-
Louis Farrakhan, kiongozi wa harakati ya Nation of Islam ya Marekani amuonya Trump
Nov 08, 2018 11:12Louis Farrakhan, kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya Nation of Islam ya nchini Marekani amemtahadharisha vikali rais wa nchi hiyo Donald Trump kwamba asithubutu kuanzisha vita katika eneo la Mashariki ya Kati kwa kushinikizwa na utawala haramu wa Israel, akisisitiza kuwa matokeo ya vita hivyo yatakuwa mabaya mno.
-
Baada ya kususiwa na China, sasa Marekani yalazimika kuipigia magoti Iran
Nov 07, 2018 13:01Shirika la habari la FARS limeripoti kuwa, baada ya kupamba moto vita vya biashara baina ya China na Marekani, na hivyo China kuamua kuiadhibu Marekani kwa kususia kununua bidhaa zake za maharage ya soya, wazalishaji wa bidhaa hiyo nchini Marekani wamelazimika kukimbilia Iran ili waweze kubakia katika soko la dunia la bidhaa hiyo.
-
Ujumbe wa Zarif; vikwazo na kufedheheka Marekani
Nov 07, 2018 04:46Akizungumza jana ikiwa ni siku moja baada ya kuanza kutekelezwa duru ya pili ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amewahutubu viongozi wa Washington kwa kusema, serikali ya Marekani ambayo imeshindwa hata kuwathibitishia wananchi wake kwamba, sera zake ni kwa munufaa ya wananchi inasubiriwa na hatima mbaya katika siku za usoni.
-
Waziri wa mafuta wa Iran: Watumiaji mafuta duniani wajiandae na siku nzito
Nov 07, 2018 04:34Waziri wa Mafuta wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Bijan Namdar Zangeneh amesema kuwa kiwango kilichoruhusiwa na Marekani kwa ajili ya wanunuzi wa mafuta ya Iran, hakilingani na mahitajio na hivyo inatazamiwa kwamba katika miezi ijayo watumiaji wa nishaji hiyo muhimu watakabiliwa na kipindi kigumu mno.
-
Dakta Ali Larijani: Iran ina uwezo wa kukabiliana na vikwazo
Nov 07, 2018 00:34Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria vikwazo vya kidhulma vya Marekani dhidi ya Iran ambavyo vinakinzana pia na sheria na kanuni za kimataifa na kusisitiza kuwa, taifa hili lina uwezo wa kukabiliana na vikwazo hivyo.
-
Video: Waislamu wa Kisuni Iran waungana na ndugu zao wa Kishia kufanya ziara katika Haram ya Imam Ridha
Nov 06, 2018 08:11Wanavuoni, vijana na Waislamu wa matabaka mbalimbali wa Iran wameungana na ndugu zao wa Kishia kufanya ziara katika Haram ya Imam Ridha AS, mmoja wa wajukuu wa Bwana Mtume Muhammad SAW ambaye pia ni Imam wa Nane wa Waislamu wa Kishia.
-
"Orodha ya vikwazo vipya dhidi ya Iran vinaonesha kukanganyikiwa Marekani"
Nov 06, 2018 04:36Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema miongoni mwa majina yaliyoko kwenye orodha ya vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Tehran ni benki iliyofungwa miaka sita iliyopita na meli ya mafuta ya Iran iliyozama katika bahari ya China karibu mwaka mmoja uliopita.
-
Jeshi la Iran na IRGC zazindua mfumo mpya wa makombora katika maneva ya ulinzi wa anga
Nov 06, 2018 04:31Jeshi la Iran na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC zimeanza luteka ya kijeshi ya ulinzi wa anga iliyopewa jina la "Velayat 97".
-
Ujerumani: Uhusiano wa kibiashara na Iran unapaswa kuendelea kuwepo
Nov 06, 2018 01:19Msemaji wa serikali ya Ujerumani amesema kuwa, uhusiano wa kibiashara kati ya nchi hiyo ya bara Ulaya na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran unapaswa kuendelea kuwepo.
-
Iran yazima hujuma ya Israel katika mitandao ya mawasiliano
Nov 06, 2018 01:18Iran imefanikiwa kuzima wimbi la mashambulizi kupitia intaneti (cyber-attack) ambayo yalikuwa yametekelezwa na utawala haramu wa Israel kwa lengo la kuvuruga mitandao ya mawasiliano nchini.