Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Kikao cha Baraza la Usalama la UN, baraza la propaganda za Trump dhidi ya Iran

    Kikao cha Baraza la Usalama la UN, baraza la propaganda za Trump dhidi ya Iran

    Sep 06, 2018 05:47

    Mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, Marekani ambayo ni mvunjaji mkubwa zaidi wa sheria za kimataifa inalitumia vibaya Baraza la usalama kwa ajili ya kupeleka mbele sera na mipango yake ya kujichukulia maamuzi ya upande mmoja.

  • Waziri wa Ulinzi wa Iran avipongeza vikosi vilivyokabiliana na magaidi wa Daesh nchini Syria

    Waziri wa Ulinzi wa Iran avipongeza vikosi vilivyokabiliana na magaidi wa Daesh nchini Syria

    Sep 05, 2018 22:29

    Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, vikosi vya kijeshi vilivyopambana na magaidi nchini Syria vimeweza kusambaratisha njama kubwa iliyokuwa imeratibiwa dhidi ya usalama wa Mashariki ya Kati.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia akosoa vikali muamala wa Marekani dhidi ya Iran

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia akosoa vikali muamala wa Marekani dhidi ya Iran

    Sep 05, 2018 03:02

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amekosoa vikali sera za upande mmoja zinazotekelezwa na Marekani na kueleza kwamba muamala wa Washington dhidi ya Iran si wa kitaalamu wala hauendani na uhalisia wa mambo.

  • Nchi za dunia zinapaswa kushirikiana na Iran katika kukabiliana na mihadarati

    Nchi za dunia zinapaswa kushirikiana na Iran katika kukabiliana na mihadarati

    Sep 04, 2018 22:02

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inasema nchi zote ambazo zinafaidika na jitihada zake za kupambana na mihadarati zinapaswa kuisaidia kiufundi na kifedha.

  • Japan yasisitiza kuendelea kununua mafuta ya Iran

    Japan yasisitiza kuendelea kununua mafuta ya Iran

    Sep 04, 2018 09:12

    Waziri wa Uchumi, Biashara na Viwanda wa Japan amesisitiza kufanyika juhudi za kuendelea kuagiza mafuta kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Rais Rouhani: Maadui hawawezi kuizuia Iran katika mkondo wa ustawi

    Rais Rouhani: Maadui hawawezi kuizuia Iran katika mkondo wa ustawi

    Sep 04, 2018 08:57

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema maadui hawana uwezo wa kulizuia taifa la Iran katika mkondo wake wa ustawi.

  • Walid al Mualim: Ajenda Kuu ya kikao cha Iran, Uturuki na Russia ni kuhusu kukombolewa Idlib

    Walid al Mualim: Ajenda Kuu ya kikao cha Iran, Uturuki na Russia ni kuhusu kukombolewa Idlib

    Sep 03, 2018 22:09

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesisitiza kuwa suala kuu lilogubika kikao cha pande tatu cha viongozi wa Iran, Russia na Uturuki mjini Tehran lilikuwa kuhusiana na kukombolewa mkoa wa Idlib.

  • Sifa za kipekee za kituo cha ulinzi wa anga Iran kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu

    Sifa za kipekee za kituo cha ulinzi wa anga Iran kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu

    Sep 03, 2018 06:20

    "Kituo cha Ulinzi wa Anga cha Jeshi la Iran, ni sehemu muhimu ya majeshi kwani iko katika mstari wa mbele wa kukabiliana na maadui wa Iran."

  • Naibu Waziri wa Ulinzi: Iran itaimarisha uwezo wake wa makombora

    Naibu Waziri wa Ulinzi: Iran itaimarisha uwezo wake wa makombora

    Sep 01, 2018 21:52

    Naibu Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema kuwa na uwezo wa makombora ya balistiki na cruise na kumiliki ndege za kivita za kizazi kipya pamoja na manowari na nyambizi za kisasa zenye uwezo wa kuenda masafa ya mbali ni kati ya mipango inayofuatiliwa na Wizara ya Ulinzi ya Iran.

  • Mazungumzo ya Dakta Zarif na Waziri Mkuu wa Pakistan

    Mazungumzo ya Dakta Zarif na Waziri Mkuu wa Pakistan

    Aug 31, 2018 23:40

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Imrah Khan Waziri Mkuu wa Pakistan aliyechaguliwa hivi karibuni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS