-
Kwa nini baadhi ya Wairaqi wamepinga safari ya al Kadhimi nchini Saudi Arabia
Apr 03, 2021 22:02Safari ya Waziri Mkuu wa Iraq, Mustafa al Kadhimi nchini Saudi Arabia imekabiliwa na upinzani wa baadhi ya shakhsia na wanasiasa ndani ya Iraq.
-
Kamati ya pamoja ya Iran na Iraq yachunguza mauaji ya kigaidi ya Soleimani
Apr 03, 2021 05:13Mkuu wa Baraza Kuu la Haki za Binadamu la Vyombo vya Mahakama vya Iran amesema faili la mauaji ya kigaidi ya Shahid Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) linafuatiliwa na kamati ya pamoja ya Iran na Iraq.
-
Iraq na Syria zaendelea na mazungumzo kuhusu kurudi nyumbani wakimbizi
Apr 02, 2021 02:04Nchi mbili za Iraq na Syria zinaendelea na mazungumzo baina yao kuhusu namna ya kuwarejesha makwao wakimbizi wa nchi hizo mbili waliokimbilia katika nchi hizo.
-
Ukosoaji kufuatia kuongezeka hatua za Imarati za kujipenyeza kiintelijinsia na kisiasa huko Iraq
Mar 31, 2021 06:12Katika masiku ya karibuni suala la kujipenyeza Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) huko Iraq kwa mara nyingine tena limezungumziwa pakubwa. Shakhsia na vyombo vya habari vya Iraq vimetangaza kuwa Imarati imezidisha satwa yake ya kiintelijinsia na kisiasa nchini humo.
-
Maafisa Usalama Iraq wazima jaribio la shambulizi la kigaidi Karbala
Mar 29, 2021 08:04Maafisa usalama wa Iraq wamezima jaribio la shambulizi la kigaidi lililolenga mjumuiko mkubwa wa wapenzi wa Watu wa Nyumba ya Mtume Muhammad (saw) uliokuwa njiani kutoka Najaf ukielekea katika mji mtakatifu wa Karbala kwa ajili ya sherehe za kuzaliwa Imam wa Zama na mwokozi aliyeahidiwa wa Akheri Zamani, Imam Mahdi (as).
-
Waziri Mkuu wa Iraq asisitiza kufanyika uchaguzi kama ilivyopangwa
Mar 28, 2021 23:50Waziri Mkuu wa Iraq amesisitiza kuwa uchaguzi wa bunge nchini humo utafanyika kama ilivyopangwa yaani tarehe 10 mwezi Oktoba mwaka huu.
-
Maghala makubwa ya silaha za magaidi yapatikana katika mikoa mitatu ya Iraq
Mar 28, 2021 03:26Maafisa usalama wa Iraq wamefanikiwa kugundua maghala ya silaha za magaidi wa Daesh (ISIS) katika mikoa mitatu ya kaskazini na mashariki nchi hiyo.
-
Wabunge 172 Iraq watia saini mpango wa kutaka bunge livunjwe
Mar 21, 2021 22:00Mirengo kadhaa ya Bunge la Iraq imewasilisha mpango wa kutaka bunge hilo livunjwe ili kufanyike uchaguzi wa mapema.
-
Badr: Marekani inakula njama ya kuwarejesha magaidi Iraq
Mar 21, 2021 04:35Mkuu wa Ofisi ya Shirika la Badr katika mkoa wa al-Anbar nchini Iraq amesema Marekani inapanga njama ya kuwarejesha magaidi katika mikoa ya magharibi mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Rais wa Iraq asisitiza kuhusu askari wa Marekani kuondoka nchini humo
Mar 18, 2021 09:47Rais Barham Salih wa Iraq ametangaza kuwa, uamuzi umeshachukuliwa kuhusu kuhitimisha kuwepo kwa vikosi vya jeshi vamizi la Marekani nchini humo.