Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran na Afrika

  • Iran yaipongeza Afrika kwa maadhimisho ya miaka 60 ya AU

    Iran yaipongeza Afrika kwa maadhimisho ya miaka 60 ya AU

    May 26, 2023 06:47

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameyapongeza mataifa ya Afrika kwa mnasaba wa maadhimisho ya miaka 60 ya kuundwa Umoja wa Afrika.

  • Utawala wa Kizayuni wa Israel wazidi kuishinikiza Misri isiwe na uhusiano mzuri na Iran

    Utawala wa Kizayuni wa Israel wazidi kuishinikiza Misri isiwe na uhusiano mzuri na Iran

    May 19, 2023 01:56

    Gazeti moja la Kizayuni limeripoti kuwa, utawala wa Tel Aviv unafanya juu chini kujaribu kuzuia kuimarika uhusiano wa Misrii na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Iran yaendelea kusisitizia uhusiano mzuri na nchi za bara la Afrika

    Iran yaendelea kusisitizia uhusiano mzuri na nchi za bara la Afrika

    May 09, 2023 00:57

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Waziri wa Viwanda na Biashara wa Burkina Faso wamekutana na kujadiliana njia mbalimbali za kuimarisha ushirikiano wa pande mbili katika nyuga tofauti.

  • Iran yatuma salamu za rambirambi baada ya karibu watu 400 kufa kwa mafuriko DRC

    Iran yatuma salamu za rambirambi baada ya karibu watu 400 kufa kwa mafuriko DRC

    May 07, 2023 23:53

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetuma salamu za rambirambi na mkono wa pole kwa serikali na wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo baada ya watu karibu 400 kufariki dunia kwa janga la mafuriko.

  • Kiwango cha mabadilishano ya kibiashara kati ya Iran na Afrika kupundukia dola bilioni 2

    Kiwango cha mabadilishano ya kibiashara kati ya Iran na Afrika kupundukia dola bilioni 2

    Apr 24, 2023 10:44

    Mkurugenzi wa Idara ya Masuala ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametabiri kuwa kiwango cha mabadilishano ya kibiashara kati ya Iran na Afrika kitafika zaidi ya dola bilioni mbili.

  • Iran yapongeza misimamo ya Mauritania ya kuunga mkono taifa la Palestina

    Iran yapongeza misimamo ya Mauritania ya kuunga mkono taifa la Palestina

    Apr 05, 2023 03:38

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepongeza na kusifu misimamo ya serikali na wananchi wa Mauritania ya kuunga mkono malengo matukufu ya wananchi wa Palestina.

  • Utafiti: Waswahili wana asili ya Kiajemi; nusu ya mababu zao ni Wairani

    Utafiti: Waswahili wana asili ya Kiajemi; nusu ya mababu zao ni Wairani

    Apr 01, 2023 03:28

    Utafiti wa chembe chembe za vinasaba unaonyesha kuwa, Waswahili wa Ukanda wa Pwani Afrika Mashariki wana asili ya Iran.

  • Mapitio ya mkutano wa kwanza wa ushirikiano wa kiuchumi wa Iran na mataifa ya Afrika magharibi

    Mapitio ya mkutano wa kwanza wa ushirikiano wa kiuchumi wa Iran na mataifa ya Afrika magharibi

    Mar 07, 2023 07:58

    Katika siku ya kwanza ya mkutano wa ushirikiano wa kiuchumi wa Iran na mataifa ya Afrika magharibi kumetiwa saini hati 20 za ushirikiano katika nyuga tofauti zikiwemo za kisiasa, kiuchumi, kibiashara na kiutalii.

  • Iran yasaini hati 20 za ushirikiano na nchi za Afrika Magharibi

    Iran yasaini hati 20 za ushirikiano na nchi za Afrika Magharibi

    Mar 07, 2023 04:16

    Maafisa wa ngazi za juu wa Iran wamesema kupanua uhusiano na nchi za Kiafrika ni moja ya sera kuu za kigeni za Jamhuri ya Kiislamu.

  • Makamu wa Rais wa Iran: Kutanua uhusiano na nchi za Kiafrika ni sera kuu ya Iran

    Makamu wa Rais wa Iran: Kutanua uhusiano na nchi za Kiafrika ni sera kuu ya Iran

    Feb 28, 2023 04:05

    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran amekutaja kupanua uhusiano na maingiliano na nchi za Kiafrika hususan Zimbabwe kuwa ni moja ya njia kuu za sera za kigeni za Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS