-
Rais Rouhani: Tutavishinda vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran kwa umoja na msaada wa wananchi
Nov 05, 2018 10:19Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza kuwa, taifa hili litafanikiwa kuvishinda vikwazo vya Marekani dhidi yake.
-
Pompeo akiri kutengwa Washington katika kutekeleza vikwazo dhidi ya Iran
Nov 05, 2018 03:53Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani amekiri kuwa Washington imetangwa katika kutekeleza vikwazo dhidi ya Iran.
-
Rais Rouhani apongeza kushiriki wananchi katika hamasa ya tarehe 13 Aban
Nov 05, 2018 03:47Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kufanyika Siku ya Kitaifa ya Kupambana na Uistikbari kunadhihisha namna wananchi walivyofungamana na walivyo na shauku na Mapinduzi ya Kiislamu na malengo yake.
-
Washington Post: Marekani inaogopa nguvu za kijeshi za Iran
Nov 04, 2018 12:18Gazeti la Washington Post limeashiria jinsi Marekani ilivyorudi nyuma kutoka eneo la Ghuba ya Uajemi katika miezi kadhaa iliyopita na kuripoti kuwa viongozi wa nchi hiyo wana wasiwasi kutokana na uwezo wa kijeshi wa Iran unaozidi kuongezeka.
-
Larijani: Trump ni mdogo sana, hawezi kuipigisha magoti Iran
Nov 04, 2018 04:40Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema Rais Donald Trump wa Marekani ni 'mdogo sana' kuweza kufanikiwa kulipigisha magoti taifa la Iran.
-
Zarif: Dunia yote inapinga sera hasi za Marekani dhidi ya Iran
Nov 04, 2018 04:31Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema sera hasi na maamuzi yanayokiuka sheria za kimataifa ya Marekani yanakabiliwa na upinzani mkubwa katika kila kona ya dunia, huku Washington ikijiandaa kuanza kutekeleza vikwazo vipya dhidi ya Tehran.
-
Iran yaanza kuzalisha kwa wingi ndege ya kivita aina ya 'Kauthar' + Video
Nov 03, 2018 23:11Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeanza kuzalisha kwa wingi ndege ya kisasa ya kivita iliyopewa jina la 'Kauthar'.
-
Hatua za mwisho za Ulaya za kuanzisha mfumo huru maalumu wa kifedha kati yake na Iran
Nov 03, 2018 23:05Kufuatia kutangazwa duru mpya ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran ambavyo vinatazamiwa kuanza kutekelezwa kuanzia tarehe 5 mwezi huu huku vikijumuisha sekta ya mafuta, benki na safari za meli; nchi za Ulaya zimetoa taarifa zikisisitiza kupiga hatua kubwa katika kutayarisha mfumo huo maalumu wa kifedha kati yake na Iran.
-
Iran: Kurejea vikwazo vya Marekani ni kusambaratika maadili na siasa za utawala wa Washington
Nov 03, 2018 11:10Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa taarifa na kusema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa ushirikiano na nchi rafiki na kwa kutegemea uwezo wake wa ndani na kimataifa, itatumia busara na kuweza kuvuka vikwazo visivyo vya kisheria vya Marekani.
-
Novemba 4; kukaribia siku ya mtihani mgumu kwa Umoja wa Ulaya
Nov 03, 2018 04:41Siku tatu kabla ya kuanza awamu ya pili ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran, Rais Hassan Rouhani alizitaka nchi za Ulaya kusimama imara kukabiliana na mielekeo ya Washington ya kujichukulia hatua za upande mmoja.