-
Iran yamwita balozi wa Hungary kulalamikia vikwazo vipya vya EU
Oct 16, 2024 07:10Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imemuita balozi wa Hungary mjini Tehran na kumkabidhi malalamiko makali ya Jamhuri ya Kiislamu kwa vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya shakhsia na taasisi kadhaa za Iran.
-
Abdollahian: Iran iko tayari kushirikiana na Ulaya kwa kuzingatia maslahi ya pamoja
May 11, 2024 04:14Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran iko tayari kushirikiana na Ulaya kwa kuzingatia maslahi ya pande mbili.
-
Akthari ya watu wa Ulaya wanaunga mkono jitihada za kuyalinda makubaliano ya JCPOA
Sep 16, 2019 04:36Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliowajumuisha raia wa nchi 14 wanachama wa Umoja wa Ulaya yanaonyesha kuwa akthari ya wananchi hao wanaunga mkono juhudi za kuyalinda makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Iran kuanza kuziuzia nchi za Ulaya mapipa laki 8 ya mafuta kwa siku
Mar 20, 2017 08:02Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inatazamiwa kuongeza kiwango cha mauzo yake ya mafuta kwa nchi za Umoja wa Ulaya EU.