec 13, 2018 04:01

    Waziri wa Mafuta wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekitaja kikao kilichofanyika hivi karibuni cha Jumuya ya Nchi Zinazozalisha Mafuta kwa Wingi Duniani (OPEC) huko Vienna mji mkuu wa Austria kuwa ni pigo jingine kwa Marekani.

  • Miaka 40 baada ya Mapinduzi ya Kiislamu, Wamarekani bado wako kwenye ndoto

    Miaka 40 baada ya Mapinduzi ya Kiislamu, Wamarekani bado wako kwenye ndoto

    Dec 13, 2018 03:51

    Sambamba na kutimia miaka 40 tangu baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran, uhasama na uadui wa Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu umefikia kileleni.

  • Trump amkingia tena kifua bin Salman licha ya mauaji ya Khashoggi na jinai za Yemen

    Trump amkingia tena kifua bin Salman licha ya mauaji ya Khashoggi na jinai za Yemen

    Dec 12, 2018 23:00

    Kwa mara nyingine Rais wa Marekani, Donald Trump ameendelea kumkingia kifua Mohammed bin Salman, mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia licha ya Shirika la Kijasusi la Marekani CIA kuthibitisha kuwa alihusika katika mauaji ya mwandishi Jamal Khashoggi ndani ya ubalozi mdogo wa Saudia mjini Istanbul Uturuki.

  • Kiongozi Muadhamu: Maadui wa Iran wameghariki katika ufisadi wa kimaadili na kisiasa

    Kiongozi Muadhamu: Maadui wa Iran wameghariki katika ufisadi wa kimaadili na kisiasa

    Dec 12, 2018 12:50

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, maadui mashuhuri wa Iran ya Kiislamu wameghariki katika ufisadi wa kimaadili na kisiasa na kwamba, kama unataka kuijua vyema Marekani watazame viongozi na rais wa nchi hiyo.

  • China yalaani vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

    China yalaani vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

    Dec 12, 2018 12:39

    Naibu wa Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kimataifa ya Shanghai China anayehusika na masuala ya Asia Magharibi na Afrika amelaani vikwazo na vitendo vya chuki vinavyoendeshwa na Marekani dhidi ya Iran.

  • Sisitizo la Mogherini la kuzinduliwa hivi karibuni mfumo wa mabadilishano ya fedha baina ya Iran na Ulaya

    Sisitizo la Mogherini la kuzinduliwa hivi karibuni mfumo wa mabadilishano ya fedha baina ya Iran na Ulaya

    Dec 11, 2018 21:43

    Kujiondoa Marekani katika makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) Mei 8 mwaka huu, kulikabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa wanachama wengine ya JCPOA katika kalibu ya kundi la 4+1.

  • Kuhuisha Umoja wa Kiislamu; Lengo Kuu wa Kongamano la Kimataifa la Wapenzi wa Ahlu Bayt

    Kuhuisha Umoja wa Kiislamu; Lengo Kuu wa Kongamano la Kimataifa la Wapenzi wa Ahlu Bayt

    Dec 11, 2018 21:42

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu amesema: "Lengo la kufanyika Mkutano wa Kimataifa wa Wapenzi wa Ahlul Bayt AS ni kurejesha umoja katika Umma wa Kiislamu.

  • Mogherini: EU kuzindua mfumo wa mabadilishano ya fedha baina ya Iran na Ulaya karibuni

    Mogherini: EU kuzindua mfumo wa mabadilishano ya fedha baina ya Iran na Ulaya karibuni

    Dec 11, 2018 00:04

    Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema mfumo maalumu kwa ajili ya mabadilishano ya fedha kati ya Iran na Ulaya kwa kifupi SPV utazinduliwa ndani ya siku chache zijazo.

  • China yaionya Canada kuhusu kumpeleka Marekani mkuu wa Huawei

    China yaionya Canada kuhusu kumpeleka Marekani mkuu wa Huawei

    Dec 09, 2018 03:51

    Serikali ya China imetoa onyo kali na kuitaka Canada imuachie huru mara moja mkuu wa shirika kubwa la mawasiliano la Huawei na isithubutu kumkabidhi kwa wakuu wa mahakama za Marekani.

  • Rouhani: Madola ya kibeberu ndiyo yaliyounda makundi ya kigaidi duniani

    Rouhani: Madola ya kibeberu ndiyo yaliyounda makundi ya kigaidi duniani

    Dec 09, 2018 00:05

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema madola ya kibeberu ndiyo yaliyounda na kuyafadhili kwa hali na mali makundi ya kigaidi duniani, na kwamba irada thabiti na jitihada za pamoja zinahitajika ili kulitokomeza jinamizi hilo linalotishia usalama wa dunia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS