Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Marais wa Iran na Misri waonesha matumaini ya kustawi uhusiano wa pande mbili

    Marais wa Iran na Misri waonesha matumaini ya kustawi uhusiano wa pande mbili

    Dec 20, 2024 10:04

    Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Misri wamefanya mazungumzo ya ana kwa ana mjini Cairo, Misri na wamepitia hatua zote chanya za kuweza kustawisha uhusiano kati ya nchi zao. Wameelezea matumaini yao kuwa hatua chanya zitaendelea hadi uhusiano wa nchi mbili utakaporejeshwa kikamilifu.

  • Pezeshkian amwambia Erdogan: Unyakuzi wa ardhi ya Syria haukubaliki kwa njia yoyote

    Pezeshkian amwambia Erdogan: Unyakuzi wa ardhi ya Syria haukubaliki kwa njia yoyote

    Dec 20, 2024 04:29

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza ulazima wa kuhifadhiwa ardhi yote ya Syria. Rais Masoud Pezeshkian ameyasema hayo katika mazungumzo yake na Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki pambizoni mwa mkutano wa viongozi wa nchi wanachama katika D-8 uliofanyika jana mjini Cairo huko Misri.

  • Rais Pezeshkian ahimiza umoja kati ya Waislamu ili kukabiliana na uchokozi wa Israel

    Rais Pezeshkian ahimiza umoja kati ya Waislamu ili kukabiliana na uchokozi wa Israel

    Dec 19, 2024 08:49

    Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesisitiza ulazima wa kuwepo umoja kati ya mataifa ya Kiislamu, na kutilia mkazo udharura wa kuchukuliwa hatua za pamoja ili kukabiliana na uchokozi wa utawala wa Israel.

  • Rais Pezeshkian: Uhusiano mzuri baina ya nchi za Kiislamu utazima njama za maadui

    Rais Pezeshkian: Uhusiano mzuri baina ya nchi za Kiislamu utazima njama za maadui

    Dec 19, 2024 00:13

    Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema "kadiri tutavyoweza kuboresha uhusiano wetu na nchi za Kiislamu ndivyo tutakavyoweza zaidi kuzima njama za maadui dhidi yetu".

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aelekea Misri kushiriki kikao cha D-8

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aelekea Misri kushiriki kikao cha D-8

    Dec 17, 2024 23:35

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameelekea mjini Cairo Misri kwa ajili ya kushiriki kwenye kikao cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa kundi la D-8 la nchi za Kiislamu zinazostawi.

  • Muhammad Islami: Wazayuni wameulemaza Umoja wa Mataifa

    Muhammad Islami: Wazayuni wameulemaza Umoja wa Mataifa

    Dec 17, 2024 23:28

    Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Atomiki ya Iran amesema kuwa, kivitendo Wazayuni wameulemaza Umoja wa Mataifa na taasisi hiyo iliyokuwa ikipigania haki za binadamu na uadilifu hivi sasa imepoteza kabisa ufanisi na uutendaji wake.

  • Kiongozi Muadhamu: Marekani na washirika wake wanakosea kikamilifu kudhani Muqawama umepoteza nguvu zake

    Kiongozi Muadhamu: Marekani na washirika wake wanakosea kikamilifu kudhani Muqawama umepoteza nguvu zake

    Dec 17, 2024 08:16

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema kuwa Marekani na washirika wake wanakoseka kikamilifu wanapodhani kwamba Muqawama umeishiwa nguvu na umemalizika.

  • Iran: US na Ujerumani zinasaidia mkono kwa mkono mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel Ghaza

    Iran: US na Ujerumani zinasaidia mkono kwa mkono mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel Ghaza

    Dec 17, 2024 04:12

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema, Marekani na Ujerumani zinasaidiana mkono kwa mkono na Israel katika mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala huo wa Kizayuni huko Ghaza.

  • Ripoti ya kila mwaka ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu uliofanywa na Marekani na Uingereza

    Ripoti ya kila mwaka ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu uliofanywa na Marekani na Uingereza

    Dec 16, 2024 03:22

    Kwa mujibu wa ripoti ya kila mwaka ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusiana na ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa Marekani na Uingereza, ripoti ambayo imeandaliwa kwa kutelekeza mswada uliopitishwa na Bunge la Iran mwaka 1391 Hijria Shamsia,

  • Yemen: Marekani inatushambulia kwa sababu ya uungaji mkono wetu kwa wananchi wa Ghaza

    Yemen: Marekani inatushambulia kwa sababu ya uungaji mkono wetu kwa wananchi wa Ghaza

    Dec 15, 2024 23:12

    Mkuu wa Kamati ya Taifa ya Masuala ya Mateka wa serikali ya Yemen amesema kuwa, mashambulizi na tuhuma zinazotolewa na Marekani dhidi ya San'an kuhusu haki za binadamu ni muendelezo wa chuki za mabeberu dhidi ya Yemen kutokana na uungaji mkono wake usiotetereka wa wananchi wa Palestina hasa wa Ghaza.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS