Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Ukosoaji kufuatia kuongezeka hatua za Imarati za kujipenyeza kiintelijinsia na kisiasa huko Iraq

    Ukosoaji kufuatia kuongezeka hatua za Imarati za kujipenyeza kiintelijinsia na kisiasa huko Iraq

    Mar 31, 2021 06:12

    Katika masiku ya karibuni suala la kujipenyeza Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) huko Iraq kwa mara nyingine tena limezungumziwa pakubwa. Shakhsia na vyombo vya habari vya Iraq vimetangaza kuwa Imarati imezidisha satwa yake ya kiintelijinsia na kisiasa nchini humo.

  • Maafisa Usalama Iraq wazima jaribio la shambulizi la kigaidi Karbala

    Maafisa Usalama Iraq wazima jaribio la shambulizi la kigaidi Karbala

    Mar 29, 2021 08:04

    Maafisa usalama wa Iraq wamezima jaribio la shambulizi la kigaidi lililolenga mjumuiko mkubwa wa wapenzi wa Watu wa Nyumba ya Mtume Muhammad (saw) uliokuwa njiani kutoka Najaf ukielekea katika mji mtakatifu wa Karbala kwa ajili ya sherehe za kuzaliwa Imam wa Zama na mwokozi aliyeahidiwa wa Akheri Zamani, Imam Mahdi (as).

  • Waziri Mkuu wa Iraq asisitiza kufanyika uchaguzi kama ilivyopangwa

    Waziri Mkuu wa Iraq asisitiza kufanyika uchaguzi kama ilivyopangwa

    Mar 28, 2021 23:50

    Waziri Mkuu wa Iraq amesisitiza kuwa uchaguzi wa bunge nchini humo utafanyika kama ilivyopangwa yaani tarehe 10 mwezi Oktoba mwaka huu.

  • Maghala makubwa ya silaha za magaidi yapatikana katika mikoa mitatu ya Iraq

    Maghala makubwa ya silaha za magaidi yapatikana katika mikoa mitatu ya Iraq

    Mar 28, 2021 03:26

    Maafisa usalama wa Iraq wamefanikiwa kugundua maghala ya silaha za magaidi wa Daesh (ISIS) katika mikoa mitatu ya kaskazini na mashariki nchi hiyo.

  • Wabunge 172 Iraq watia saini mpango wa kutaka bunge livunjwe

    Wabunge 172 Iraq watia saini mpango wa kutaka bunge livunjwe

    Mar 21, 2021 22:00

    Mirengo kadhaa ya Bunge la Iraq imewasilisha mpango wa kutaka bunge hilo livunjwe ili kufanyike uchaguzi wa mapema.

  • Badr: Marekani inakula njama ya kuwarejesha magaidi Iraq

    Badr: Marekani inakula njama ya kuwarejesha magaidi Iraq

    Mar 21, 2021 04:35

    Mkuu wa Ofisi ya Shirika la Badr katika mkoa wa al-Anbar nchini Iraq amesema Marekani inapanga njama ya kuwarejesha magaidi katika mikoa ya magharibi mwa nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Rais wa Iraq asisitiza kuhusu askari wa Marekani kuondoka nchini humo

    Rais wa Iraq asisitiza kuhusu askari wa Marekani kuondoka nchini humo

    Mar 18, 2021 09:47

    Rais Barham Salih wa Iraq ametangaza kuwa, uamuzi umeshachukuliwa kuhusu kuhitimisha kuwepo kwa vikosi vya jeshi vamizi la Marekani nchini humo.

  • Waziri Mkuu wa Iraq atoa hotuba kwa mnasaba wa kumbukumbu ya mashambulizi ya Halabcha

    Waziri Mkuu wa Iraq atoa hotuba kwa mnasaba wa kumbukumbu ya mashambulizi ya Halabcha

    Mar 16, 2021 08:57

    Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa kuadhimisha kumbukumbu ya mashambulizi ya kemikali yaliyotekelezwa katika mji wa Halabcha katika eneo la Kurdistan huko Iraq kunakumbushia kuuliwa maelfu ya raia na watu wasio na hatia wa eneo hilo.

  • Iraq: Hatuna nia kabisa ya kuwa na uhusiano wa kawaida na Israel

    Iraq: Hatuna nia kabisa ya kuwa na uhusiano wa kawaida na Israel

    Mar 10, 2021 03:41

    Ikulu ya Iraq imetoa tamko rasmi la kukanusha madai ya chombo kimoja cha habari cha Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) kilichodai kuwa Baghdad iko tayari kutangaza uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Chinjachinja wa Daesh atiwa mbaroni huko Talafar, Iraq

    Chinjachinja wa Daesh atiwa mbaroni huko Talafar, Iraq

    Mar 09, 2021 23:18

    Idara ya Intelijinisia ya jeshi la Iraq imetangaza habari ya kutiwa mbaroni kinara mashuhuri wa magaidiwa kundi la kitakfiri la Daesh anayefahamika kwa jina la Cihnjachinja huko Talafar nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS