-
Kiongozi wa Mapinduzi: Wanaohuisha jina na kumbukumbu ya Mashahidi, wao pia ni Mujahidina katika njia ya Mwenyezi Mungu
Nov 29, 2024 07:48Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kwa kusema: "mimi ninawaona wale wote wanaofanya kazi ya kuhuisha kumbukumbu za Mujahidina na Mashahidi kuwa ni Mujahidina katika njia ya Mwenyezi Mungu; yaani hii yenyewe ni Jihadi katika njia ya Mwenyezi Mungu".
-
Iran yashinda viti 2 vya kimataifa katika Shirika la Hali ya Hewa Duniani
Jul 07, 2024 04:40Bahareh Arabi, Mkuu wa Idara ya Kimataifa ya Shirika la Hali ya Hewa la Iran amesema wataalamu 2 wa Shirika la Hali ya Hewa la Iran wamechaguliwa kuwa wajumbe wa Tume ya Huduma ya Shirika la Hali ya Hewa Duniani.
-
Iran yamnyonga gaidi aliyekuwa akihudumia shirika la kijasusi la Israel, Mossad
Mar 04, 2024 13:14Iran imemnyonga gaidi wa aliyekuwa akitumikia shirika la kijasusi la utawala haramu wa Israel, Mossad ambaye alipanga kutega bomu katika karakana ya Wizara ya Ulinzi huko Isfahan, katikati mwa Iran.
-
Radiamali ya Iran kwa vitendo vya uhasama vya utawala wa Kizayuni na msimamo wa kichochezi wa Ukraine
Feb 03, 2023 08:17Amir Saeed Irwani, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa, siku ya Jumatano, akizungumzia shambulio la kigaidi kwenye kiwanda cha Wizara ya Ulinzi huko Isfahan, amesema katika barua kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na pia kwa mwenyekiti wa kiduru wa Baraza la Usalama kwamba uchunguzi wa awali unaonyesha kuwa utawala wa Kizayuni umehusika na tukio hilo la kigaidi.
-
Russia yalaani shambulio lililofeli la droni dhidi ya kituo cha kijeshi cha Iran
Jan 31, 2023 07:48Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amelaani shambulio la ndege zisizo na rubani (droni) dhidi ya kituo cha kijeshi cha Iran katika mji wa Isfahan, katikati ya Iran.
-
Wizara ya Fedha ya Marekani imegeuka kuwa kitovu cha vita vya kiuchumi dhidi ya Iran
Jul 10, 2018 13:42Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Wizara ya Fedha ya Marekani imegeuka na kuwa kitovu cha vita vya kiuchumi dhidi ya Iran."
-
Watu wote 66 wafariki dunia katika ajali ya ndege katikati mwa Iran
Feb 18, 2018 08:03Watu 66 wamefariki dunia katikati mwa Iran baada ya ndege ya abiria kuanguka asubuhi ya leo.
-
Watalii wa kigeni waongezeka sana nchini Iran
Jul 15, 2016 04:12Zaidi ya watalii 50 elfu wa kigeni wametembelea mkoa wa Isfahan wa katikati mwa Iran katika kipindi cha miezi minne iliyopita.
-
Kuwa na wabunge wa dini zote ni katika sifa maalumu za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Feb 22, 2016 03:35Mwakilishi wa Jumuiya ya Mayahudi wa Isfahan magharibi mwa Iran amesema kuwa, kupewa nafasi wafuasi wa dini zote za tawhidi katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ni katika sifa za kipekee za mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.