Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza awasili Tehran

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza awasili Tehran

    Nov 19, 2018 04:12

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza amewasili Tehran kwa ajili ya mazungumzo na Waziri mwenzake wa Mambo ya Nje wa Iran na baadhi ya viongozi wa ngazi za juu wa nchi hii huku akiongoza ujumbe wa kisiasa wa nchi yake.

  • Abdollahian: Muqawama wa Wapalestina umewavunja moyo Wazayuni

    Abdollahian: Muqawama wa Wapalestina umewavunja moyo Wazayuni

    Nov 19, 2018 00:45

    Msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu yuko katika ncha ya kuanguka, na kwamba muqawama wa Wapalestina umewavunja moyo Wazayuni.

  • Rais Rouhani ampokea rasmi Rais wa Iraq mjini Tehran

    Rais Rouhani ampokea rasmi Rais wa Iraq mjini Tehran

    Nov 17, 2018 04:37

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mapema leo amempokea rasmi mwenzake wa Iraq, Barham Salih katika makao makuu yake ya Saadabad mjini Tehran.

  • Ayatullah Kashani: Wanaounga mkono jinai za Saudia na Wazayuni wana sura za kuogofya

    Ayatullah Kashani: Wanaounga mkono jinai za Saudia na Wazayuni wana sura za kuogofya

    Nov 16, 2018 11:27

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, nchi ambazo zinazipa himaya na kuunga mkono jinai zinazofanywa na Saudi Arabia na utawala wa Kizayuni wa Israel ndizo nchi zenye sura za kutisha zaidi duniani.

  • Nchi 98 zapinga muswada wa haki za binaadamu ulioandaliwa na Canada dhidi ya Iran

    Nchi 98 zapinga muswada wa haki za binaadamu ulioandaliwa na Canada dhidi ya Iran

    Nov 16, 2018 01:14

    Kamati ya tatu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa iliyokuwa imewasilisha muswada wa haki binaadamu dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, imeshindwa kuzikinaisha nchi 98 wanachama wa baraza hilo kuupigia kura ya ndio muswada huo.

  • Hossein Amir-Abdollahian: Vita vya kisaikolojia vya vikwazo vya Marekani havitakuwa na natija

    Hossein Amir-Abdollahian: Vita vya kisaikolojia vya vikwazo vya Marekani havitakuwa na natija

    Nov 15, 2018 10:18

    Hossein Amir-Abdollahian, msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, hapana shaka kuwa, vita vya kisaikolojia vya Marekani vya kuiwekea vikwazo Iran havitakuwa na natija.

  • EU: Makubaliano ya nyuklia ya Iran hayana chaguo jengine mbadala

    EU: Makubaliano ya nyuklia ya Iran hayana chaguo jengine mbadala

    Nov 15, 2018 04:34

    Kamishna wa Umoja wa Ulaya wa Uadilifu, amesema hakuna chaguo jengine lolote mbadala na lenye itibari kwa ajili ya makubaliano ya nyuklia ya Iran, JCPOA.

  • Rwanda yasisitiza kuimarisha uhusiano na Iran

    Rwanda yasisitiza kuimarisha uhusiano na Iran

    Nov 15, 2018 00:02

    Waziri mpya wa Mambo ya Nje wa Rwanda, Richard Sezibera amepongeza uhusiano mzuri wa pande mbili kati ya nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusisitizia umuhimu wa kupanuliwa uhusiano huo katika nyuga mbalimbali.

  • Rais Rouhani: Vikwazo havina athari yoyote kwa uuzaji mafuta ya Iran

    Rais Rouhani: Vikwazo havina athari yoyote kwa uuzaji mafuta ya Iran

    Nov 14, 2018 12:41

    Rais Hassan Rouhani amesema: Vikwazo batili na vya kidhalimu vya Marekani havina athari yoyote kwa uuzaji mafuta ya Iran.

  • Kongo na Iran kuimarisha ushirikiano wao katika uga wa habari

    Kongo na Iran kuimarisha ushirikiano wao katika uga wa habari

    Nov 13, 2018 11:06

    Mkuu wa shirika rasmi la habari la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ameipongeza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kupiga hatua za maendeleo katika nyuga mbalimbali ikiwemo sekta ya uandishi wa habari, huku akitoa mwito wa kuimarishwa ushirikiano wa pande mbili katika uga huo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS