Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran na Afrika

  • Rais wa Iran kutembelea nchi kadhaa za Afrika, lengo ni kuimarisha uhusiano wa kisiasa, kiuchumi

    Rais wa Iran kutembelea nchi kadhaa za Afrika, lengo ni kuimarisha uhusiano wa kisiasa, kiuchumi

    Jul 09, 2023 04:47

    Rais wa Iran, Ebrahim Raisi, anatazamiwa kuanza ziara rasmi ya kuzitembelea nchi tatu barani Afrika katika fremu ya sera za Jamhuri ya Kiislamu za kupanua uhusiano na nchi marafiki.

  • Raisi: Uhusiano wa Iran na Algeria unaweza kupanuliwa katika nyanja za biashara na uchumi

    Raisi: Uhusiano wa Iran na Algeria unaweza kupanuliwa katika nyanja za biashara na uchumi

    Jul 09, 2023 02:25

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameutaja uhusiano kati ya Iran na Algeria kuwa ni baina ya nchi mbili rafiki, wa kidugu na Kiislamu, ambao unaweza kupanuliwa kwa kuzingatia misimamo ya kieneo na kimataifa ya pande mbili katika nyuga mbalimbali zikiwemo nyanja za kibiashara na kiuchumi.

  • Iran na Sudan kufufua uhusiano wao wa kidiplomasia karibuni

    Iran na Sudan kufufua uhusiano wao wa kidiplomasia karibuni

    Jul 06, 2023 23:38

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amekutana na kufanya mazungumzo na mwenzake wa Sudan kwa mara ya kwanza baada ya miaka saba, ambapo wamekubaliana kufufua uhusiano wa kidiplomasia wa nchio mbili hizi karibuni hivi.

  • Rais wa Iran aalikwa kuhudhuria mkutano wa BRICS Afrika Kusini

    Rais wa Iran aalikwa kuhudhuria mkutano wa BRICS Afrika Kusini

    Jul 04, 2023 03:54

    Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amealikwa rasmi kuhudhuria mkutano ujao wa kundi la BRICS utakaofanyika nchini Afrika Kusini.

  • Balozi wa Kenya Iran atembelea

    Balozi wa Kenya Iran atembelea "Bustani ya Makumbusho ya Naderi" mjini Mashhad

    Jul 03, 2023 09:33

    Balozi wa Kenya nchini Iran ametembelea Jumba la Bustani ya Makumbusho ya Naderi lililoko mjini Mashhad, Mkoa wa Khorasan Razavi.

  • "Ni wajibu kwa kila Muislamu kupinga vitendo vya Wamagharibi kuidhalilisha Qurani"

    Jul 01, 2023 07:57

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mataifa ya Waislamu yana wajibu na jukumu la kulaani na kupinga vitendo vya nchi za Magharibi vya kuvunja heshima matukufu ya Kiislamu, hususan Qurani Tukufu.

  • Iran yalaani shambulio la kigaidi la Uganda lililoua zaidi ya watu 40

    Iran yalaani shambulio la kigaidi la Uganda lililoua zaidi ya watu 40

    Jun 18, 2023 22:45

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali shambulio la kigaidi nchini Uganda lililouwa makumi ya wanafunzi katika shule moja ya sekondari Magharibi mwa nchi hiyo.

  • Iran na Afrika Kusini zatilia mkazo kustawisha uhusiano baina yao katika nyanja zote

    Iran na Afrika Kusini zatilia mkazo kustawisha uhusiano baina yao katika nyanja zote

    Jun 01, 2023 22:43

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Afrika Kusini wamekutana pambizoni mwa kikao cha kundi la BRICS na kutilia mkazo wajibu wa kustawishwa uhusiano wa pande mbili katika nyanja zote.

  • Wanasiasa wa Misri wakaribisha kustawishwa uhusiano wa Tehran na Cairo

    Wanasiasa wa Misri wakaribisha kustawishwa uhusiano wa Tehran na Cairo

    May 31, 2023 03:23

    Wanasiasa na viongozi wa Misri wamekaribisha kwa mikono miwili juhudi za kuhuishwa na kurejeshwa uhusiano wa Iran na Misri.

  • Iran: Tupo tayari kuisaidia Mali kukabiliana na ugaidi

    Iran: Tupo tayari kuisaidia Mali kukabiliana na ugaidi

    May 30, 2023 05:59

    Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ipo tayari kuipa Mali uzoefu ilionao katika kukabiliana na ugaidi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS