-
Iran ina haki ya kurutubuisha tena urani kama jibu kwa Marekani
Nov 25, 2018 04:48Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran ina haki ya kuimarisha urutubishaji urani katika vituo vyake vya nyuklia, kama radiamali kwa hatua ya Marekani ya kujiondoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Sisitizo la Umoja wa Ulaya na Uturuki la kuendelea kushirikiana na Iran
Nov 24, 2018 08:18Hatua ya rais wa Marekani, Donald Trump ya kuiondoa nchi hiyo katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kuiwekea tena Iran vikwazo imepingwa vikali na nchi nyingine wanachama wa makubaliano hayo ya JCPOA yaani kundi la 4+1.
-
Rais Rouhani awataka Waislamu waungane kukabiliana na Marekani na Israel
Nov 24, 2018 04:05Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyataka mataifa ya Waislamu kuungana na kusimama imara kukabiliana na siasa za chuki za Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Mapatano ya JCPOA yanatosha; Iran haitozungumza tena na Marekani
Nov 23, 2018 23:14Dk. Mohammad Javad Zarif, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu juhudi za Marekani za kutaka kuanzisha mazungumzo mapya na Iran kwa kusema kuwa, mapatano yaliyofikiwa ya JCPOA ni makubaliano mazuri na kwamba Iran haitofanya tena mazungumzo na Marekani kuhusu miradi yake ya nyuklia.
-
IAEA yasisitiza tena kuwa Iran imefungamana na JCPOA
Nov 23, 2018 04:29Kwa mara nyingine tena, Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) umethibitisha kwamba, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetekeleza majukumu na ahadi zake zote chini ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Je, kurejea balozi wa Denmark Tehran kutakuwa mwisho wa uzushi dhidi ya Iran?
Nov 21, 2018 04:07Baada ya propaganda na uzushi kuhusu madai ya kuwepo mpango wa kumuaa kinara wa tawi la Denmark la kundi la kigaidi linalojiita Al Ahvaziya, balozi wa Iran nchini Denmark ametangaza kuwa, balozi wa nchi hiyo anarejea Tehran leo Jumatano ili kuendelea na kazi zake za kawaida.
-
Zarif: Vikwazo vya Marekani havitaiburuza mezani Iran
Nov 20, 2018 04:36Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema vikwazo vya kidhalmu vya Marekani katu haviwezi kuilazimisha Tehran iende kwenye meza ya mazungumzo wala kuifanya isalimu amri mbele ya matakwa ya Washington.
-
Mogherini ahimiza kutekelezwa haraka njia mpya ya mabidilishano ya fedha baina ya Iran na Ulaya
Nov 20, 2018 00:17Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa, kuna udharura wa kuanza kutekelezwa haraka njia mpya ya mabadilisho ya fedha baina ya Iran na Umoja wa Ulaya.
-
Rais Rouhani: Iran haitasalimu amri mbele ya Marekani
Nov 19, 2018 12:25Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa hili litabakia kuwa huru na lenye mamlaka yake na katu halitasalimu amri mbele ya Marekani.
-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Uingereza wakutana mjini Tehran
Nov 19, 2018 12:03Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uingereza leo wamekutana na kufanya mazungumzo hapa mjini Tehran kuhusiana na masuala muhimu ya kieneo ukiwemo ulazima wa kuharakishwa kuhitimishwa vita nchini Yemen pamoja na matukio yanayojiri sasa katika Mashariki ya Kati.