-
Abdollahian asisitiza azma ya Iran ya kuimarisha ushirikiano na bara la Afrika
Jan 23, 2023 03:50Hussein Amir-Abdollahian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya azma ya Tehran ya kukuza na kustawisha zaidi ushirikiano wake na mataifa ya Kiafrika.
-
Iran kuwa mwenyeji wa nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS)
Jan 09, 2023 07:20Tehran karibuni hivi inatazamiwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa kwanza baina ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Magharibi mwa Afrika (ECOWAS).
-
Rais Ebrahim Raisi: Wamagharibi waliingia Afrika kwa ajili ya kukoloni na kupora utajiri wa Waafrika
Jan 09, 2023 00:46Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, madola ya Magharibi yaliingia barani Afrika kwa ajili ya kukoloni na kupora maliasili na utajiri wa Waafrika.
-
Hauli ya Haj Qassem yafanyika Nigeria kwa maandamano na kuchomwa moto bendera ya Marekani
Jan 04, 2023 00:54Wanachama wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria wameandamana katika hauli na kumbukumbu ya kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani na kuchoma moto bendera ya Marekani.
-
Zakzaky: Ni wajibu kwa Waislamu wote huru kuendeleza njia ya shahidi Soleimani
Jan 03, 2023 07:39Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesisitiza kuwa, vijana wa kambi ya muqawama wanapaswa kusimama imara kukabiliana na madola ya kiistikbari kama ambavyo pia amewataka Waislamu kutumia njia zote zinazowezekana, kuhakikisha fikra za shahidi Qassem Soleimani zinabakia hai.
-
Iran yaitumia salamu za rambi rambi serikali ya Afrika Kusini kufuatia mlipuko wa lori la gesi
Dec 26, 2022 00:50Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za pole na rambi rambi kwa serikali na wananchi wa Afrika Kusini kufuatia mlipuko wa lori la gesi ambao umesababisha vifo vya watu kadhaa.
-
Iran na Guinea kupanua ushirikiano wao katika kilimo
Dec 24, 2022 02:44Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Guinea zimeazimia kuimarisha zaidi uhusiano wa pande mbili katika sekta ya kilimio ikiwa ni katika mkakati wa Iran wa kuendelea kuboresha zaidi ushirikiano na nchi za Afrika.
-
Iran yapongeza misimamo ya Namibia ya kuliunga mkono taifa la Palestina
Nov 25, 2022 06:37Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu amesifu misimamo ya Namibia ya kuliunga mkono taifa la Palestina na kusisitizia malengo ya pamoja ya Tehran na Windhoek.
-
Iran na Afrika Kusini zaazimia kuimarisha uhusiano wa pande mbili
Nov 17, 2022 04:14Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Afrika Kusini wamesisitizia haja ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili wa nchi hizi mbili katika nyuga tofauti.
-
Mabaharia 16 Wairani waachiliwa huru Tanzania
Nov 13, 2022 01:16Mabaharia 16 Wairani waliokuwa wanashikiliwa nchini Tanzania wameachiliwa huru hivi karibuni. Hayo yamedokezwa na Mkuu wa Ofisi ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran katika Eneo la Biashara Huria la Chabahar katika mkoa wa Sistan na Baluchestan kusini-mashariki mwa Iran ambaye amesema mabaharia hao walioachiliwa huru ni wenyeji wa mkoa wa Sistan na Baluchestan.