Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Iran yakosoa kupunguzwa misaada ya kimataifa kwa wakimbizi wa Afghanistan

    Iran yakosoa kupunguzwa misaada ya kimataifa kwa wakimbizi wa Afghanistan

    Dec 11, 2025 23:08

    Iran imeikosoa jamii ya kimataifa kwa kushindwa kutimiza hata ahadi za kimsingi za kuwasaidia mamilioni ya wakimbizi wa Kiaghani; ikisema kuwa kupunguzwa misaada kumeifanya nchi hiyo kubeba mzigo mkubwa wa kifedha licha ya indhari za miaka mingi.

  • Mtazamo wa Iran kuhusu vitendo vya Marekani dhidi ya Venezuela: Uzushi hatari unaotishia amani na usalama wa dunia

    Mtazamo wa Iran kuhusu vitendo vya Marekani dhidi ya Venezuela: Uzushi hatari unaotishia amani na usalama wa dunia

    Dec 11, 2025 05:15

    Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amevitaja vitendo vya Marekani dhidi ya Venezuela kuwa ni uzushi hatari unaotishia amani na usalama wa dunia.

  • Hatua mpya katika uhusiano wa Iran na Kenya; kianzio katika diplomasia ya Kiafrika ya Tehran?

    Hatua mpya katika uhusiano wa Iran na Kenya; kianzio katika diplomasia ya Kiafrika ya Tehran?

    Dec 09, 2025 09:12

    Balozi wa Iran nchini Kenya amesema kuwa uhusiano kati ya Tehran na Nairobi umeingia katika hatua mpya.

  • Barabara ya Hariri ya Kusini: Iran, Uturuki zarekebisha biashara ya Eurasia

    Barabara ya Hariri ya Kusini: Iran, Uturuki zarekebisha biashara ya Eurasia

    Dec 09, 2025 08:01

    Mwishoni mwa mwezi uliopita, wakati Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Hakan Fidan alipofanya ziara mjini Tehran, Iran na Uturuki zilitangaza makubaliano ya kuanza ujenzi wa njia mpya ya pamoja ya reli kati ya nchi mbili.

  • Mwanadiplomasia: Iran iliitia Israel hasara 'kubwa na iliyoenea' wakati wa Vita vya Siku 12

    Mwanadiplomasia: Iran iliitia Israel hasara 'kubwa na iliyoenea' wakati wa Vita vya Siku 12

    Dec 09, 2025 00:02

    Mwanadiplomasia mwandamizi wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu iliusababishia utawala wa kizayuni wa Israel uharibifu 'mkubwa na ulioenea' wakati wa uvamizi wake uliofanya mwezi Juni dhidi ya Iran kwa uungaji mkono wa Marekani.

  • Iran: Mkakati mpya wa Usalama wa Taifa wa Marekani unaandikwa hasa kwa ajili ya Israel

    Iran: Mkakati mpya wa Usalama wa Taifa wa Marekani unaandikwa hasa kwa ajili ya Israel

    Dec 07, 2025 23:37

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Mkakati mpya wa Usalama wa Taifa wa Marekani (NSS) unaobainisha misingi na vipaumbele vya Washington katika sera za nje kimsingi ni hati ya usalama kwa ajili ya utawala wa kizayuni wa Israel.

  • Kwa nini Wamarekani wengi wanapinga hatua ya kijeshi ya Marekani dhidi ya Iran?

    Kwa nini Wamarekani wengi wanapinga hatua ya kijeshi ya Marekani dhidi ya Iran?

    Dec 07, 2025 23:01

    Takwimu za hivi karibuni zinaonyesha kuwa idadi kubwa ya raia wa Marekani wanapinga mashambulizi ya kijeshi yaliyofanywa na serikali ya Rais Donald Trump dhidi ya Iran.

  • Qalibaf azionya nchi jirani kutoijaribu Iran kuhusu visiwa vitatu vya Ghuba ya Uajemi

    Qalibaf azionya nchi jirani kutoijaribu Iran kuhusu visiwa vitatu vya Ghuba ya Uajemi

    Dec 07, 2025 07:39

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge la Iran) Mohammad Baqer Qalibaf amepuuzilia mbali madai ya kukaririwa kuhusu visiwa vitatu vya Iran katika taarifa ya mwisho ya Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi (GCC), akiyaonya mataifa jirani kutoijaribu azma ya Jamhuri ya Kiislamu ya kulinda mamlaka yake ya kujitawala na umoja wa ardhi nzima ya nchi hii.

  • Mjumbe wa Marekani akiri: Washington ilijaribu na kushindwa mara mbili kuipindua serikali ya Iran

    Mjumbe wa Marekani akiri: Washington ilijaribu na kushindwa mara mbili kuipindua serikali ya Iran

    Dec 07, 2025 07:30

    Tom Barrack Mjumbe Maalumu wa Marekani nchini Syria amesema kuwa Washington ilijaribu mara mbili kupindua serikali ya Iran lakini iliambulia patupu.

  • Je, hatua ya Iran na Uturuki kuelekea ustawi wa eneo inaashiria kufunguliwa ukurasa mpya wa ushirikiano?

    Je, hatua ya Iran na Uturuki kuelekea ustawi wa eneo inaashiria kufunguliwa ukurasa mpya wa ushirikiano?

    Dec 05, 2025 08:18

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uturuki zimeazimia kwa dhati kuchukua hatua kuelekea maendeleo na ustawi wa kikanda.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS