-
Rais Pezeshkian: Iran itatoa jibu kali na la kumjutisha adui
Dec 31, 2025 07:59Rais wa Iran amesisitiza kwamba, jibu la Jamhuri ya Kiislamu kwa uchokozi wowote litakuwa kali na litamfanya adui ajute.
-
Iran yajibu mapigo, yalitambua jeshi la majini la Canada kama shirika la kigaidi
Dec 30, 2025 23:29Iran imetangaza kulitambua Jeshi la Wanamaji la Canada kama shirika la kigaidi, ikijibu uamuzi wa huko nyuma wa Ottawa wa kuliorodhesha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) kama kundi la kigaidi, Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ilisema hayo jana Jumanne.
-
Velayati: Maadui walikosea sana kutweza nguvu za kijeshi za Iran
Dec 30, 2025 23:00Katibu Mkuu wa Majlisi ya Uamsho ya Kiislamu Duniani amesema kuwa, maadui wa Iran walikosea sana katika mahesabu yao juu ya nguvu za kijeshi za Jamhuri ya Kiislamu, kwani makombora yenye usahihi mkubwa ya Iran yalipenya safu nyingi za mifumo ya ulinzi na kupiga kwa usahihi shabaha zilizokusudiwa, na kubadilisha kikamilifu mlingano wa nguvu katika eneo la Magharibi mwa Asia.
-
Araghchi: Wananchi wa Venezuela watalinda uhuru wao mkabala wa uhalifu wa US
Dec 30, 2025 22:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi amesisitiza upinzani wa moja kwa moja wa Tehran dhidi ya hatua yoyote ya vitisho dhidi ya ardhi, uhuru na mamlaka ya kujitawala Venezuela, akisisitiza kuwa ana imani kuwa taifa hilo la Amerika Kusini litalinda uhuru wake.
-
Araqchi: Jenerali Soleimani alikuwa 'Mbunifu wa Mhimili wa Muqawama' Magharibi mwa Asia
Dec 29, 2025 08:21Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amemsifu shahidi na kamanda wa vita dhidi ya ugaidi, Luteni Jenerali Qassim Soleimani na kumtaja kuwa "mbunifu wa Mhimili wa Muqawama" katika eneo Magharibi mwa Asia.
-
Jeshi la Iran: Tupo katika hali bora zaidi kumkabili adui
Dec 29, 2025 06:23Jeshi la Iran limeonya kwamba, hatua yoyote ya uadui kutoka kwa maadui itakabiliwa na jibu kali, huku likisisitiza juu ya utayarifu wake wa kulilinda na kulihami taifa.
-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Qatar wajadili matukio ya kikanda hasa hali ya Yemen
Dec 28, 2025 06:59Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Qatar wamezungumza kwa njia ya simu na kubadilishana mawazo kuhusu matukio ya kikanda hususan matukio ya karibuni huko Yemene. Wamesema kuwa ipo haja ya kulindwa mamlaka ya kujitawal ya ardhi nzima ya nchi hiyo.
-
Iran: Tumejiandaa kutoa jibu chungu zaidi kwa wavamizi
Dec 28, 2025 03:17Rais Masoud Pezeshkian wa Iran ameonya kwamba, kitendo chochote cha uchokozi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu kitakabiliwa na jibu la haraka na la kuumiza zaidi, akisisitiza utayarifu wa Vikosi vya Jeshi vya nchi hii kukabiliana na maadui na vitisho vyao.
-
Ayatullah Khatami: Adui atakumbwa na usiku wa giza iwapo atasababisha madhara kwa Iran
Dec 26, 2025 08:37Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesisitiza kuwa, uwezo wa makombora wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran utaendelea kuwepo na kwamba: "Maadui watakumbana na usiku wa giza kama wanataka kuidhuru Jamhuri ya Kiislamu.
-
Gharibabadi: Mashambulizi ya adui dhidi ya raia wakati wa vita yamethibitisha suala la nyuklia lilikuwa kisingizio tu
Dec 26, 2025 08:25Kazem Gharibabadi Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Anayehusika na Masuala ya Kisheria na Kimataifa ameissitiza kuwa mashambulizi ya adui dhidi ya raia na makazi ya watu wakati wa vita haramu vilivyoanzisha na Israel kwa kushrikiana na Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mwezi Juni mwaka huu yamethibitisha kuwa kadhia ya nyuklia ilikuwa kisingiizo tu cha kuishambulia nchi hii.