-
Amir-Abdollahian afanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Mali hapa Tehran
Feb 13, 2022 08:59Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo hapa Tehran leo Jumapili na Waziri wa Mambo ya Nje wa Mali aliyeko ziarani hapa nchini.
-
Rais wa Senegal alipongeza taifa la Iran kwa maadhimisho ya Siku ya Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 12, 2022 03:25Rais wa Senegal ametoa mkono wa baraka na fanaka kwa serikali na taifa la Iran kwa mnasaba wa kuadhimisha mwaka wa 43 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Sheikh Ibrahim Zakzaky: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni ya Waislamu wote ulimwenguni
Feb 07, 2022 09:21Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesema kuwa, Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran hayaishii tu katika mipaka ya Iran na wananchi wa taifa hili bali ni mali ya Waislamu wote ulimwenguni.
-
Rais Ebrahim Raisi: Uhusiano wa Iran na nchi za Afrika utaimarishwa zaidi
Jan 24, 2022 10:36Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika kikao chake na Waziri wa Mambo ya Nje wa Togo kuwa: Suala la kuimarishwa uhusiano wa Iran na nchi za bara la Afrika litafuatiliwa kwa umakini na nguvu zaidi.
-
Kenya yakaribisha wawekezaji kutoka Iran katika sekta za mafuta, dawa na vifaa vya tiba
Jan 20, 2022 23:48Mwambata wa kiuchumi katika ubalozi wa Kenya mjini Tehran amesema nchi yake inakaribisha wawekezaji kutoka Iran kwenda kuwekeza vitega uchumi katika nchi hiyo.
-
Bidhaa za Iran zinazouzwa Afrika zaongezeka kwa asilimia 200
Jan 12, 2022 01:17Bidhaa za Jamuri ya Kiislamu ya Iran zinazouzwa barani Afrika zimeongezeka kwa asilimia 200 katika kipindi cha miezi tisa iliyopita.
-
Kongamano la kumuenzi Qassem Soleimani na Abu Mahdi al-Mohandes lafanyika Tunisia
Dec 30, 2021 04:47Kundi la vyama vya siasa na asasi za kiraia nchini Tunisia zimefanya kongamano kwa mnasaba wa mwaka wa pili wa kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) na Abu Mahdi al-Muhandis, Naibu Mkuu wa Kikosi cha Kujitolea cha Wananchi wa Iraq cha Hashd al Sha'abi.
-
Shirika la Iran Khodro laanza tena kuunda magari Afrika
Dec 14, 2021 23:01Shirika la Iran Khodro, ambalo ndilo shirika kubwa zaidi la kuunda magari Asia Magharibi, limetangaza kufungua tena kiwanda chake cha kuunda magari nchini Senegal.
-
Mahojiano na Balozi Joshua I Gatimu wa Kenya mjini Tehran + Sauti
Dec 13, 2021 13:20Jumapili ya jana ya Disemba 12, 2021, Wakenya waliadhimisha siku ambayo taifa hilo lilipata uhuru wake kutoka kwa mkoloni Muingereza.
-
Taasisi ya Jiolojia ya Iran kuanza kazi magharibi mwa Afrika
Dec 01, 2021 04:47Kufuatia kutiwa saini mapatano ya ushirikiano baina ya Taasisi ya Jiolojia na Uchimbaji Madini ya Iran na Taasisi ya Madini ya Mali, Iran sasa inatarajiwa kuimarisha shuhuli zake za jiolojia na uchimbaji madini magharibi mwa Afrika.