Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Misimamo ya kugongana ya Washington kuhusu sababu za kumuua kigaidi Luteni Soleimani

    Misimamo ya kugongana ya Washington kuhusu sababu za kumuua kigaidi Luteni Soleimani

    Jan 14, 2020 00:58

    Tarehe 3 Januari 2020, Marekani ilifanya jinai na ugaidi mkubwa wa kumuua kidhulma Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu tena akiwa mgeni rasmi wa serikali ya Iraq.

  • Marekani kuzuia pesa za mafuta za Baghdad wanajeshi wake wakitimuliwa Iraq

    Marekani kuzuia pesa za mafuta za Baghdad wanajeshi wake wakitimuliwa Iraq

    Jan 12, 2020 21:08

    Utawala wa Washington umetishia kuzuia akaunti za benki zenye mabilioni ya dola za Iraq, iwapo serikali ya Baghdad itakeleza mpango wake wa kuwatimua nchini humo wanajeshi wa Marekani.

  • Ngome kubwa ya ISIS yaharibiwa kaskazini mwa Iraq

    Ngome kubwa ya ISIS yaharibiwa kaskazini mwa Iraq

    Jan 12, 2020 08:43

    Vikosi vya Kujitolea vya Wananchi wa Iraq maarufu kama Al Hashd al Shaabi vimeharibu pango kubwa zaidi la magaidi wa ISIS (Daesh) kaskazini mwa Iraq.

  • Umati mkubwa wa Wairaqi wakusanyika mahali walipouawa shahidi Qassem Soleimani na Abu Mahdi al-Muhandis

    Umati mkubwa wa Wairaqi wakusanyika mahali walipouawa shahidi Qassem Soleimani na Abu Mahdi al-Muhandis

    Jan 10, 2020 04:41

    Mamia ya Wairaqi wamekusanyika mahali makombora ya jeshi la kigaidi la Marekani yalipoulenga msafara wa magari yaliyokuwa yamewabeba Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu na Abu Mahdi al-Muhandis, Naibu Mkuu wa Jeshi la Kujitolea la Wananchi wa Iraq la Al-hashdu-Sha'abi na kulaani jinai hiyo ya Marekani.

  • Uhispania yahamisha wanajeshi wake kutoka Iraq na kuwapeleka Kuwait

    Uhispania yahamisha wanajeshi wake kutoka Iraq na kuwapeleka Kuwait

    Jan 09, 2020 08:52

    Uhispania imewaondoa baadhi ya wanajeshi wake huko Iraq na kuwahamishia Kuwait kufuatia jinai ya karibuni ya Marekani na kushtadi mivutano katika eneo la Asia Magharibi. Uhispania imesema imefanya hivyo kwa kuhofia usalama wa wanajeshi wake.

  • Majibu ya kutapatapa ya Trump baada ya Iran kupiga kwa makombora kambi za Marekani + Video

    Majibu ya kutapatapa ya Trump baada ya Iran kupiga kwa makombora kambi za Marekani + Video

    Jan 09, 2020 07:20

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetekeleza kivitendo ahadi yake ya kutoa jibu kali kwa jinai ya Marekani ya kumuua kigaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH.

  • Onyo kali la Muqtada al-Sadr na kuwa pamoja makundi yote ya muqawama nchini Iraq dhidi ya Marekani

    Onyo kali la Muqtada al-Sadr na kuwa pamoja makundi yote ya muqawama nchini Iraq dhidi ya Marekani

    Jan 08, 2020 21:45

    Moja ya matokeo muhimu ya jinai ya serikali ya kigaidi ya Marekani ya kumuua shahidi Luteni Jenerali Qassim Soleimani na Abu Mahdi al-Mohandes na watu wanane waliokuwa wamefuatana nao ni kujitokeza hali ya umoja baina ya makundi ya muqawama nchini Iraq dhidi ya Marekani.

  • Muungano wa Marekani wahamisha makao yake makuu kutoka Iraq hadi Kuwait

    Muungano wa Marekani wahamisha makao yake makuu kutoka Iraq hadi Kuwait

    Jan 07, 2020 23:21

    Muungano eti wa kupambana na kundi la Daesh unaoongozwa na Marekani umehamisha makao yake makuu kutoka Iraq na kuyapeleka Kuwait kufuatia mauaji ya Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Luteni Jenerali Qassem Soleimani na Naibu Kamanda wa kikosi cha kujitolea cha wananchi wa Iraq, al Hashdul Shaabi Abu Mahdi al Muhandes, na sisitizo la Iran la kulipiza kisasi mauaji hayo ya kigaidi yaliyofanywa na Marekani.

  • Kupinga Russia na China taarifa ya upande mmoja ya Marekani kuhusiana na matukio ya Iraq

    Kupinga Russia na China taarifa ya upande mmoja ya Marekani kuhusiana na matukio ya Iraq

    Jan 07, 2020 23:17

    Jinai za Marekani huko Iraq hususan shambulio lake la kijeshi dhidi ya ngome za Harakati ya Wananchi ya al-Hashd al-Shaabi katika mpaka wa pamoja wa Iraq na Syria, zimekabiliwa na malalamiko makubwa ya Wairaqi ambao walifanya maandamano na kukusanyika katika ubalozi wa Marekani mjini Baghdad.

  • Harakati ya Hizbullah ya Iraq yampa onyo kali Rais Donald Trump wa Marekani

    Harakati ya Hizbullah ya Iraq yampa onyo kali Rais Donald Trump wa Marekani

    Jan 07, 2020 01:11

    Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Iraq imemuonya Rais Donald Trump wa Marekani kwamba iwapo ataiwekea vikwazo nchi hiyo, basi harakati hiyo itazuia usafirishaji mafuta ya kwenda soko la nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS