Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Waziri Mkuu wa Iraq alitaka jeshi kukabiliana na magenge ya wahalifu

    Waziri Mkuu wa Iraq alitaka jeshi kukabiliana na magenge ya wahalifu

    Dec 13, 2019 23:32

    Waziri Mkuu wa Muda wa Iraq amesema kuwa tukio la Medani ya al Wathba limeonesha kuwa, kuna makundi yaliyoanzishwa kwa makusudi yanayoparamia maandamano ya wananchi kwa ajili ya kufanya mauaji na kuzusha hofu na wahka nchini Iraq.

  • Harakati ya Hashdush-Sha'abi yategua mabomu 100 nchini Iraq

    Harakati ya Hashdush-Sha'abi yategua mabomu 100 nchini Iraq

    Dec 12, 2019 04:30

    Harakati ya Wananchi ya Hashdush-Sha'abi nchini Iraq imefanikiwa kutegua mabomu 100 pamoja na mada za miripuko katika mkoa wa Kirkuk, kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Muungano wa Al-Fat'h nchini Iraq watahadharisha kuhusu uingiliaji wa Marekani katika uundaji serikali

    Muungano wa Al-Fat'h nchini Iraq watahadharisha kuhusu uingiliaji wa Marekani katika uundaji serikali

    Dec 11, 2019 00:17

    Karim Alyawi, mjumbe wa muungano wa kisiasa wa Al-Fat'h nchini Iraq ametahadharisha kuhusu matokeo mabaya ya uingiliaji wa Marekani katika uundaji wa serikali na uteuzi wa waziri mkuu mpya wa nchi hiyo.

  • Wairaqi wafanya maandamano Baghdad kuunga mkono matamshi ya Ayatullah Sistani

    Wairaqi wafanya maandamano Baghdad kuunga mkono matamshi ya Ayatullah Sistani

    Dec 05, 2019 08:27

    Wakazi wa mji mkuu wa Iraq, Baghdad wamefanya maandamano makubwa mapema leo chini ya kaulimbiu ya "Timua Waharibifu" wakitangaza uungaji mkono wao kwa kiongozi mkuu wa kidini nchini humo Ayatullah Ali Sistani.

  • Harakati ya Hashdush-Sha'abi: Hatutaruhusu genge la Daesh kutishia usalama wa Iraq

    Harakati ya Hashdush-Sha'abi: Hatutaruhusu genge la Daesh kutishia usalama wa Iraq

    Dec 04, 2019 21:52

    Harakati ya wananchi ya Hashdush-Sha'abi nchini Iraq imetangaza kwamba, wanamuqawama wa harakati hiyo wameazimia vilivyo kutekeleza majukumu yao na kwamba kamwe hawatoruhusu kurejea nchini humo kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) ili kutishia usalama na uthabiti wa Iraq.

  • Naibu wa Abubakr al-Baghdadi atiwa mbaroni nchini Iraq

    Naibu wa Abubakr al-Baghdadi atiwa mbaroni nchini Iraq

    Dec 04, 2019 00:30

    Vikosi vya usalama vya Iraq vimemtia mbaroni naibu wa Abubakr al-Baghdadi, kinara aliyeuawa wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la DAESH (ISIS) huko kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Mgogoro wa Iraq na uwezekano wa kuibuka tena kundi la kigaidi la Daesh

    Mgogoro wa Iraq na uwezekano wa kuibuka tena kundi la kigaidi la Daesh

    Dec 03, 2019 21:10

    Kushika kasi harakati za mabaki ya wanachama wa kundi la kigaidi la Daesh nchini Iraq kumepelekea kuongezeka indhari kuhusiana na uwezekano wa kuibuka na kupata nguvu tena kundi hilo katika nchi hiyo.

  • Bunge la Iraq laafiki kujiuzulu Waziri Mkuu Adil Abdul-Mahdi

    Bunge la Iraq laafiki kujiuzulu Waziri Mkuu Adil Abdul-Mahdi

    Dec 01, 2019 10:08

    Bunge la Iraq lililokutana kwa kikao cha dharura kilichofanyika leo limeukubali uamuzi uliochukuliwa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Adil Abdul-Mahdi wa kujiuzulu wadhifa wake huo.

  • Larijani: Watawala wa Marekani lazima wasitishe sera ya mashinikizo ya juu zaidi dhidi ya Iran

    Larijani: Watawala wa Marekani lazima wasitishe sera ya mashinikizo ya juu zaidi dhidi ya Iran

    Dec 01, 2019 09:15

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, 'Bunge la Iran' amesema sera ya Marekani ya mashinikizo ya juu zaidi dhidi ya Iran ni ghalati na ni lazima watawala wa Marekani wasitishe sera hiyo.

  • Waziri Mkuu wa Iraq atangaza nia ya kujiuzulu kufuatiwa mwito wa Ayatullah Sistani

    Waziri Mkuu wa Iraq atangaza nia ya kujiuzulu kufuatiwa mwito wa Ayatullah Sistani

    Nov 30, 2019 23:35

    Waziri Mkuu wa Iraq Adel Abdul-Mahdi amesema, anakusudia kujiuzulu kuitikia mwito wa kiongozi wa juu wa kidini wa nchi hiyo Ayatulllah Ali Sitani aliyewataka wabunge "kuangalia upya" machaguo yao kuhusiana na mustakabali wa Iraq.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS