-
Mkutano wa maspika wa mabunge ya nchi sita wamalizika mjini Tehran kwa kutoa taarifa
Dec 08, 2018 12:07Maspika wa mabunge ya nchi sita za Iran, Russia, Uturuki, China, Pakistan na Afghanistan umemalizika leo hapa mjini Tehran kwa taarifa ya pamoja ya kuimarisha uhusiano katika kupambana na ugaidi na kuongeza ushirikiano wao wa kieneo.
-
Wazayuni, Wamarekani waunga mkono ugaidi nchini Iran
Dec 08, 2018 12:04Waziri wa Usalama wa Taifa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel na mashirika ya kijasusi ya baadhi ya nchi za eneo ni waungaji mkono wa ugaidi ndnai ya Iran."
-
Rouhani: Iran ndiyo mhanga mkubwa zaidi wa ugaidi duniani
Dec 08, 2018 06:13Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mashambulizi ya kigaidi hayawezi kuzima azma kubwa ya Jamhuri ya Kiislamu ya kupambana kwa nguvu zote na ugaidi.
-
Iran yalaani shambulizi la kigaidi Chabahar, yasema wahusika na mabwana zao watakiona
Dec 07, 2018 00:35Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali shambulizi la kigaidi lililofanyika jana Alkhamisi katika mji wa Cahabah huko kusini mashariki mwa Iran.
-
Rais Rouhani asisitiza: Iran haitafanya mazungumzo kuhusu uwezo wake wa makombora
Dec 06, 2018 06:39Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezihutubu nchi za Ulaya akisema Iran katu haitafanya mazungumzo kuhusu uwezo wake wa kujihami.
-
Rais Rouhani: Maadui hawawezi kustahamili izza na nguvu za Iran
Dec 05, 2018 13:01Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema kuwa, maadui wa taifa hili hawana chaguo jingine isipokuwa kusalimu amri na kuheshimu izza, uwezo na umoja wa wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Iran na Uturiki zahimizwa kukabiliana na ugaidi na propaganda chafu dhidi ya Uislamu
Dec 05, 2018 04:39Mkuu wa Jumuiya ya Masuala ya Dini nchini Uturuki amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uturuki ambazo ni nchi kubwa zaidi katika eneo la Mashariki ya Kati zinapaswa kuzidisha ushirikiano kwa ajili ya kupambana na ugaidi na njama zinazoeneza propaganda za kuchafua sura safi ya Uislamu.
-
Rouhani: Marekani haiwezi kukata uhusiano wa Iran na nchi za dunia
Dec 04, 2018 11:16Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Marekani haina uwezo wa kukata uhusiano wa Iran na nchi mbalimbali duniani.
-
Iran yaweka rekodi ya ongezeko la wanafunzi wengi wa kigeni katika vyuo vikuu
Dec 04, 2018 10:09Shirika la Sayansi, Elimu na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) limeitangaza kuwa, Iran inashikilia rekodi ya ustawi na kukua idadi ya wanafunzi wa kigeni wanaopata elimu katika vyuo vyake vikuu.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Yemen: Marekani ndiyo mhusika wa mauaji ya raia na kuharibiwa nchi yetu
Dec 02, 2018 12:16Waziri wa Mambo ya Nje wa Yemen amesisitiza kuwa Marekani imesababisha mauaji ya halaiki ya wananchi wa Yemen, kuharibiwa nchi hiyo na kujiri maafa mabaya zaidi ya kibinadamu kuwahi kushuhudiwa duniani hii leo.