-
Iran yazindua manowari mpya ya kisasa katika Ghuba ya Uajemi
Dec 01, 2018 04:40Jeshi la Wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limezindua manowari mpya ya kisasa yenye uwezo mkubwa wa kuvurumisha makombora.
-
Sisitizo la EU la kuhifadhiwa ushirikiano wake wa kiuchumi na Iran
Nov 30, 2018 03:57Umoja wa Ulaya mara kwa mara umekuwa ukisisitizia haja ya kuimarishwa uhusiano wake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na sababu kuu ni nafasi muhimu na bora ya Iran katika eneo la Mashariki ya Kati ikiwa ni pamoja na nafasi yake bora katika upande wa jiopolitiki, kisiasa, kiuchumi na kinishati. Jambo jingine linalopewa umuhimu na Umoja wa Ulaya ni kulinda mapatano ya nyukilia ya JCPOA.
-
Iran na Uturuki zahimiza kufanikishwa biashara ya dola bilioni 30 baina yao
Nov 30, 2018 01:03Maspika wa mabunge ya Iran na Uturuki wamesisitizia haja ya kufanikishwa biashara ya dola bilioni 30 baina ya nchi zao.
-
Uwezo wa Jeshi la Majini la Iran kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu
Nov 29, 2018 03:45Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa vikosi vyote vya ulinzi vya Iran jana alikutana na makamanda na wakuu wa Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusema kumepatikana mafanikio makubwa katika Jeshi la Iran hasa jeshi la majini tokea mwanzo wa Mapinduzi ya Kiislamu hadi sasa.
-
Amiri Jeshi Mkuu: Jizatitini muwafanye maadui wasithubutu hata kutoa vitisho dhidi ya taifa la Iran
Nov 28, 2018 13:07Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa vikosi vyote vya ulinzi Ayatullah Sayyed Ali Khamenei leo amekutana na makamanda na wakuu wa jeshi la wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mnasaba wa Siku ya Jeshi la Wanamaji.
-
Iran na EU zasisitizia haja ya kuendelea kufungamana na JCPOA
Nov 28, 2018 04:12Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Umoja wa Ulaya kwa mara nyingine tena zimesema kuwa pande mbili hizo zitaendelea kuheshimu na kufungamana na makubaliano ya nyuklia ya Vienna, licha ya Marekani kujiondoa kwenye mapatano hayo ya kimataifa.
-
Maonyesho ya Ndege yafanyika Kish, Iran
Nov 27, 2018 21:43Maonyesho ya 9 ya Ndege ya Iran yanaendelea katika kisiwa cha Kish kusini mwa Iran katika Ghuba ya Uajemi licha ya vikwazo vya kidhalimu vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Iran imejitosheleza katika sekta ya kujihami majini
Nov 27, 2018 11:29Kamanda wa Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema leo kwamba nchi hii imejitosheleza katika sekta ya kujihami majini ikiwa ni pamoja na kujitegeneza zana za juu na chini ya maji.
-
Ufaransa na Ujerumani kuwa wenyeji wa mfumo wa ubadilishanaji fedha na Iran
Nov 27, 2018 04:26Wanadiplomasia wa ngazi za juu wa Ulaya wameliambia gazeti la Wall Street Journal kuwa huenda Ufaransa na Ujerumani zikawa wenyeji wa mfumo maalumu wa ubadilishanaji fedha na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran unaojulikana kama SPV, kwa shabaha ya kukwepa vikwazo vya Marekani dhidi ya Tehran.
-
Pompeo atiwa kiwewe na nafasi ya Iran ya kuwaunganisha Waislamu
Nov 27, 2018 04:17Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ameonesha kughadhabishwa na matamshi yaliyotolewa hivi karibuni na Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwamba taifa hili linanyoosha mkono wa udugu kwa Waislamu wote duniani.