-
Maktaba ya Imam Khomeini (MA) na sauti-1
Sep 09, 2018 09:38Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya kwanza ya kipindi hiki kipya cha Katika Maktaba ya Imam Khomein (MA) ambacho kinakujieni kwa mnasaba wa miaka 40 ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
Iran: Marekani inayatumia makundi ya kigaidi kufikia malengo yake
Sep 09, 2018 03:19Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani inatumia njia zote kukiwemo kuyatumia makundi ya kigaidi kufikia malengo yake pasina kujali madhara kwa nchi nyingine.
-
Mazungumzo ya Waziri wa Ulinzi wa Iran nchini China na sisitizo la ushirikiano zaidi wa kijeshi na kiuchumi
Sep 09, 2018 03:00Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Brigedia Jenerali Amir Hatami ametembelea China kufuatia mwaliko wa waziri mwenzake wa nchi hiyo kwa lengo la kuimarisha uhusiano wa kijeshi na kiuchumi baina ya China na Iran.
-
IMO yaipongeza Iran kwa kulinda usalama baharini na kukabiliana na maharamia
Sep 08, 2018 10:53Katibu Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Masuala ya Bahari, IMO, Kitack Lim, amepongeza nafasi ya Iran katika kukabiliana na maharamia na kulinda usalama wa maji ya Bahari ya Hindi na Ghuba ya Aden.
-
Waziri wa Ulinzi wa Iran: Marekani inauvutia mfumo wa kimataifa kuelekea kwenye mizozo
Sep 08, 2018 02:52Brigedia Jenerali Amir Hatami, Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema kuwa, Marekani inauvutia mfumo wa kimataifa katika mzozo, ambapo katika kufikia malengo yake, inatumia nyenzo zote yakiwemo makundi ya kigaidi.
-
Mkutano wa pande tatu Tehran; azma ya kweli ya kuangamiza ugaidi katika mji wa Idlib Syria
Sep 08, 2018 02:27Mkutano wa Marais wa Iran, Russia na Uturuki umefanyika hapa mjini Tehran ajenda kuu ikiwa ni matukio ya Syria.
-
Taarifa ya pamoja ya marais wa Iran, Russia na Uturuki kuhusu Syria katika kikao cha Tehran
Sep 07, 2018 10:37Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Russia, na Uturuki wametoa taarifa ya pamoja baada ya mkutano wao wa pande tatu mjini Tehran ambapo wamesisitiza kuhusu msimamo wao wa kudumishwa uhuru, mamlaka ya kujitawala na kulinda mipaka yote ya Syria.
-
Mkutano wa Troika ya Syria mjini Tehran, kigezo bora cha kuigwa cha uishirikiano wa kikanda
Sep 07, 2018 02:50Leo Ijumaa Tehran ni mwenyeji wa kikao cha viongozi wa nchi tatu muhimu katika mchakato wa kurejesha amani nchini Syria, yaani Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Russia na Uturuki.
-
Iran yaufanyia majaribio mfumo wa makombora wa Bavar 373 kwa mafanikio makubwa
Sep 07, 2018 00:21Naibu Waziri wa Ulinzi wa Iran, Ghasem Taghizadeh amesema kuwa jeshi la Iran limeufanyia majaribio mfumo wa ulinzi wa anga wa makombora wa Bavar 373 kwa mafanikio makubwa.
-
Dakta Larijani: Iran na Russia zina nafasi kubwa katika vita dhidi ya ugaidi Mashariki ya Kati
Sep 06, 2018 09:58Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Iran na Russia zimekuwa na nafasi muhimu mno katika uga wa kupambana na ugaidi katika eneo la Mashariki ya Kati.