-
Zarif: Iran inajua mpango wa Saudia wa kufanya mauaji ya kigaidi dhidi ya maafisa wa ngazi za juu wa Iran
Nov 13, 2018 04:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Iran ikuwa na habari kuhusu mpango wa utawala wa kifalme wa Saudi Arabia wa kutaka kufanya mauaji ya kigaidi dhidi ya baadhi ya maafisa wa ngazi za juu wa Jamhuri ya Kiislamu.
-
IAEA yathibitisha kwa mara ya 13: Iran inatekeleza kikamilifu JCPOA
Nov 13, 2018 00:29Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki umetoa ripoti yake mpya ya msimu na kuthibitisha kwa mara ya 13 kuwa Iran ingali inatekeleza ahadi na majukumu yake yote katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Mkutano wa Shirika la UN la Utalii wafanyika Iran
Nov 12, 2018 23:22Mkutano wa 40 Wanachama wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii duniani (UNWTO) ulianza Jumapili katika mji wa Hamedan magharibi mwa Iran.
-
Jeshi la Iran kulinda meli za mafuta baada ya vitisho vya Marekani
Nov 12, 2018 11:42Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limetangaza azma yake ya kulinda meli za mafuta za nchi hii kutokana na vitisho vya Marekani vya kuzizuia.
-
Ufaransa yasisitiza kuheshimu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Nov 12, 2018 04:07Waziri wa Ufaransa anayehusika na masuala ya Ulaya amesisitiza kuwa Paris inaheshimu na kufungamana na Makubaliano ya Nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji yaani JCPOA.
-
Salehi: Uwezo wa makombora wa Iran umeiduwaza dunia
Nov 12, 2018 01:02Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Nyuklia ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (AEOI) Ali Akbar Salehi amesema mafanikio ya Iran katika uzalishaji wa makombora umeishangaza dunia.
-
Mhadhiri wa Chuo Kikuu India: Marekani imeshindwa kikamilifu kuitenga Iran kimataifa
Nov 11, 2018 01:07Mkuu wa Kitengo cha Utafiti wa Bara Ulaya cha Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru cha New Delhi, India amesema kuwa, hatua ya Marekani ya kuziruhusu nchi kadhaa kuendelea kununua mafuta ya Iran ni ushahidi wa kushindwa kikamilifu njama za Marekani za kuitenga Iran kimataifa.
-
Zarif: Iran itanawiri na haitatoa muhanga mamlaka yake ya kujitawala
Nov 11, 2018 01:33Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif ametupilia mbali vitisho vya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani kuwa taifa la Iran litakumbwa na njaa.
-
Korea Kusini yasisitiza kupanua ushirikiano wake na Iran licha ya vikwazo vya Marekani
Nov 10, 2018 04:28Balozi wa Korea Kusini nchini Iran ameelezea azma ya nchi yake ya kulinda na kupanua ushirikiano na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran licha ya kuwepo vikwazo vya Marekani dhidi ya nchi hii.
-
Kufurahishwa Pompeo na vikwazo vipya na kusahau kwamba Iran ni taifa linalojitawala na kujitegemea
Nov 09, 2018 04:14Siku tatu baada ya kuanza kutekelezwa awamu ya pili ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran, Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mike Pompeo amedai kwamba, lengo la vikwazo hivyo si kufanya mazungumzo na Iran ila ni kuifanya ibadilishe mwenendo wake katika eneo la Mashariki ya Kati.