Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran na Afrika

  • Kuwasili nchini Iran ujumbe wa kiuchumi wa Senegal

    Kuwasili nchini Iran ujumbe wa kiuchumi wa Senegal

    Feb 23, 2023 04:07

    Ujumbe wa ngazi ya juu wa kiuchumi wa Senegal ukiongozwa na mshauri mkuu wa rais na mkuu wa chama cha wafanyakazi cha nchi hiyo umeasili mjini Tehran.

  • Mshauri mkuu wa Rais wa Senegal anawasili Tehran leo akiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa nchi yake

    Mshauri mkuu wa Rais wa Senegal anawasili Tehran leo akiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa nchi yake

    Feb 21, 2023 23:43

    Kaimu wa Mkuu wa Klabu ya Biashara ya Iran na Afrika amesema kuwa, ujumbe wa ngazi ya juu wa kiuchumi wa Senegal ukiongozwa na mshauri mkuu wa rais na mkuu wa muungano wa wafanyabiashara wa nchi hiyo unawasili mjini Tehran leo kwa ajili ya kuimaimarisha ushirikiano wa kiuchumi wa pande mbili.

  • Amir-Abdollahian: Uhusiano wa Iran na Guinea unazidi kuimarika

    Amir-Abdollahian: Uhusiano wa Iran na Guinea unazidi kuimarika

    Feb 09, 2023 08:42

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu na Guinea ni mzuri, wa kirafiki, wa kihistoria na unaoendelea kuimarika.

  • Raisi: Uhusiano wa Iran na Zimbabwe ni wa kirafiki

    Raisi: Uhusiano wa Iran na Zimbabwe ni wa kirafiki

    Feb 07, 2023 11:48

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu, amesema uhusiano wa Iran na Zimbabwe baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu daima umekuwa wa kirafiki na unaendelea kuimarika.

  • Kufanyika kikao cha Kamisheni ya Pamoja ya Kiuchumi ya Iran na Zimbabwe

    Kufanyika kikao cha Kamisheni ya Pamoja ya Kiuchumi ya Iran na Zimbabwe

    Feb 05, 2023 23:13

    Kikao cha tisa cha Kamisheni ya Pamoja ya Kiuchumi ya Iran na Zimbabwe kimefanyika hapa mjini Tehran.

  • Abdollahian: Iran inasaidia kupatikana amani na uthabiti barani Afrika

    Abdollahian: Iran inasaidia kupatikana amani na uthabiti barani Afrika

    Feb 01, 2023 04:06

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Iran ipo mstari wa mbele katika vita dhidi ya ugaidi na inasadia kupatikana amani na uthabiti barani Afrika.

  • Spika wa Bunge la Algeria: Tunataka kuimarisha uhusiano na Iran

    Spika wa Bunge la Algeria: Tunataka kuimarisha uhusiano na Iran

    Jan 29, 2023 09:52

    Spika wa Bunge la Algeria amesema: Tunajivunia mafanikio ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika nyuga mbalimbali na tunataka kuimarisha uhusiano kati ya mataifa yetu mawili.

  • Qalibaf: Afrika ni mojawapo ya fursa muhimu za kiuchumi kwa Ulimwengu wa Kiislamu

    Qalibaf: Afrika ni mojawapo ya fursa muhimu za kiuchumi kwa Ulimwengu wa Kiislamu

    Jan 29, 2023 04:05

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kabla ya kuondoka Tehran kuelekea ziarani nchini Algeria kwa lengo la kushiriki katika mkutano wa mabunge ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kuwa: Afrika katika mazingira ya sasa ni moja ya fursa muhimu za kiuchumi na kiutamaduni kwa Ulimwengu wa Kiislamu.

  • Iran na Tanzania zahimiza ushirikiano zaidi baina yao hasa katika uwekezaji viwandani

    Iran na Tanzania zahimiza ushirikiano zaidi baina yao hasa katika uwekezaji viwandani

    Jan 27, 2023 03:10

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: Tuko tayari kutoa ujuzi na uzoefu wetu, hasa katika nyanja za elimu, kilimo, uvuvi, ujenzi wa mabwawa, usimamizi wa vyanzo vya maji na kilimo umwagiliaji, ili kuisaidia Tanzania katika juhudi zake za mapinduzi ya viwanda.

  • Gharibabadi: Magharibi inatumia suala la wanawake kuzishinikiza nchi huru

    Gharibabadi: Magharibi inatumia suala la wanawake kuzishinikiza nchi huru

    Jan 26, 2023 23:17

    Afisa wa ngazi ya juu wa haki za binadamu nchini Iran amesema nchi za Magharibi zinatumia suala la wanawake kuziweka chini ya mashinikizo nchi huru duniani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS